Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Hii kubwa kuliko:

"TISS wa siku hizi kazi yao kuvaa suti nyeusi na miwani kama wachomelea mageti lakini wengi wao wanakiuka viapo vyao. Zamani mtu wa TISS kumtambua ilikuwa ngumu, ila siku hizi hadi wanajitambulisha wenyewe mitaaani hii ni hatari."
 
Kutokana kifo cha JPM, Leo nilipata muda wa kutafakari mambo kadhaa. Tafakuri yangu imenipa jibu kwamba Tanzania tumevamiwa na maadui kila kona...
Ukiangalia kwa haraka haraka tu, utaona uongozini kulikuwa na magroup/matabaka kati yao. Hii inafanya utunzaji siri uwe mgumu.
 
Ninachoona ni kuwa Magufuli amefariki baada ya kujigaragaza kwenye Corona huku akijipiga piga kifua. Huko kulikuwa ni kumjaribu Mungu! Hilo la kutokujali kuhusu hatari ya Corona ni baadhi ya mambo yanayonifanya nisitikisike hata unywele kwa kifo chake. Yani wasaidizi wako wengi wanasafa na wewe unasema twendeni poa tu? Nawashangaa wanaolia kwa kweli!
 
Hii kubwa kuliko:

"TISS wa siku hizi kazi yao kuvaa suti nyeusi na miwani kama wachomelea mageti lakini wengi wao wanakiuka viapo vyao. Zamani mtu wa TISS kumtambua ilikuwa ngumu, ila siku hizi hadi wanajitambulisha wenyewe mitaaani hii ni hatari."
[emoji23][emoji23][emoji23]eti na miwani kama wachomolea mageti
 
H


Hata issue ya huyo Mchungaji wa kanisa moja kudai kuwa, aliona kifo mapema week tatu. Nafikiri hao TISS walimpa taarifa kuwa mkulu anaumwa
Ni kweli na yeye akajifanya kutabiri
 
sasa kama kwenye ulinzi wa Rais aliingiza hadi watoto wa Dada zao yaani aliamini ndio watamlinda vizuri .. kama wamevujisha picha wakiamini wanamtumia mama yao nyumbani naye akatuma kwa wengine utamlaum nani ?

Ulinzi wa Magufuli ilikuwa inaonekana una silaha nyingi na magari ya ajabu lakini hakua na watu wenye weledi
 
Wote hao uliowataja waliajiriwa na Magufuli mwenyewe baada ya kuwatoa wale TISS wa Kikwette. Ila huwezi kujua uovu wa MAGUFULI mpaka ufanye naye kazi kwa karibu. Jiulize watu wote mpaka walinzi Wanyarwanda na Warundi kawaajiri mwenyewe kwa nini taarifa zina LEAK? Walikuwa wamekereka
 
Hii ni kweli hiyo video nimeiona nikajiuliza huyu mtu aliwezaje ku record video ya rais akiwa kwenye jeneza? Nikawaza au aliweka simu kwenye mfuko wa shatiakageuza camera ikarecord?
Nikakumbuka movie moja ya kokorea video inarecodiwa kupitia miwani miwani dah.
Inaweza kuwa hakutumia smart phone maana quality yake hyo video, it's like katumia maybe camera za saa au mawani na anaweza kuwa mmoja hata ya hao walinzi raia wakawaida ni ngumu kurecord
 
Ndo jua sasa wale jamaa na misuti yao myeusi na miwani na microphone kumbe hamna kitu .TISS inatakiwa kuundwa upya na sio kuokota okota tuu.
Ngoja watu waiwekee caption matata ianze kuzurula Google.

Utasikia Covid-19 killed the ........
 
Wasaidizi wa Rais wana vifaa maalumu vya kunusa hatari,Wanaweza kudetect devices.Kitendo cha mtu kupita pale na Camera wakati walikataza jua hawa jamaa hawako makini.Any time hata Rais angeweza kuvamiwa
Wewe Sijajua unaishi kwenye Dunia Ipi. Unaishi kwenye Dunia ya analojia au ya Digital.
Kuna Vitu Mtu akiandika unaelewa tu huyu kuna aina flani ya kukurupuka. Technology ya Sasa inaweza kuingilia Mawasiliano ya waasisi wa Technology wenyewe kama Marekani, Urusi, China, Japan n.k. Wewe ni Mlaji tu wa Technology.
 
TISS imeingiliwa na wana siasa. haswa chama tawala. ukishakuwa kada wanakusukumizia huko.. hawajali kuhusu qualifications.

zamani TISS walikuwa wana recruit smart peoples tu. na kazi za weledi zilionekana.
lakin sasa hivi makada ndio usalama..nmatokeo yake tunapata watumishi wasio na weledi.

na huu ni mwanzo.tu.
Ukitaka maendeleo kubali na mamboleo
 
Kwani Magufuli alikuwa Mungu .Magufuli ana watoto na walikuwa .Magufuli mtu wa kinondoni Mtoto wake Donald drug addict Mlevi .picha kibao za baba ake kwenye simu .Magufuli ni baba ake sio rais kwa yeye
Magu si ana mtoto mmoja wa kiume
 
Mi huwa nashangaa kwanini TISS hawanioni,nina eagerness ya kufanya nao kazi ila mpaka leo hawanioni? Imagine hata 35 tu sijafika na Taifa linaonesha nia ya dhati kunihitaji[emoji22]
 
Mi huwa nashangaa kwanini TISS hawanioni,nina eagerness ya kufanya nao kazi ila mpaka leo hawanioni? Imagine hata 35 tu sijafika na Taifa linaonesha nia ya dhati kunihitaji[emoji22]
TISS hawa select watu hovyo. wana hand pick wao anae ona ana wafaa. sio ww kujiona unafaa
 
Mwamba ameongelea ethics za TIS za sasa zimebadilika sana??, Yaani mtu yupo ubelgiji ndo anatoa taarifa za mjomba?? Ni ukweli usiopingika kuwa kuna kundi la watu hapo TIS ndo wamempa taarifa huyo jamaa wa ubelgijj. Na hii yote ni kuwa TIS na huku ni mwana CCM.

Awe ccm kwa kazi maalumu tuu. Lkn cyo kuwa kindakindaki. Tunaitaji kuwa na Strong institution na cyo strongmen. Pumuzika kwa amani mwamba Jpm! UlichokifanyaTz!

kwa kila m tz wa kweli na mwenye machungu na nchi yake ni lazima akulilie kwa uchungu. Kazi umeifanya JPM! Umeiyachia Tz heshima hapa duniani na kwa familia yako kwa ujumla.
Tuna uchungu na nchi hii tuambie wako wapi waliomuua Akwilina? Au Akwilina alikuwa mkimbizi siyo mtanzania? Kuna orodha ndefu
 
Back
Top Bottom