Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Si Bora ya magufuli, tulikuwa na umeme, maji, vifaa vya ujenzi kwa Bei Chee, mfumuko wa Bei ulikuwa hakuna, sasa HUYU SSH dah tunalia sisi wafanyabiashara mzunguko wa pesa hakuna, mauzo hakuna, umeme wa mgao, maji ya mgao, vifaa vya ujenzi Bei juuuuu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha hizo mfumoko wa bei kwa magu ndio ilikua balaa alikuta sukari buku 2 akapandisha mpka buku 3000...mazao yakashuka bei kwa ukichaa wake,hakuna mwenye afadhali kati yao wote marais wa hobyohovyo
 
Muulize mafuta ya Kula anajua sasa ni bei gani?!!..Nyama imepanda bei!!
 
Mmeanza maujinga yenu.mimi sijui mnawaza kwa kutumia nini...Yaani mna uharo nyie watu kila mtu ana unafiki wa njaa wala hamna mapenzi na huyo mama ni Uharo wa njaa unakusumbua tu...Huyu Mama muacheni afanye kazi acheni njaa zenu hizi...
 
Uhuru wa mahakama,
Demokrasia,
mjlol.png
 
Mmeanza maujinga yenu.mimi sijui mnawaza kwa kutumia nini...Yaani mna uharo nyie watu kila mtu ana unafiki wa njaa wala hamna mapenzi na huyo mama ni Uharo wa njaa unakusumbua tu...Huyu Mama muacheni afanye kazi acheni njaa zenu hizi...
Kumbe wanalipwa duuuuh, Ila vipi kuhusu yaliyoandikwa niyakweli?
 
Back
Top Bottom