Tanzania huenda tukapata Least Deleveloped Countries Fund ( LDCF ) kwenye US$100B za COP

Nimejifunza Asante
 
Sina sababu ya kumpinga Samia if anything I wish her well. I am trying to highlight that the relevant legislation should be reviewed such that our government awards retired Presidents residential houses on the basis of need and not want!!!
😍😍😍
 
Unaakili nyingi sana wewe,
Hongera Sana sana
Napenda maandiko kama haya
 
Mama piga kazi sio mbali watakuelewa tuu.
 
Akili hii ni kubwa
 
Afrika inazalisha hewa ya ukaa 4% ....tena ni nchi mbili(SA ,Nigeria) zinazozalisha 90% ya hiyo 4%.....

Kwa kweli ninategemea wadau wataongeza "fungu" kwa ajili ya USIMAMAJI WA PAMOJA KAMA MATAIFA HURU[emoji123]

SIEMPRE JMT
Kama wangekuwa na nia ya dhati wangeweka sheria ya kwamba anayezalisha hewa ya ukaa zaidi alipe zaidi na nanaye zalisha kidogo zaidi alipwe zaidi

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…