Tanzania imeingia kwenye rekodi ya Dunia. Inakadiriwa Vifo 10,000 kwa masaa 72 sawa vifo 2 kwa dakika

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.

Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72), sawa na watu 3,300 kwa siku, sawa na watu 138 waliuawa kwa saa 1, sawa na watu wawili kwa dakika.

Hii ni rekodi ya dunia kuuawa watu wengi wasio vitani kwa kipindi kifupi.
 
Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72) sawa na watu 138 waliuawa kwa saa 1, sawa na watu wawili kwa dakika.

Samia ni mwanamke katili sana kuwahi kutokea duniani, huyu kifo chake kitakuwa cha mateso makali sana.
 
Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.

Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72) sawa na watu 138 waliuawa kwa saa 1, sawa na watu wawili kwa dakika.

Hii ni rekodi ya dunia kuuawa watu wengi wasio vitani kwa kipindi kifupi.

Hawataki kuisikia hiyo hesabu lakini pia wanashindwa kuja na hesabu yao.
 
Kuna wanaodai vifo vilikuwa 23k kwa hesabu zako hizo ni walau watu 5 na majeruhi mmoja kila dakika, hii ni rekodi mpya katika ardhi ya Tanganyika. Tunapendekeza oktoba 29 iwe siku ya kitaifa kuwaenzi mashujaa.
Halafu kuna watu wanafikiri hili jambo litakwisha na kusahaulika kirahisi. Never.
 
Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.

Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72), sawa na watu 3,300 kwa siku, sawa na watu 138 waliuawa kwa saa 1, sawa na watu wawili kwa dakika.

Hii ni rekodi ya dunia kuuawa watu wengi wasio vitani kwa kipindi kifupi.
Nchi haipo hata kwenye orodha ya uchunguz ICC
1000207773.jpg

Hawa ICC hawana Habari na Tanzania
 
Nchi haipo hata kwenye orodha ya uchunguz ICC
View attachment 3517056

Hawa ICC hawana Habari na Tanzania
Tukio hata miezi 2 haijapita unataka ifanane na matukio yaliyotokea miaka 10 iliyopita. Kesi bado ipo kwenye hatua ya kukusanya evidence.

Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.

Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72), sawa na watu 3,300 kwa siku, sawa na watu 138 waliuawa kwa saa 1, sawa na watu wawili kwa dakika.

Hii ni rekodi ya dunia kuuawa watu wengi wasio vitani kwa kipindi kifupi.
Nyerere alitawala miaka 22, inasemekana aliweka saini ya kunyonga watu 2. Tunamjua mmoja tu- Mwamwindi, mneni hatumfahamu. Simba Jike kaua zaidi ya 10,000
 
Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.

Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72), sawa na watu 3,300 kwa siku, sawa na watu 138 waliuawa kwa saa 1, sawa na watu wawili kwa dakika.

Hii ni rekodi ya dunia kuuawa watu wengi wasio vitani kwa kipindi kifupi.
porojo zingine bana dah :pedroP:
 
Back
Top Bottom