Mkuu wewe tukana unavyoweza ,sijakukataza kutukana ,mimi naongelea uhalisia ,mimi napinga mauaji yalifanyika na hayakubaliki ,ni kweli watu wameuawa hovyo ,vifo elfu 10 ni vingi sana ,na mikoa iliyotokea fujo sana ni Dodoma ,Arusha ,Songwe ,Mbeya ,Mwanza ,Iringa kidogo , Dar! Dar ndiyo jiji lenye watu wengi waliouawa kwa Dar ni around 300 tu! Wewe unaongea kwa mihemko ,mimi naongea kwa facts!
Hakuna mtu ambaye hajui kutukana sema ukiona mtu anatukana basi jua hana hoja ,mimi hoja ninazo so siwezi kutukana mtu ,sanasana ukitukuna ni kukuweka tu kwenye ignore list.
Hivi vifo elfu 10 unavijua kweli? Nakubali magaidi wa Abdul wameua watu wengi lakini siyo elfu 10.