Mwanza pekee mama aliua zaidi ya 4000Mama kaua sana nawashangaa sana waliolipwa kumsafisha.
Mwanza pekee mama aliua zaidi ya 4000Mama kaua sana nawashangaa sana waliolipwa kumsafisha.
Father hapo jeshi ndo limekubali kuchezeshwa kila aina ya ngoma.aliyeyandaa majeshi kwa ajili ya uchaguzi wa kiraia
anayakanya majeshi yasijihusishe na siasa za kiraia
HAYA NI MAAJABU YA DUNIA YA NCHI INAYOONEWA WIVU NA MATAIFA MAKUBWA JAPO HAINA HATA MAJI YA KUNYWA
Acheni uwongo na uzushi wenu wa Kipumbavu. Kama walikufa wengi basi ni 1,000 tu nchi nzima. Tupunguze kutafuta Sifa mitandaoni. Nakiri kuna matatizo na makosa yalitokea jambo ambalo katika Chaguzi nyingi za Siasa za Afrika hutokea tena nadhani kama ni rekodi ya Watu kufa katika ama Pre au Post General Elections Tanzania yaweza kuwa na Rekodi ndogo ambayo hata haijaifikia Kenya katika 2007 Post Election Violence iliyosababisha Vifo vya Watu kati ya 1200 hadi 3000 kwa mujibu wa Rekodi. Sitetei Mauwaji ila nachukia Uzushi, Chuki na Uwongo.Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.
Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72), sawa na watu 3,300 kwa siku, sawa na watu 138 waliuawa kwa saa 1, sawa na watu wawili kwa dakika.
Hii ni rekodi ya dunia kuuawa watu wengi wasio vitani kwa kipindi kifupi.
Ndio maana wauaji hawakutaka Jenister aendelee kuishi😌Tarehe 4/November kuna mteja wangu alifuata maiti ya mdogo wake muhimbili akakuta imepewa namba 1,577C.
Hapo ni muhimbili tu mzee, aisee usipinge inawezekana kabisa hao 10,000 wakafika na kuzidi kwa nchi nzima.
Mungu pia sio Yesu...Mungu so athumani.
Ni suala la Muda tu
Kila mwanaharakati ana hesabu yake iko siku tutaambiwa ni 50000...Namba za idadi ya vifo zimekua zikitajwa tofauti na kila mwana harakati, Kaaeni pamoja mje na namba Moja mtakayo itumia wote.
Ila nawashauri mkiandamana Tena msi pole mali za watu, mkiendelea na aina Ile ya uporaji namba ya vifo itakua maradufu.
Vyombo vya Dola havicheki na wahalifu mtaendelea kutandikwa Risasi bila kujali idadi ya wezi watakao kufa.
Hakuna aliyekufa hata mmoja au sio. Hata yule sheikh majini w CCM aligongwa tu na mkokoteni akafa.porojo zingine bana dah![]()
Kijana mbona hujitambuivikwazo ni kitu nonsense gentleman,
Tanzania haifungamani na upande wowote duniani na wala hakuna wa kutuchagulia rafiki au jirani kama nchi.
Tanzania kamwe haitababika wala kutetereshwa na vikwazo vya nchi yeyote yenye chuki kwasababu tu Tanzania ina uwezo wa kujitegemea kugharamia mambo yeke yenyewe kama vile chaguzi n.k bila misaada yao.![]()
Wanajidanganya eti business as usual hiyo haipo.Kufikiria kwamba suala la mauaji yaliyofanyika Tanzania linaweza kuachwa hivihivi tu ni kujidanganya sana. Uchunguzi wa ICC unaweza kuanza katikati ya mwaka 2026 na hauwezi kuchukua zaidi ya mwezi mmoja.
Hivyo basi tutarajie kabla ya mwisho wa mwaka 2026 mwendesha mashitaka wa ICC atakuwa amempatia mwanasheria mkuu orodha ya majina ya watu wanaotakiwa kupelekwa The Hague nchini Uholanzi kushitakiwa kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu.
Watuhumiwa hao kwanza watafikishwa mahakamani kwenye hatua ya awali ya mashitaka pre-trial chamber ili kuthibitisha tuhuma zao kabla ya kuanzishwa kwa kesi kamili.
Ni katika kipindi hichi ambapo itabidi maandamano yaitishwe nchi nzima ili kushinikiza serekali iliyopo ijiuzulu ili ianzishwe serikali ya mpito ili iandae katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na uchaguzi mkuu ndani ya miezi sita.
*************************************
Key Functions of a Pre-Trial Chamber:
Case Confirmation: Reviews prosecutor evidence to decide if there are substantial grounds to believe crimes were committed and a person is responsible.
Procedural Oversight: Authorizes investigations, issues arrest warrants, and deals with requests for release or other interim measures.
Case Management: Manages the pre-trial phase, sets timelines, and ensures both prosecution and defense are ready for trial.
Charge Finalization: Confirms the final charges, defining the scope for the subsequent Trial Chamber.
Unanijua mimi nilishakuomba hata kibaba kimoja cha unga, acha upumbavu kila mtu aishi maisha yake.Jamaa unaumia kichwa badala ya kutafuta pesa 🤣🤣kila siku kutunga na maisha yanaendelea...Vibaka wanakufa kila ,na wale vibaka wamekufa kwa ujinga wak.
Huyu kifo chake kitakuwa cha mateso makali sana.Samia ni mwanamke katili sana kuwahi kutokea duniani, huyu kifo chake kitakuwa cha mateso makali sana.
Malipo ni hapahapa duniani asifikiri ataenda kulipwa mbinguni ni kuhesabiwa tu.Huyu kifo chake kitakuwa cha mateso makali sana.
Kweli aliyekupa jina lile aliona mbali.Acheni uwongo na uzushi wenu wa Kipumbavu. Kama walikufa wengi basi ni 1,000 tu nchi nzima. Tupunguze kutafuta Sifa mitandaoni. Nakiri kuna matatizo na makosa yalitokea jambo ambalo katika Chaguzi nyingi za Siasa za Afrika hutokea tena nadhani kama ni rekodi ya Watu kufa katika ama Pre au Post General Elections Tanzania yaweza kuwa na Rekodi ndogo ambayo hata haijaifikia Kenya katika 2007 Post Election Violence iliyosababisha Vifo vya Watu kati ya 1200 hadi 3000 kwa mujibu wa Rekodi. Sitetei Mauwaji ila nachukia Uzushi, Chuki na Uwongo.
Halafu Watanganyika wote tutaitikia kwa kibwagizo hakika kifo ni kifo tu !!!Huyu kifo chake kitakuwa cha mateso makali sana.
Ni diplomasia tuSasa hayo mapicha picha ya Kombo mnayotupostia ya kazi gani.
Acha upumbafu wewe NISIJE kukutukana na wewe mdomo koma, unajua miji mingapi waliuliwa watu kama idadi haifiki kulikia na haja Gani KUCHOMA maiti, kuzizika kisiri? Si wange acha zikakaa mochwari, unajua mochwari ya muhimbili TU inachukia maiti ngapi? Unajua hospitali ngapi zililenewa na maiti mpaka kuanza kuzizika zingine nikikutukana tusi la mama yako useme mi mkorofi alafu inaongea kwa majivuno KABISA wewe roho mbaya kufa halitaki kuwa na moyo angekuwepo ndugu yako hapo ungesema haya unayo chotesha hap?Vifo elfu 10 haviwezi kufika ila 500 hadi buku 1 between hapo ni uhakika.
Mkuu wewe tukana unavyoweza ,sijakukataza kutukana ,mimi naongelea uhalisia ,mimi napinga mauaji yalifanyika na hayakubaliki ,ni kweli watu wameuawa hovyo ,vifo elfu 10 ni vingi sana ,na mikoa iliyotokea fujo sana ni Dodoma ,Arusha ,Songwe ,Mbeya ,Mwanza ,Iringa kidogo , Dar! Dar ndiyo jiji lenye watu wengi waliouawa kwa Dar ni around 300 tu! Wewe unaongea kwa mihemko ,mimi naongea kwa facts!Acha upumbafu wewe NISIJE kukutukana wewew mdomo koma, unajua miji mingapi waliuliwa watu kama idadi haifiki kulikia na haja Gani KUCHOMA maiti, kuzizika kisiri? Si wange acha zikakaa mochwari, unajua mochwari ya muhimbili TU inachukia maiti ngapi? Unajua hospitali ngapi zililenewa na maiti mpaka kuanza kuzizika zingine nikikutukana tusi la mama yako useme mi mkorofi alafu inaongea kwa majivuno KABISA msenge wewe roho mbaya kufa halitaki kuwa na moyo angekuwepo ndugu yako hapo ungesema haya unayo chotesha hap?