- Thread starter
- #21
Serikali itangaze hata kama walikufa wawili.Vifo elfu 10 haviwezi kufika ila 500 hadi buku 1 between hapo ni uhakika.
Serikali itangaze hata kama walikufa wawili.Vifo elfu 10 haviwezi kufika ila 500 hadi buku 1 between hapo ni uhakika.
Tumewazoea a denial country hata tulipowaambia tutawekewa vikwazo mlisema porojo.porojo zingine bana dah![]()
vikwazo ni kitu nonsense gentleman,Tumewazoea a denial country hata tulipowaambia tutawekewa vikwazo mlisema porojo.

Yalikuwa ni muuaji ya kimbari .Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.
Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72), sawa na watu 3,300 kwa siku, sawa na watu 138 waliuawa kwa saa 1, sawa na watu wawili kwa dakika.
Hii ni rekodi ya dunia kuuawa watu wengi wasio vitani kwa kipindi kifupi.
Tarehe 4/November kuna mteja wangu alifuata maiti ya mdogo wake muhimbili akakuta imepewa namba 1,577C.Vifo elfu 10 haviwezi kufika ila 500 hadi buku 1 between hapo ni uhakika.
Serikali ya Apartheid inaaminika kwa muda wa miaka 46 iliyotawala taifa la Afrika kusini iliua watu wasiozidi 300,000... haya ni mauaji yaliyofanyika kwa karibu nusu karne.Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.
Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72), sawa na watu 3,300 kwa siku, sawa na watu 138 waliuawa kwa saa 1, sawa na watu wawili kwa dakika.
Hii ni rekodi ya dunia kuuawa watu wengi wasio vitani kwa kipindi kifupi.
Inawezekana kuwa na namba hiyo lakini je hiyo count ilianza lini? Inawezekana walianza kuchukua count kuanzia 1 Jan 2025? Sikupingi ila nataka tujenge uhalisia wa jambo...Nakubali kwamba Oct 29 hadi Nov 3 wananchi wengi waliuawa.Tarehe 4/November kuna mteja wangu alifuata maiti ya mdogo wake muhimbili akakuta imepewa namba 1,577C.
Hapo ni muhimbili tu mzee, aisee usipinge inawezekana kabisa hao 10,000 wakafika na kuzidi kwa nchi nzima.
Sasa hayo mapicha picha ya Kombo mnayotupostia ya kazi gani.vikwazo ni kitu nonsense gentleman,
Tanzania haifungamani na upande wowote duniani na wala hakuna wa kutuchagulia rafiki au jirani kama nchi.
Tanzania kamwe haitababika wala kutetereshwa na vikwazo vya nchi yeyote yenye chuki kwasababu tu Tanzania ina uwezo wa kujitegemea kugharamia mambo yeke yenyewe kama vile chaguzi n.k bila misaada yao.![]()
huna haja ya kubabaika nayo kama hayana maana,Sasa hayo mapicha picha ya Kombo mnayotupostia ya kazi gani.

Wangapi sasa kwanini serikali wanaficha takwimu,Inawezekana kuwa na namba hiyo lakini je hiyo count ilianza lini? Inawezekana walianza kuchukua count kuanzia 1 Jan 2025? Sikupingi ila nataka tujenge uhalisia wa jambo...Nakubali kwamba Oct 29 hadi Nov 3 wananchi wengi waliuawa.
Takwimu hawawezi kutoa serikali hata siku moja ,bali inatakiwa waliofiwa ndiyo watoa taarifa kwa either chombo ambacho si cha serikali kitakachoratibuz.Wangapi sasa kwanini serikali wanaficha takwimu.
Hizo ni hesabu za kichaa. Ni kweli watu wamekufa lakini siyo 10,000.Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.
Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72), sawa na watu 3,300 kwa siku, sawa na watu 138 waliuawa kwa saa 1, sawa na watu wawili kwa dakika.
Hii ni rekodi ya dunia kuuawa watu wengi wasio vitani kwa kipindi kifupi.
Nchi iko sawa tayari na maisha yanaendelea. Pongezi ziende kwa General Mkunda, IGP WAMBURA na DG TISS kwa kudhibiti mahayawani waliotaka kuichoma nchi kwa muda mfupi.Hii nchi haitakuja kuwa Sawa tena......ila nuru i karibu
Tukae vizuri na nani,Namba za idadi ya vifo zimekua zikitajwa tofauti na kila mwana harakati, Kaaeni pamoja mje na namba Moja mtakayo itumia wote.
Ila nawashauri mkiandamana Tena msi pole mali za watu, mkiendelea na aina Ile ya uporaji namba ya vifo itakua maradufu.
Vyombo vya Dola havicheki na wahalifu mtaendelea kutandikwa Risasi bila kujali idadi ya wezi watakao kufa.
Hata kama polisi imeua mmoja kama huyo ndugu yako watuambie mbona wanaficha.Hizo ni hesabu za kichaa. Ni kweli watu wamekufa lakini siyo 10,000.
Mimi kwenye maeneo ninayoishi na mitaa jirani nimeshuhudia msiba mmoja tu.
Kwenye ukoo wangu yaani mkoani na Dar es Salaam hakuna ndugu hata mmoja tuliyepoteza.
Kama mnataka kushawishi watu au wafadhili wenu basi ongezeni namba mseme wamekufa waandamanaji 1,000,000,000 ili ICC waje haraka.
Muuaji atajidanganya mambo yako sawa lkn aliyefiwa mambo siyo sawa.Nchi iko sawa tayari na maisha yanaendelea. Pongezi ziende kwa General Mkunda, IGP WAMBURA na DG TISS kwa kudhibiti mahayawani waliotaka kuichoma nchi kwa muda mfupi.
Alafu wapo wanazula ,wakijiona wapo na uhalali wa kuwa pale, na iyo alfu 10 ni kadirio la chiniUkitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.