Tanzania imeingia kwenye rekodi ya Dunia. Inakadiriwa Vifo 10,000 kwa masaa 72 sawa vifo 2 kwa dakika

Tanzania imeingia kwenye rekodi ya Dunia. Inakadiriwa Vifo 10,000 kwa masaa 72 sawa vifo 2 kwa dakika

Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.

Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72), sawa na watu 3,300 kwa siku, sawa na watu 138 waliuawa kwa saa 1, sawa na watu wawili kwa dakika.

Hii ni rekodi ya dunia kuuawa watu wengi wasio vitani kwa kipindi kifupi.
Taarifa zingine zinadokeza kwamba waliouawa ni zaidi ya elfu 17, Imeelezwa kwamba wauwaji walipewa lengo la kuuwa watu elfu 50
 
Hata kama polisi imeua mmoja kama huyo ndugu yako watuambie mbona wanaficha.

ICC sio wajinga wana vyanzo vyao vya kupata taarifa.
Classified for security reasons. Kama ndugu yako hayupo wewe tafuta picha weka msiba, songa mbele.
 
Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.

Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72), sawa na watu 3,300 kwa siku, sawa na watu 138 waliuawa kwa saa 1, sawa na watu wawili kwa dakika.

Hii ni rekodi ya dunia kuuawa watu wengi wasio vitani kwa kipindi kifupi.

Mama hapendi kusikia hizo taarifa. Shauri yenu mtatekwa...Mimi simo
 
Nilikuwa Kyela, idadi ya waliouliwa inatisha! Hata hivyo wananchi wameahidi kulipa kisasi kwa ukamilifu
Achana na Kyela kuna Tunduma, Mwanza na ile miili ya mwananyamala, muhimbili iliyolazwa tu chini kwani mochuari kulikwa kumejaa sijazungumzia iliyochomwa moto, hii ni miili tunayoijua kuna ambayo hatuna taarifa nayo unaweza kukadiria ni mingapi? Dar pekee miili ilikuwa zaidi ya 5000 inayojulikana.
 
Kila ubaya utalipwa
 
Mama kaua sana nawashangaa sana waliolipwa kumsafisha.
 
Kufikiria kwamba suala la mauaji yaliyofanyika Tanzania linaweza kuachwa hivihivi tu ni kujidanganya sana. Uchunguzi wa ICC unaweza kuanza katikati ya mwaka 2026 na hauwezi kuchukua zaidi ya mwezi mmoja.

Hivyo basi tutarajie kabla ya mwisho wa mwaka 2026 mwendesha mashitaka wa ICC atakuwa amempatia mwanasheria mkuu orodha ya majina ya watu wanaotakiwa kupelekwa The Hague nchini Uholanzi kushitakiwa kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu.

Watuhumiwa hao kwanza watafikishwa mahakamani kwenye hatua ya awali ya mashitaka pre-trial chamber ili kuthibitisha tuhuma zao kabla ya kuanzishwa kwa kesi kamili.

Ni katika kipindi hichi ambapo itabidi maandamano yaitishwe nchi nzima ili kushinikiza serekali iliyopo ijiuzulu ili ianzishwe serikali ya mpito ili iandae katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na uchaguzi mkuu ndani ya miezi sita.
*************************************
Key Functions of a Pre-Trial Chamber:

Case Confirmation: Reviews prosecutor evidence to decide if there are substantial grounds to believe crimes were committed and a person is responsible.

Procedural Oversight: Authorizes investigations, issues arrest warrants, and deals with requests for release or other interim measures.

Case Management: Manages the pre-trial phase, sets timelines, and ensures both prosecution and defense are ready for trial.

Charge Finalization: Confirms the final charges, defining the scope for the subsequent Trial Chamber.
 
Back
Top Bottom