Tanzania imekumbwa na ugonjwa mpya unaitwa matatizo ya kupumua

Tanzania imekumbwa na ugonjwa mpya unaitwa matatizo ya kupumua

Sisa kama wananchi hatutaki kusikia hali ya Corona nchini.
Hao madereva wetu wanakamatwa wakiwa na hali nzuri wameweza kuendesha gari toka Dar mpka Uganda na bado wapo vizuri. Kinga za mwili zipo vizuri kosa Ni kupeleka Quarantine safari ya kifo inaanza.
 
Tangu kifo cha Mama lwakatare kila siku imekuwa ni mfululizo wa vifo vya watu maarufu. Na wote kwa kushindwa kupumua.
Huko mitaani kuna vifo vingapi ambavyo hakuna wa kuja kuandika hapa?

Jamani tujikinge kila mmoja aangalie namna ya kujikinga.
Takwimu za ummy hazina ukweli na tusitegemee tena kutangazwa.

Kila familia ichukue taharuki
 
Unajua mtu ukiwa unanyoshewa vidole unasema unaonewa lakini swali kwann ni wewe kila siku. Sasa Tanzania imekua kama mtoto mtundu na mtukutu ambaye akiyoshewa kidole hukimbilia kulalamika et anaonewa mimi ninajiuliza zipo nchi ngapi hapa Afrika?

Kwann mikono ni mingi ikishutumu Tanzania inamaanatunakosea sasa badala tutafakar ss kila siku ni kuzid kutamuka na kujiona ss tunaonewa hakika mfumo wa uongozi katika nchi hii umeharibika ninataman tanzania iharibiwe kabisa alafu iundwe upya kama mataifa ya west afica na mataifa mengine ninamatumain hata kama ss tutatoweka ila kwa vizaz vijavyo vinaweza faid Akh!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wanaJF,

Ni wiki sasa Tanzania tunatangaziwa watu maarufu wanafariki kwa matatizo ya kupumua tena ni wengi mno sasa ni wakati wa serikali kututangazia haya matatizo ya kupumua yanasababishwa na nini!?, Dalili zake pamoja na tahadhari ya kuchukua..

Ni dhahiri kwamba mh rais kama alivyosema hatujawahi shindwa vita yoyote sasahivi vita ya Corona imeisha imebaki vita mpya ya matatizo ya kupumua.

Ni wakati wa kuambiwa ukweli haya matatizo ya kupumua ni yepi maana now days hatupewi taarifa za wagonjwa wa Corona, waliofariki na waliopona tangu hotuba ya mh raisi isemwe akiwa Chato.

Sahivi taarifa za ugonjwa wa Corona tunazipata kutokea uganda kwa madereva wetu wa maroli..

Mficha maradhi kifo humuumbua na pia kama tatizo la kupumua ndio Corona kwanini isisemwe tuu ili tatizo lijulikane kama zito ata kupata misaada kwa mataifa mengine.

Ukweli lazima usemwe hali ya Corona nchini ipoje maana kuna watu wanadhani janga hili limeisha kumbe ndio limepamba moto...

Ni hayo tu huu ugonjwa wa matatizo ya kupumua ndio Corona mpya ama mbadala wa neno Corona.
Hili jambo wabunge wetu waishinikize wizara itoe taarifa rasmi kuhusu huu ugonjwa mpya wa matatizo ya kupumua.

Waseme kinagaubaga chanzo chake, transmission pamoja na kinga au tiba kama ipo.

Yawezekana watu wanaambukizana tu halafu viongozi wetu wanapiga mbinje bungeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiswahili sikielewi sijawahi ona MTU akifa akipumua

Sasa hili la kusema MTU.kafa kwa kushindwa kupumua sielewi

Ushahidi Wa kwanza Wa MTU kuwa kafa no kushindwa kupumua yaani anakata pumzi
 
Corona imeua kila Nchi walaumu Wazungu kwa kuleta corona
Sasa kinachotufanya tushindwe kusema ukweli ni nini? Au corona ni Nick name ya ccm au Magufuli kwa hiyo mnaogopa ikitajwa sana kwa kuua watu itaonekana ni CCM au Magufuli ndo wanajua?
 
tanzania imekumbwa na ugonjwa unaitwa CHANGAMOTO YA UPUMUAJI, badili heading isomeke hivyo
 
Habari zenu wanaJF,

Ni wiki sasa Tanzania tunatangaziwa watu maarufu wanafariki kwa matatizo ya kupumua tena ni wengi mno sasa ni wakati wa serikali kututangazia haya matatizo ya kupumua yanasababishwa na nini!?, Dalili zake pamoja na tahadhari ya kuchukua..

Ni dhahiri kwamba mh rais kama alivyosema hatujawahi shindwa vita yoyote sasahivi vita ya Corona imeisha imebaki vita mpya ya matatizo ya kupumua.

Ni wakati wa kuambiwa ukweli haya matatizo ya kupumua ni yepi maana now days hatupewi taarifa za wagonjwa wa Corona, waliofariki na waliopona tangu hotuba ya mh raisi isemwe akiwa Chato.

Sahivi taarifa za ugonjwa wa Corona tunazipata kutokea uganda kwa madereva wetu wa maroli..

Mficha maradhi kifo humuumbua na pia kama tatizo la kupumua ndio Corona kwanini isisemwe tuu ili tatizo lijulikane kama zito ata kupata misaada kwa mataifa mengine.

Ukweli lazima usemwe hali ya Corona nchini ipoje maana kuna watu wanadhani janga hili limeisha kumbe ndio limepamba moto...

Ni hayo tu huu ugonjwa wa matatizo ya kupumua ndio Corona mpya ama mbadala wa neno Corona.
Incompetency na ushamba wa hawa tuliowapa madaraka vinatugharimu sana, yaani wao kila kitu ni mashindano. ikitokea mpinzania akaongelea Jambo fulani basi wao watafanya kinyume chake,JK alikuwa dhaifu but kichwani was so strong but huyu....
 
Back
Top Bottom