Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,318
- 7,985
Ngoja tukafanye tafiti huenda ni tatizo jipya.
Hii nchi inaongozwa na kiongozi mtarajiwa wa malaika,hivyo ni lazima iwe tofauti na nyingine dunianiUnajua mtu ukiwa unanyoshewa vidole unasema unaonewa lakini swali kwann ni wewe kila siku. Sasa Tanzania imekua kama mtoto mtundu na mtukutu ambaye akiyoshewa kidole hukimbilia kulalamika et anaonewa mimi ninajiuliza zipo nchi ngapi hapa Afrika?
Kwann mikono ni mingi ikishutumu Tanzania inamaanatunakosea sasa badala tutafakar ss kila siku ni kuzid kutamuka na kujiona ss tunaonewa hakika mfumo wa uongozi katika nchi hii umeharibika ninataman tanzania iharibiwe kabisa alafu iundwe upya kama mataifa ya west afica na mataifa mengine ninamatumain hata kama ss tutatoweka ila kwa vizaz vijavyo vinaweza faid Akh!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Changamoto ya kupumua nafikiri inasababishwa na baadhi ya barakoa nyingine hazipitishi hewa mpaka unakufa...ndiyo maana inaitwa changamoto na siyo ugonjwaHabari zenu wanaJF,
Ni wiki sasa Tanzania tunatangaziwa watu maarufu wanafariki kwa matatizo ya kupumua tena ni wengi mno sasa ni wakati wa serikali kututangazia haya matatizo ya kupumua yanasababishwa na nini!?, Dalili zake pamoja na tahadhari ya kuchukua..
Ni dhahiri kwamba mh rais kama alivyosema hatujawahi shindwa vita yoyote sasahivi vita ya Corona imeisha imebaki vita mpya ya matatizo ya kupumua.
Ni wakati wa kuambiwa ukweli haya matatizo ya kupumua ni yepi maana now days hatupewi taarifa za wagonjwa wa Corona, waliofariki na waliopona tangu hotuba ya mh raisi isemwe akiwa Chato.
Sahivi taarifa za ugonjwa wa Corona tunazipata kutokea uganda kwa madereva wetu wa maroli..
Mficha maradhi kifo humuumbua na pia kama tatizo la kupumua ndio Corona kwanini isisemwe tuu ili tatizo lijulikane kama zito ata kupata misaada kwa mataifa mengine.
Ukweli lazima usemwe hali ya Corona nchini ipoje maana kuna watu wanadhani janga hili limeisha kumbe ndio limepamba moto...
Ni hayo tu huu ugonjwa wa matatizo ya kupumua ndio Corona mpya ama mbadala wa neno Corona.
Aisee MAYAKU-20Jina la ugonjwa nasikia unaitwa matatizo ya kupumua 2020 kiufupi ni MAYAKU-20.
CHAZAU-20 ha ha ha!
Dah! We ar not seriousChangamoto ya kupumua nafikiri inasababishwa na baadhi ya barakoa nyingine hazipitishi hewa mpaka unakufa...ndiyo maana inaitwa changamoto na siyo ugonjwa