Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 3,088
- 4,496
Kaya yako imekataliwa kuwekwa kwenye list?Inashangaza sana kuwa yule tapeli Diamond anataka kulipia familia 500 kodi ya nyumba miezi mitatu badala ya kununua ventilator(s)!
Kodi itawasaidia nini kama watapukutika kwa kushindwa kupumua??
Sent using Jamii Forums mobile app