Tanzania imekumbwa na ugonjwa mpya unaitwa matatizo ya kupumua

Tanzania imekumbwa na ugonjwa mpya unaitwa matatizo ya kupumua

CORONA tumeimaliza Tanzania. Serikali imeshinda vita ya CORONA. Limeibuka tatizo la UPUMUAJI. Hili nalo tunaimani serikali yetu itashinda tu.
 
Taarifa za vifo vya jana na hivi karibuni, zinadai kuwa wagonjwa wanafariki kwa kushindwa kupumua. Sijui ni ugonjwa gani huu labda PUMU? Sina uhakika.

Tungekuwa na ventilator za kutosha, nadhani tungeokoa maisha ya wengi.

Si kila kifo ni malaria aa eti malaria.. Si kila kifo ni corona, Tujikinge
 
Inashangaza sana kuwa yule tapeli Diamond anataka kulipia familia 500 kodi ya nyumba miezi mitatu badala ya kununua ventilator(s)!
Kodi itawasaidia nini kama watapukutika kwa kushindwa kupumua??
 
Ipi hiyo kujifukiza

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna kujifukiza mbili!
1.chemsha majani ya mwarobaini kula moshi wake wa moto ukiwa ndani ya shuka nzito
2.chemsha vipande vya limao, tangawizi na kitunguu saumu kula moshi wake wa moto utakohoa kohoa usiogope , kula moshi wa kutosha! (this is very effective!) homa yote na kijibaridi kwisha!
 
Back
Top Bottom