CCM = wajanja wachache + Jeshi la (wananchi + polisi + magereza) + TISS + Tume ya uchaguzi + Mahakama.
Tanzania INAHITAJI hii equation ivunjwe vunjwe ili CCM ibaki kuwa chama cha siasa tu, vinginevyo ni kama impossible kwa chama cha upinzani kushindana na CCM hata kama kitakua na sera za milele
Tatizo kubwa kwa CHADEMA na upinzani kwa ujumla hawaelewi kuwa hawa wote kuanzia
CCM, wajanja wachache + Jeshi la (wananchi + polisi + magereza) + TISS + Tume ya uchaguzi + Mahakama. wote hao ni wapiga kura wao binafsi familia zao na ndugu zao na marafiki zao
Chama makini kinatakiwa kikonge nyoyo za wote hao ili kipate kura toka kwao kwa kuwa na sera rafiki na kijitahidi kuwa friendly kwao ili ku attract their love ili ushinde kura Lakini unfortunately upinzani wana dhana kama yako kuwa hao ni maadui
Kwenye kutafuta kupigiwa kura kunataka long range starategy ya kumpata kila raia akupigie kura upinzani hilo wameshindwa totally ndio maana unakuta hata wasanii mlikuwa mkiwatukana mkiona CCM wajinga kuwa as if sio wapiga kura.
Upinzani wa Tanzania bado ulitakiwa uwe na starategy ya kupata kura hata toka kwa wana CCM lakini wapi unakuta wanaporomosha mitusi tu sehemu zingine tuliona hata mtu akivaa nguo ya CCM wakimzomea na kumchania nguo zake badala ya kumtafutia strategy awapigie kura
Huu mtizamo wako ndio ulionisukuma pia kuona umuhimu wa kusema kinakiwa chama kingine kipya cha upinzani chenye cha kueleweka maana nyie vichwa vyenu mnavijua wenyewe
Vyama vya upinzani vilivyopo havikidhi matarajio ya wengi ikiwemo makundi uliyoyataja
Ndio maana kunahitajika chama kingine kipya cha upinzani