Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio

Kama ni hivyo kwa nini CCM huwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji?
 
Chadema ilipata kura nyingi kuliko CCM lakini CCM imeulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani, CCM ndiyo imekufa haipo bali inatumia Polisiccm NECCCM Tumeccm wakurugenziccm kuingia ikulu kuongoza Nchi kibabe
 
Vyama vilivyopo vinakidhi mahitaji ya watanzania ndiyo maana CCM inahaha kuwahujumu kuwadhoofisha kuwabambikia kesi wapinzani mda wote
 
Wapinzani lazima wapinge kila kitu kwani hakuna kitu kizuri kinafanywa na CCM, kila miradi ya CCM ina ufisadi mapungufu mengi hivyo lazima wapinzani wapinge ujinga wote wa CCM
Huelewi maana ya chama cha upinzani ndio maana kinatakiwa kipya

kazi ya chama cha upinzani si kupinga chama tawala kinachofanya hayo yao

Kazi yake kuandaa sera mbadala ambazo hazifanani na chama tawala na kuzinadi kuwa tukishika sisi tutafanya hivi

kwa mfano chama tawala kikisema sisi sera yetu ni kuhakikisha kila mtanzania anamiliki heka moja ya shamba upinzani hawatakiwi tu kupiga domo ohh hazitoshi

chama bora cha upinzani chaweza acha kuongelea hilo kikaja na sera tofauti kabisa mfano ya kusema sisi lengo letu ni kuhakikisha kila mtanzania anakuwa na hisa lwenye kampuni zote za umma kama bandari,SGR NK ILI WAFAIDI faida itokanayo na mashirika ya umma

Hapo ni mitizamo tofauti kabisa chama hakipingi yanayofanywa na chama tawala wala kuhangaika nayo ila kinajinadi kwa vya kwake kwa wananchi wapime wenyewe wanamtaka yupi atakayewapa hisa au atakayewagawia hekari moja ya kulima?

Upinzani Tanzania ni wa kitoto mno na hauna tija kwa wananchi kabisa ni ujinga mtupu wanasubiri raisi anunue ndege wapinge kununua ndege,wanasubiri CCM IJENGE SGR wapinge ujenzi wa SGR WHAT KIND OF OPPOSITION PARTY IS THIS

UJINGA MTUPU ndio maana Tanzania inahitaji upinzani mpya na chama kipya cha upinzani serious ambacho hakisubiri kimekaa kimetega tu misikio CCM WATAFANYA NINI au watasema nini KIPINGE

Niseme wazi upinzani Tanzania ni hopeless hawana agenda .
 
Wewe ndiyo mjinga wa kutupwa kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali kwa mapungufu yake yote na miradi yote mikubwa ina ufisadi mkubwa mapungufu makubwa lazima wapinzani waipinge kuikosoa, ulitaka wapinzani wafagilie ufisadi wa CCM? Ushoga hata makonda Bashite alipiga kelele juu ya ushoga ni wabunge hao hao wa CCM walimpinga Bungeni wakiongozwa na kange lugola aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani, watanzania wapo imara ndiyo maana CCM hutumia Polisiccm kudidimiza demokrasia kama wapinzani wasingekuwa imara isingehaha kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji uovu mateso kwao mada wote
 
Maana ya upinzani ni kuikosoa Serikali na kupinga ujinga wote wa CCM na kumwaga sera bora na vyote vimefanywa na wapinzani ndiyo maana walipata kura nyingi toka kwa wananchi lakini CCM kwa kutumia Polisiccm NECCCM Tumeccm na wakurugenziccm na vyombo vyake vya dola ikawapora ushindi kwa njia haramu za kishetani, wapinzani waliopo wanafanya kazi nzuri mno na watanzania wanawakubali ndiyo maana CCM hutumia gharama kubwa kuwadhoofisha kuwahujumu mda wote
 

Usiwapishe maana hawahitaji kuja nyuma kwako. Ukitaka kujua wazungu ni next level, nenda kaangalie mtu aliyeajiriwa na mzungu ana mazingira gani ya kazi, linganisha na walioajiriwa na muhindi, mchina au hawa wazalendo uchwara wa ccm. Ama pitia mradi wowote iwe NGO, mgodi, hospitali nk inayoendeshwa na mzungu, linganisha ubora wa mradi kama huo huo unaondeshwa na mzalendo yoyote uchwara hapa nchini.

Ama pitia miradi yote kama mashamba makubwa ya katani, chai, tumbaku nk wakati wanaendesha wazungu yalikuwaje, na baada ya kuchukuliwa na wazalendo yalikuwaje. Ama pitia reli walizoacha Wazungu zilikuwa na ufanisi wa kiasi gani, ukilinganisha na baada ya sisi kuanza kuziendesha. Ukimaliza kupitia hayo, ulete mrejesho wa ulinganifu wa ubora baina ya hao wazungu na hawa wazalendo uchwara, wanaotumia nguvu nyingi na akili kidogo.
 
Wewe ndiyo hopeless hujui kuwa CCM mda huu ilipaswa iwe chama cha upinzani kama KANU ya Kenya kwani haipo ikulu kwa ridhaa ya wapiga kura bali kwa nguvu ya Polisiccm NECCCM Tumeccm na wakurugenziccm, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaweza kuipa kura yake CCM ya sasa iliyojaa uonevu uchakachuaji wa kutisha na vitendo haramu vya kishamba na kishetani
 
Maana ya upinzani ni kuikosoa Serikali na kupinga ujinga wote wa CCM
sio kweli ndio maana wananchi wamewapiga chini uchaguzi mkuu watu wana shida ya hospitali barabara nk nyie mnasema hamhitaji maendeleo ya vitu mnataka maendeleo ya watu ok wanasema sawa tumewasikia haya mumekuwa wabunge bungeni kwa miaka kumi maendeleo yepi ya watu mliyoyaleta majimboni kwenu mkiwa wabunge?

mnabaki kutoa mimacho tu hamna cha kuonyesha cha maendeleo ya vitu wala ya watu halafu mnabweka ohh tuchagueni tena

upinzani gani wa kijinga kama huo

Asantenu wananchi kuwapiga chini upinzani wa kijinga huu kila kona ndio maana nasema chama kipya cha upinzani kinatakiwa kianzishwe hawa waliopo bure kabisa
 
Hicho chenu ukiacha "wizi wa kura", sera yake ingine ni ipi?
 
Baada ya kugundua kuwa ccm haitakiwi na umma, naskia mnapanga kusajili chama cha upinzani kitakachomilikiwa na ccm kwa siri Sana ili kuhadaa wananchi
 
Hakuna mwananchi kawapiga chini wapinzani, kura zote waliwapa wapinzani lakini CCM ikaulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani , hakuna cha kutoa macho na upinzani siyo wa kijinga kama CCM ndiyo maana CCM hutumia nguvu kubwa kuwahujumu kuwadhoofisha kuwabambikia kesi kuwapiga risasi, wapinzani wangekuwa Dhaifu CCM wasingehaha kutumia nguvu kubwa kuwapora ushindi, kama ulidhani utapata uteuzi kupitia mada hii yako sahau uteuzi kwani hata polepole atakakutaa kwa kuwatetea kifala fala mno
 
CCM ndiyo walipigwa chini lakini wakasimikwa ikulu na Polisiccm NECCCM Tumeccm wakurugenziccm kwa njia haramu za kishetani tupu hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaweza kuipa kura yake CCM
 
CCM TUTATUMIA DOLA KUBAKI MADARAKANI! Nimekupa mshahara,nyumba na gari harafu umtangaze mpinzani!
Mkuu kwa kauli hizi unatarajia chama gani kipya mbadala cha Upinzani?
 
Dr Slaa alikua mzalendo hadi chadema walipoamua kumsaliti kwa kumualika fisadipapa kugombea urais.
Akaamua arudi kule CCM ambako wameukataa ufisadi kwa vitendo kwa kumkata fisadi aliyetaka kushika dola kwani kulikua bora zaidi ya chadema
Kwa hiyo hakuna mzalendo alie upizani sasa.?
Maana dr slaa ni CCM
Nataka kujua ili Huyo mzalendo tumtumie kuazisha chama cha upizani km hakuna HIYO NDIO SABABU UPIZANI KUUMIZWA NCHI HII MAANA MZALENDO LAZIMA AWE CCM.
 
Mleta mada kwa Akili zake za kuvuta Bangi alizani akija na mada hiyo atapewa Uteuzi lakini kasahau kuwa CCM nao huangalia majibu ya wachangiaji mada na nina uhakika kwa majibu aliyopewa hata CCM watasitisha uteuzi wake
 
CCM TUTATUMIA DOLA KUBAKI MADARAKANI! Nimekupa mshahara,nyumba na gari harafu umtangaze mpinzani!
Mkuu kwa kauli hizi unatarajia chama gani kipya mbadala cha Upinzani?
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Hayo unayoniambia ya kufanya nao kazi nayajua sana mkuu. Wako smart sababu ya mifumo yao ya maisha ambayo iko advanced sana na wana utu pia sana. Wanathamini sana mtu anayethamini wa kwao na wanamshangaa sana mtu asiyekua na mapenzi na nchi yake. Nimefanya nao kazi umri wa kijana wa form4 sasa tunajuana vizuri. Nina wana familia wa huko pia na bahati nzuri hawana nongwa

Ila wote kwa ujumla wanawashanga mnavyomnanga rais Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…