Mbona ya ujenzi wa port mpya ya Bagamoyo hawaizumgumzii tena au ndio wamekwisha kata shauri kwamba such MEGA project involving China and Oman haitakiwi tena au wamehamua kwamba mradi huo autakiwi tena Bagamoyo badala yake ukuhamishiwe Zanzabar -mbinu za kutaka Zanzinbar ndio iwe HUB ya ports katika ukanda huu wa pwani ili ports nyingine including Dar port ziwe kama spokes tu, a very clever ploy indeed na wala TPA hilo hawalioni - before you know it even a Chinese Hitech industrial park planned at Bagamoyo port shall be shifted quietly to Zanzibar!!!
 
Mimi sielewi huku tumechukua mikopo kujenga, kupanua na kuboresha bandari ya Dar kabla mikopo hatujalipa hata robo tunaamua kuwaleta waarabu wawekeze mbona tunajichanganya sana? Mimi naona tutalia kilio cha mbwa mdomo juu!!! Msishangae hii SGR Dar Morogoro nayo haijaanza kazi inasubiri kampuni ya nje kuiendesha au kukodisha au kununua sijui
 
Unashangaa nini wakati ni nyinyi hapa kila siku munalalamika kuwa bandari inaendeshwa kwa hasara na mizigo inacheleweshwa? Mbona hamueleweki?
Pia tumelalamika wizara kufanya vibaya, mbona zenyewe hamzibinafsishi?
 
[emoji2962] nilitaka nielezee hapa ila sina mwanasheria[emoji848]
 
Yaani Dubai waje kuendeleza bandari Tanzania??

Huu ni ulemavu wa aina Gani lakini??

Hawa wasomi wanaomaliza vyuo kila siku wanafanya nini na elimu zao??

Mbona huko ulaya hawatuiti tukaendeleze za kwao??
Kwa mtindo huo maana yake, tunaendeleza vya kwao
 
[emoji2960]
 
View attachment 2646897
DP world wanaendesha port ya london ni kampuni kubwa ambayo ipo nchi nyingi tu za ulaya binafsi ninavyoijua hiyo kampuni ni neema sana kuja Tanzania
Sera za kikodi kwa hapa tz nazo ni msala! Wawekezaji wa ndani wana minywa makoo, bado hao wageni na wengi wanashindwa kufanya biashara sio wazawa wala wageni, sasa huyu anaewekeza! wateja wake ni akina nani!!?
 
Achana na mawazo mgando hayo mwendokasi tu imewashinda mtaweza bandari
 
Mswahili anaweza nini?? Ohoo katiba, kwa nini mnawapa uongozi!
 
Kuna watu wanaviakili vidogo kama tumbili humu, wakati umefika ni lazima tupate waendeshaji wenye influence kubwa na organisation kubwa katika ikiwepo teknologia kubwa kudhibiti wezi hapo bandarini alkadhalika kudeliver mizigo haraka within hours (kuziba uzembe wote hapo bandarini kupitia technology mpya) HONGERA HONGERA HONGERA.
 
Watanzania uchapaji kazi ni wa chini mno na kupenda kuridhika plus kufanya kazi kwa mazoea .

Hapo bandari pnatakiwa kazi kazi masaa 24 ila wafanyakazi wenyewe ndo hao mara leo weekend mara mtu ana matatizo ya kifamilia ,yule wa kike kapata dharura mwanae anaumwa mara hivi wapo kweny vikao ,ikifika mda wa kutoka mtu bado kazi zipo ila anaondoka instead ya kunalizia kazi ,kutwa vikao watu hawakai ofisini ,kulindana na wizi kwa vile wote waswahili.

Naona ukiachana na hao wawekezaji wachanganye wafanykazi kama wachina ,wakenya , wahindi na watu kutoka ulaya na America kama sehemu ya wafanyakazi ndo watapata kujifunza jinsi ya kufanya kazi.
 
Acha wavivu waondoke waje watu wa kazi

Ova
True mkuu,watu wanaongea kimhemko tu ila wangejua kuna meli ukaa pale nje ferry kwa mbele hadi mwezi kusubiri kuingia bandarini kuna baadhi ya ukaa pale hadi wanang'oa nanga na kwenda kushushia mzigo mombasa port gani inaendeshwa kizembe namna ile,ulezi wa dar port ndio unaipa opportunity mombasa port maana wabongo hawajali muda wanafanya kazi kimazoea,naamini DP wakipewa port hata wamalawi na wazambia wataacha kutumia beira port na kurudi kwetu
 
DP world watabadilisha mfumo wote wa vitendea kazi hapo bandari,bulk career ya tani laki 1 itakua na uwezo wa kupakia na kushusha ndani ya masaa 48 while sasa hivi inakaa mle bandarini hadi wiki 2,hiyo bandari itakua busy sana sio kama sasa hivi kwa siku inaingiza meli 2 ni aibu kwa port inayotakiwa ihudumie nchi zaidi ya 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…