Sio walalamikaji bali ni wazalendo ambao wanaitakia mema nchi yao! Nchi yetu lini itaacha kuwa tegemezi ? Tumekuwa na TICS hapo bandarini kwa zaidi ya miaka kumi tumejifunza nini?sikumaanisha wewe in person lakini humu kwenye jf ndiyo wanakuja walalamikaji.
Kitu gani kinatushinda kuendesha bandari iwapo kila mwaka tunao vijana toka vyuo vikuu hawana ajira? How costly will it be to train them to be able to efficiently run our ports? Hata kama hatuna hao watu we can hire professionals but run the ports ourselves!
Hapa hakuna uzalendo bali harufu ya ufisadi wa kutafuta hela za uchaguzi. Tukumbuke tu kuwa remote iko Msoga!