lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
samia ameuza nchi kwa wajomba zake waarabu.Bandari zote za Tanganyika ziko chini yao na wala hajafanya hivyo kwa bandari ya kwao zanzibar.Mh. Rais, hili ni ombi langu na la watanzania wenzangu walio wengi kwako kwako, tunaimani na wewe na kwakweli tunakupenda.
Tafadhali sana Mama, hebu Jitokeze na uondoe taharuki iliyopo kwenye nyoyo za watanzanua juu ya Bandari ya Dar es salaam.
Kuna hofu na hasira isiyo kifani, ukimya juu ya Jambo hili unaweza kuingiza Taifa kubaya. Vinginevyo nakutakia afya njema na Mwenyezi Mungu akubariki sana.
sami/mbarawa ni jipu.tiss fanyeni jambo nchi inapigwa mnada.