Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam
Mh. Rais, hili ni ombi langu na la watanzania wenzangu walio wengi kwako kwako, tunaimani na wewe na kwakweli tunakupenda.

Tafadhali sana Mama, hebu Jitokeze na uondoe taharuki iliyopo kwenye nyoyo za watanzanua juu ya Bandari ya Dar es salaam.

Kuna hofu na hasira isiyo kifani, ukimya juu ya Jambo hili unaweza kuingiza Taifa kubaya. Vinginevyo nakutakia afya njema na Mwenyezi Mungu akubariki sana.
samia ameuza nchi kwa wajomba zake waarabu.Bandari zote za Tanganyika ziko chini yao na wala hajafanya hivyo kwa bandari ya kwao zanzibar.

sami/mbarawa ni jipu.tiss fanyeni jambo nchi inapigwa mnada.
 
Ndugu wasomi na wenye uelewa juu ya mambo ya uchumi na ushirikiano wa kimkataba baina ya mataifa mawili, tuelezini uzuri na madhara ya ubinafsishaji wa bandari.

Sipendi sana kelele za chawa na wanasiasa uchwara kwenye mambo makubwa na mazito kama Aya.

Wanasiasa husasani wa mlengo wa kushoto walikua wakipigia kelele serikali zilizopita Kwa kukubali na kusaini mikataba ya ovyo. Aidha hata huu wameupinga.

Sasa ombi langu ni kwamba, tuchambue hili jambo Kwa kuangalia namna inchi na wanainchi watakavonufaika vs namna ambavyo nchi na wanainchi watakavo athirika. Tuangalie mzani unalalia wapi ndo tuamue tuende wapi? (ikumbukwe hakuna jambo utalifanya likawa na faida, litakua na faida. Kinachotazamwa kipi kimezidi na ndo uchaguzi sahihi).

Ila kilichonishtua ni kwamba mkataba umesainiwa na umeanza kufanya kazi na bunge hawajajadili. It is stupid, non sense, ndo maana ya udikteta uchwara kama wa mwenda zake.

KARIBUNI KWA HOJA...
 
Mkataba wa ukodishaji Bandari ya Tanzania kifungu 21 unasema mkataba utatumia sheria za kingereza (English Law) swali je Tanzania Law wameona zina hombwe je siyo dharau kwa nchi?
Screenshot_20230608_000623_Instagram.jpg
 
Yamshinde rais mwenye "think tankers" uyaweze wewe mnywa kangara?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]Huu nao si "insanity" na "grandeur delusion"?!!! [emoji1787]
Maskini hukunielewa wala hujijui wala hujui usemalo. Hii ndiyo hasara ya kupwakia mambo na ulimbukeni. Haya shinda wewe na bibi yako anayewauza ili waarabu wakawafiiiirieee mbali
 
Anayefir....a ni mama yako mzazi...

Huna unalojua zaidi ya upumbavu tu.....
Heri mama yangu kuliko wewe na mama, baba yako, wewe, wajomba, babu, kaka, bibi na ukoo wenu wote hadi kizazi cha kumi. Unanuka kufiiir fiiiirw wewe tena mzenj ambao wote ni kizazi cha watumwa
 
Bila kupepesa macho ujinga unaanzia kwako punguani mkubwa ,ukiongea kawaida mtu hawezi kuelewa, bila shaka wewe ndiye walikutupia huko ukalelewe
Huujui ujinga wa kuanzisha maneno mabovu eee?

Sasa unajitia uVICTIM wa maneno yangu [emoji1787][emoji1787]

Kutojielewa kuna madhara mtambuka....
 
Sheria ni kwaajili ya masikini.

Kula chuma hiko. Mtanikumbuka kwa mazuri sio kwa mabaya.
 
Sina ugomvi na hili. Unafukuza wezi na kuingiza wengine. Hii ni akili au matope? Tunachoongelea hapa ni maslahi mapana ya taifa. Kwani hilo pango lilimshinda rais na mamlaka yote na vyombo vyote vya maguvu au alikuwa akinufaika na ujambazi huu? Nadhani kati yangu nawe na huyo unayemtetea kibubusa unaweza kuona nani mkumbaff kumbaff we
Pumbavu baba yako na mama yako waliokufundisha uchokrrrrrr.....

Maslahi ya taifa unayajulia wapi sakala uliyejaa chuki dhidi ya watanzania wenzako....una taifa lako la pekee katika huo mkundrrrrr wako mpana uliofundishwa ushogrrrr na baba yako chokrrrr?!!!!
 
Pumbavu baba yako na mama yako waliokufundisha uchokrrrrrr.....

Maslahi ya taifa unayajulia wapi sakala uliyejaa chuki dhidi ya watanzania wenzako....una taifa lako la pekee katika huo mkundrrrrr wako mpana uliofundishwa ushogrrrr na baba yako chokrrrr?!!!!
We mkunwanyuma unaanza kuishiwa matusi. Wazanzibar si raia wa nchi yetu. Mna bahati ya huyo baba yenu Nyerere. Asingewapa mahali pa kuja kuzaliana kama inzi mngekuwa mnakulana wenyewe kwenye umaskini.

Utasiki mipumbavu michache kama wewe inatuita machogo wakati nyinyi ni machoko. Kwa vile umeishiwa matusi, endelea na useeengeji wako uliomo kwenye familia yenu.

Mkundi wako unanuka wala mimi siyo bashi katafute wa kukufiiiri wewe jibua koko
 
Mkataba unasema bandari zote,, viwanda vya free economy zone, miundo mbinu ya bandari zote inaboreshwa, mitambo itakayowekwa itapunguza ajira na itazuia watu wenye deal zetu pale,, nachotaka kujua nchi itapata nini kwenye hili deal
Je na bandari za Zanzibar
 
Salama JF
Kama ilivyo dunia kote, vitengo vya usalama wa taifa na makundi ya kijajusi kama CIA, FBI, MOSSAD, M16 na KGB wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha maslahi ya taifa kiuchumi, kijamii na kisisa yanazingatiwa katika hali yoyote ndani ya nchi. Pia mashirika ya ujajusi huwa yanachunguza, kukusanya, kuchambua na Kuja na tathmini halisi ya chochote kinachohusu nchi na kuhakikisha nchi inafanikiwa kivyovyote. Je kwa Haya tunayoshuhudia kwenye MoU ya ubinafsishaji wa bandari ya Dar es salaam ndo kusema kua TISS wanaona ni sawa? Je hichi kinachotaka kutokea TISS mmefanya kazi yenu? Je TISS Ina kitengo kinachoshughulikia uchumi kwa maslahi ya taifa au vitengo watu wamepeana kwa kufahamiana?

Hii ni tafakuri tu ili kujua kama watanzania tunachakujivunia kuwa tupo salama kiuchumi, kisisa, na kijamii chini ya TISS.
 
Back
Top Bottom