Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam
Ukiona mpaka hawa wapambe na wapinzani wa Magufuli wameanza kuelewa somo bhs jua hali ni mbaya. Mange kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost na kuandika

“sikudhani ingekuja kutokea siku kwenye maisha yangu nikakubalina na kitu alichosema Magufuli. This is all your fault Mama Samia. Alichosema Magufuli ndio mkataba ambao wewe umeukubali sababu ya kuwasikiliza hao mafisadi waliokuzunguka.

Mtanzania yoyote anaesapoti hili dili la DP World na Tanzania ana maslahi yake binafsi la sivyo basi ana utindio wa ubongo......

Alafu na nyie watu wa Magu msianze na comments za oooh!! tulikwambia Magu this Magu that. Tayari naumia roho vya
kutosha kukubaliana nae kwenye hii issue sasa msiniongezeee maumivu...... Na msimamo wangu bado uko pale pale kuhusu Magu ila kwa hili la bandari Magu na ubipolar wake was 100% right.”

IMG_1204.jpg

IMG_1205.jpg

Najua mpo wengi mnamchukia mzee baba ila Moyoni mnamkubali mzee baba. Muda upo tutaimba pamoja hapa.
 
Muda bado upo tutatafutana hapa wakati tukiwa watumwa tayari wa familia chache.
 
Wale Misukule Waliomshambulia JPM wanaaanza kupona Mtindio wa Ubongo. Taratiiiiiibu wenye akili wanaanza kuongezeka. HASHTAG BANDARI YA SALAMA ITABAKI SALAMA DAIMA
 
Ukiona mpaka hawa wapambe na wapinzani wa Magufuli wameanza kuelewa somo bhs jua hali ni mbaya. Mange kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost na kuandika

“sikudhani ingekuja kutokea siku kwenye maisha yangu nikakubalina na kitu alichosema Magufuli. This is all your fault Mama Samia. Alichosema Magufuli ndio mkataba ambao wewe umeukubali sababu ya kuwasikiliza hao mafisadi waliokuzunguka.

Mtanzania yoyote anaesapoti hili dili la DP World na Tanzania ana maslahi yake binafsi la sivyo basi ana utindio wa ubongo......

Alafu na nyie watu wa Magu msianze na comments za oooh!! tulikwambia Magu this Magu that. Tayari naumia roho vya
kutosha kukubaliana nae kwenye hii issue sasa msiniongezeee maumivu...... Na msimamo wangu bado uko pale pale kuhusu Magu ila kwa hili la bandari Magu na ubipolar wake was 100% right.”

View attachment 2650058
View attachment 2650059

Najua mpo wengi mnamchukia mzee baba ila Moyoni mnamkubali mzee baba. Muda upo tutaimba pamoja hapa.
Mwamba alikuwa hamng'unyi maneno 🙏🏿

Kubinafisha Bandari, viwanja vya ndege na vitu vinavyofanana na hivyo,

Ni kusema lolote na Liwe!

Bandari ni eneo nyeti linalobeba siri nyingi za nchi, kadhalika viwanja vya ndege

Kujaribu kuvibinafisisha, ni kuondoa pazia ili kila mwenye kuchungulia ataona kila kilichochumbani
 
Aisee..
 
Nisawa nakuuza nyumba nakwenda kulala kwa jilani
 
Acheni ujima nyie,huko ulaya kwenyewe bandari zinaendeshwa na wawekezaji na sio serikali,hao DP world wanaendesha bandari nyingi tu ulaya yan mje kulalamika kwa iko kibandari chenu uchwara,ngojeni waje hao DP muone kama kuna meli itakaa bandarini siku 3 au wiki kule out anchor kusubiri kuingia bandarini,hao meli ndani masaa tu ishadischarge na kuondoka na nyingine inaingia,acheni upuuzi na ujuha
Akili kama hizi ndio zimejaa bongo hii na ndio zinautunza umaskini wetu. Very primitive mindset.

SSH anataka tutoke hapa tulipo, tusiendelee kuacha fursa ya kiuchumi ikawa inapotea kila kukicha. Tunajenga SGR halafu bandari iendelee kuwa ya kijinga yenye misusuru ya foleni zisizo na tija, ambazo hutengeneza mazingira ya rushwa kila siku.

Tunapenda sana kufuga ujinga na kuutetea kwa hoja nyepesi za kisiasa. Hata kile kifo cha shabiki mmoja pale uwanja wa Taifa mechi ya Yanga vs USM Algiers chanzo ni rushwa tu, wangeweza kufungua milango saa tatu asubuhi lakini hawakutaka wakasubiri saa saba mchana ili uwepo msongamano wa watu na wao ndio muda wao wa kutengeneza pesa rahisi rahisi.

Siasa za kijinga zimetupotezea sana muda na hatuumizwi na hali hii hata kidogo tunaona poa tu kuishi kama mdudu aliyefungiwa ndani ya chupa tupu ya bia!.
 
hivi, tukiwapa DP world hii bandari, tutafaidika na nini, manake kodi hatutapata wao ndio watasimamia? au nini, tuelewesheni. sisi tutabaki kufaidika na nini?
 
Akili kama hizi ndio zimejaa bongo hii na ndio zinautunza umaskini wetu. Very primitive mindset.

SSH anataka tutoke hapa tulipo, tusiendelee kuacha fursa ya kiuchumi ikawa inapotea kila kukicha. Tunajenga SGR halafu bandari iendelee kuwa ya kijinga yenye misusuru ya foleni zisizo na tija, ambazo hutengeneza mazingira ya rushwa kila siku.

Tunapenda sana kufuga ujinga na kuutetea kwa hoja nyepesi za kisiasa. Hata kile kifo cha shabiki mmoja pale uwanja wa Taifa mechi ya Yanga vs USM Algiers chanzo ni rushwa tu, wangeweza kufungua milango saa tatu asubuhi lakini hawakutaka wakasubiri saa saba mchana ili uwepo msongamano wa watu na wao ndio muda wao wa kutengeneza pesa rahisi rahisi.

Siasa za kijinga zimetupotezea sana muda na hatuumizwi na hali hii hata kidogo tunaona poa tu kuishi kama mdudu aliyefungiwa ndani ya chupa tupu ya bia!.
Kwahiyo mikataba yenye terms za kipumbavu tukubali tu!!

Mwarabu achukue bandari kwa muda usiojulikana. Tukubali tu.

Sheria ilipitishwa kwamba kesi zote na wawekezaji zitafanyika nchini , leo tuanaambiwa kesi zitaamuliwa SA au Uingereza.

Kwahiyo tukubali tu Mali zetu zichukuliwe.

Wewe ndiyo Aina ya wasomi tulio nao na ndiyo maana kwa upumbavu huu haya yanatokea.
 
Back
Top Bottom