Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam
Mkataba wa kubinafsisha bandari yetu ya Dar es Salaam umefichua madhaifu makubwa ya mama Samia na chama chake cha CCM.

Kwa hili na mengine mengi mama awekwe kando pamoja na chama chake, hawa ni hatari kwa maslahi ya nchi yetu.
Pole sana ndugu yangu.
Hivi tangu lini CCM imekuwa ikitegemea kura za wananchi ili kuendelea kubaki madarakani??
 
Watanzania ni majizi hata uyakabidhi bustani ya mboga yataiba mpaka mbegu hayajali umewekeza pesa kiasi gani na jinsi gani unataka huo mradi ukusaidie,,matanzania yatakuibia tu!!! Bandarini Nani asiyejua hata Magufuli mwenyewe palimshinda,,sasa serikali imeona niia pekee ya kupata ufanisi ni kubinafsisha kwa mkataba ambao utaleta nafuu kubwa basi majizi mazoefu yanapiga kelele hayataki kukosa ulaji,,,,Samia kanyaga twende mpaka pale tutakapo tengeneza kizazi kizalendo.haiwezekani mpaka mlinzi wa geti bandarini ni tajiri,acha akae mwekezaji tuone kama huo utajiri mtaupata,,,chamsingi tupate Kodi zetu na tozo zingine kutoka kwa mwekezaji baaaasi!! Haiwezekani bandari mpaka leo utafikiri mwalo wa wavuvi acha teknolojia kubwa zifungwe bandari iaminike na nchi jirani kutokana na wepesi wa upakuaji mizigo utakaopatikana bandarini hapo mwisho wa siku pato la bandari likue na ajira pembezoni mwa bandari zipatikane,,,hakuna mwekezaji atakae kubali kibaka mmoja achezee flow meter then milioni za lita za mafuta zipite bila kujulikana,,,,wtz tunaongoza kwa wizi duniani acha tuongozwe mpaka tuwe tiyari,,,Jana nmemsikia kiongozi wangu Mbowe anakemea lakini kwa hili sipo nae kabisa,,,labda aniambie kwanini mashirika yote ya umma yamekuwa hayazalishi inavyotakikana mwisho wa siku tunalimbikiziwa tozo kila mahali,,,,Mh.Mbowe sidhani kama kahongwa bali nimeona ka udini flani kanamtawala ndo maana kahoji kwanini bandari za Zanzibar hazijabinafsishwa!? Sasa kwanini zibinafsishwe wakati zinafanya vizuri!? Wtz ni wajinga,,wezi,wanafiki,waoga,hawajui wanataka nini!!wapo wapo tuuuuu!! Leo tyr katiba mpya tumesahau tumedandia mambo ya bandari amabayo kila mtu anajua ilivyooza kwa wizi,,Samia anataka hela ya kuhudumia wtz alafu kuna wezi wako sehemu nyeti kama bandari wanahujumu na kuiba sasa kwanini asitafute muarobaini kama anavyotaka kufanya!???
Naunga mkono hoja 💯%
 
Waarabu hata walimilikishwa bandari kimagumashi wataitema ndani ya muda tu

Ile mijitu ni migaidi inaajenda ya kuharibu nchi yetu
 
Siongei na wanyambo Mimi!!! Sasa kama hawezi kuondoa umaskini kwanini unampigia kelele si uachane nae afanye anayofanya !?
Wewe ni kapuku tu! Mwarabu tangu lini akawa na huruma ya kimaendeleo na wewe kapuku unaeshinda kibarazani unachati?
 
Uko sahihi nilikuta jamaa mmoja alikuwa anafnya kazi mochwari anasema alikuwa anawanyoa maiti nywele za Siri,maji aliyowaoshea na kucha anaenda kuuza hivi sisi hatusitahili kutawaliwa tena kwa matendo hay!?
😆😆😆😆😆🤣🤣 aisee sina mbavu.
 
Wewe ni kapuku tu! Mwarabu tangu lini akawa na huruma ya kimaendeleo na wewe kapuku unaeshinda kibarazani unachati?
E1bU53bWUAc907P.jpg

Kwa hiyo Ofisaa wa Takukuru hana huruma?
 
Watanzania ni majizi hata uyakabidhi bustani ya mboga yataiba mpaka mbegu hayajali umewekeza pesa kiasi gani na jinsi gani unataka huo mradi ukusaidie,,matanzania yatakuibia tu!!! Bandarini Nani asiyejua hata Magufuli mwenyewe palimshinda,,sasa serikali imeona niia pekee ya kupata ufanisi ni kubinafsisha kwa mkataba ambao utaleta nafuu kubwa basi majizi mazoefu yanapiga kelele hayataki kukosa ulaji,,,,Samia kanyaga twende mpaka pale tutakapo tengeneza kizazi kizalendo.haiwezekani mpaka mlinzi wa geti bandarini ni tajiri,acha akae mwekezaji tuone kama huo utajiri mtaupata,,,chamsingi tupate Kodi zetu na tozo zingine kutoka kwa mwekezaji baaaasi!! Haiwezekani bandari mpaka leo utafikiri mwalo wa wavuvi acha teknolojia kubwa zifungwe bandari iaminike na nchi jirani kutokana na wepesi wa upakuaji mizigo utakaopatikana bandarini hapo mwisho wa siku pato la bandari likue na ajira pembezoni mwa bandari zipatikane,,,hakuna mwekezaji atakae kubali kibaka mmoja achezee flow meter then milioni za lita za mafuta zipite bila kujulikana,,,,wtz tunaongoza kwa wizi duniani acha tuongozwe mpaka tuwe tiyari,,,Jana nmemsikia kiongozi wangu Mbowe anakemea lakini kwa hili sipo nae kabisa,,,labda aniambie kwanini mashirika yote ya umma yamekuwa hayazalishi inavyotakikana mwisho wa siku tunalimbikiziwa tozo kila mahali,,,,Mh.Mbowe sidhani kama kahongwa bali nimeona ka udini flani kanamtawala ndo maana kahoji kwanini bandari za Zanzibar hazijabinafsishwa!? Sasa kwanini zibinafsishwe wakati zinafanya vizuri!? Wtz ni wajinga,,wezi,wanafiki,waoga,hawajui wanataka nini!!wapo wapo tuuuuu!! Leo tyr katiba mpya tumesahau tumedandia mambo ya bandari amabayo kila mtu anajua ilivyooza kwa wizi,,Samia anataka hela ya kuhudumia wtz alafu kuna wezi wako sehemu nyeti kama bandari wanahujumu na kuiba sasa kwanini asitafute muarobaini kama anavyotaka kufanya!???

Kwa kifupi unasema kulikua hakuna haja ya kupigania Uhuru mwaka 1960, ni heri tungeendelea kutawaliwa na wakoloni.
 
DpWaorld bandari zao port charges ha handling charges huwa ziko chini.
 
Wewe ni kapuku tu! Mwarabu tangu lini akawa na huruma ya kimaendeleo na wewe kapuku unaeshinda kibarazani unachati?
Huna unachojua jamaa acha chuki dhidi samia zinazokupelekea kila afanyacho ni batili,,,kalime mama kafungua mipaka uza kokote unakotaka punguza chuki,,nchi iko salAma Samia hawezi kuvuka mstari mwekundu.
 
Uko sahihi nilikuta jamaa mmoja alikuwa anafnya kazi mochwari anasema alikuwa anawanyoa maiti nywele za Siri,maji aliyowaoshea na kucha anaenda kuuza hivi sisi hatusitahili kutawaliwa tena kwa matendo hay!?
Jamani jamani halafu tunajiita binadamu

Laana hizi tunazitafuta, sasa huyo mganga unamkuta hata hela hana ila matendo ya kishetani tu
 
Kwani huyo Kuna sehemu kapewa Bandari amiliki Kwa muda usiojulikana? Huyu hata Mimi nikiwa Rais nambadilishia majukumu. Huyu hana madhara
Kapewa takukuru aimiliki kwa muda usiojulikana
 
Huna unachojua jamaa acha chuki dhidi samia zinazokupelekea kila afanyacho ni batili,,,kalime mama kafungua mipaka uza kokote unakotaka punguza chuki,,nchi iko salAma Samia hawezi kuvuka mstari mwekundu.
Wewe ni kapuku Kwa sababu Moja kuu, unatetea dhambi ya uuzwaji wa Bandari na mashart yake yote hadi maziwa makuu.
 
Mwarabu ameshagawa mabilion kwa mafisadi wa Tanzania lazima aichukue bandari
Kama kuna Hila utapeli tena kweli Haipo, na mambo Kama hayo Basi Mwenyezi Mungu Ingilia Kati ili matunda ya kifisadi wasifaidike nayo!
TUNAKUOMBA MWENYEZI MUNGUKUPITIA ZABURI.109[emoji120]
[emoji116][emoji116]
Zaburi 109:8-16
8Siku za maisha yake ziwe chache,
mtu mwingine na achukue kazi yake!

9Watoto wake wawe yatima,
na mke wake awe mjane!

10Watoto wake watangetange na kuombaomba;
wafukuzwe katika magofu ya nyumba zao!

11Anayemdai kitu amnyanganye mali yake yote;

na wageni wanyakue mapato ya jasho lake!

12Pasiwe na mtu wa kumwonea huruma,
au Kuwatunza watoto wake yatima!

13Wazawa wake wote wafe;
jina lake lisahauliwe katika kizazi kijacho!

14Mwenyezi-Mungu aukumbuke uovu wa wazee wake,
dhambi za mama yake zisifutwe kamwe!

15Mwenyezi-Mungu azikumbuke dhambi zao daima;
lakini wao wenyewe wasahauliwe duniani.

16Mwovu huyo hakujali kabisa kuwa na huruma,
ila aliwadhulumu maskini na fukara,
kadhalika na watu wanyonge mpaka kifo

Watu wote Waseme AMINA[emoji120][emoji2533]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam.

Pia soma > Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha mpaka Bandari? Tusikubali hili

Hili litaweka mazingira ya kufanyika kwa taratibu nyingine, ikiwamo mkataba wa makubaliano, kabla ya kuanza kwa sura mpya ya ushirikiano kati ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na DP World, kampuni ya kimataifa ya usafirishaji yenye makao yake makuu Dubai, Falme za Kiarabu.

Kampuni hiyo, ambayo mbinu yake ni kuondoa vizuizi vya biashara na kuunda mfumo ikolojia wa biashara ili kupanua mtiririko wa biashara ya ndani ya kikanda na kimataifa, itapewa gati ya tano hadi saba kushughulikia

Kwa kuingia ubia huo wa mashirikiano, Serikali inatarajia kuongeza ukusanyaji wa mapato kupitia bandari hiyo kwa asilimia 233.7 katika miaka kumi ijayo.

---

Parliament is this month expected to debate and approve the Intergovernmental Agreement (Iga) between Tanzania and Dubai on developing Dar es Salaam Port, The Citizen can reveal.

This will set the stage for other procedures, including the concession agreement, before the commencement of a new chapter for cooperation between the Tanzania Ports Authority (TPA) and DP World, a multinational logistics company based in Dubai, the United Arab Emirates.

The company, whose approach is to remove barriers to trade and create a trade ecosystem to expand the flow of both intra-regional and global trade, will be given berths five to seven to handle, according to Works and Transport minister Makame Mbarawa.

He told The Citizen in an exclusive interview last week that by working with DP World, the government expects to increase revenue collection through the port by 233.7 percent in the next ten years.

Prof Mbarawa said the target was to raise the amount in revenue that is collected from the port from the current Sh7.79 trillion per year to Sh26 trillion in the next decade.

“The potential private sector investment could enhance the competitiveness of Dar es Salaam Port by improving service quality and increasing efficiency,” he said.

It is on those grounds that more business could be drawn to the port, thus boosting revenue and contributing to Tanzania’s overall economic development.

Amidst current inefficiencies impacting end customers and escalating costs, private sector investment in the Port of Dar es Salaam is being recognised as a potential game-changer.

Prof Mbarawa said the government had made up its mind to partner with DP World in developing the port.

On why the government chose DP World, Prof Mbarawa said the company was uniquely positioned to partner with the government as it is a global logistics company that is capable of delivering the required nationwide transformation across the entire logistics value chain.

The company has a proven track record of managing, operating and investing in trade infrastructure in Africa for over 20 years to the highest international standards.

“We have great confidence in DP World and it is on that ground that we are planning to give to it berths five to seven to handle,” Prof Mbarawa said.

“With DP World, we expect to see improvement in the port’s performance. We expect to see the discharge period of vessels being cut to one day from the current four to five.”

This, explained Prof Mbarawa, could mean the removal of barriers to trade, which is key to driving and increasing trade flows.

The potential impact of private sector investment underscores the port’s strategic importance to Tanzania’s economy and its potential to catalyse economic growth and development in the country.

The potential introduction of cutting-edge technologies, advanced equipment and skilled personnel could enable the port to handle more cargo, alleviate congestion, and expedite ship turnaround times, thereby reducing costs for end customers.

Tanzania Shipping Agents Association (Tasaa) chairman Daniel Malongo said he had confidence in DP World, adding that it was among the world’s top four companies in the running of ports.

He commended the way the company has mechanised its handling equipment as well as operating and revenue collection systems.

“Transparency is of high degree since every movement from the time container is coming from the vessel to the port and ICD (Inland Container Depot), is reflected in the system,” said Mr Malongo.

“This will be of paramount importance to our country since it provides no loophole for revenue leakage.”

Tanzania Freight Forwarders Association (Taffa) president Edward Urio was also upbeat, saying DP World will add value to Dar es Salaam Port’s performance.

He said the company will bring in innovation, efficiency and competition to other operators handling berths eight to 11.

“They (DP World) have a good reputation. They handle some of the biggest ports in the world,” said Mr Urio.

Going by the TPA figures, the port handled 17 million metric tonnes of cargo in 2021, up from 14 million tonnes recorded in 2017, thanks to expanded capacity, marketing drive, recovery from Covid-19 and an enabling business environment.

It is believed that the involvement of the private sector brings the prospects for improved connectivity and the potential for expansion and modernisation of facilities at the port.

Stakeholders believe that the involvement of the private sector will pave a way for developing new terminals, refurbishing existing ones, and providing additional services such as warehousing, logistics and ship repair.

This could in turn create new job opportunities, boost revenue, and draw more business to the port.

Moreover, this potential investment could stimulate economic diversification by attracting new sectors and businesses to the port.

DP World investment in Tanzania will modernise the port’s infrastructure by investing in the equipment, processes and systems at the port of Dar es Salaam to bring operations to world class levels of productivity, the company said in its recent statement.

The statement said the company will improve ease of doing business by using modern technology to shape the visibility, transparency, and speed up transit of cargo across Tanzania ports, Inland Container Depots and borders.

Source: The Citizen
Shida sio kubinafsishwa hata wengi wanaunga mkono tatizo ni hizo terms za ubinafsishaji terms ambazo zinasema hata wakivunja vipengele vya mkataba huwezi kuvunja mkataba. Kwanini ziwepo terms za namna hiyo maana zinawalinda na kuwafanya wasilazimike kutekeleza
 
Back
Top Bottom