Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam
Jiweke kwenye nafasi ya maamuzi. Yaani wewe wewe yaani ulisema umesema tu.

Halafu anakuja Mwarabu na ndevu zake nzuri tu na wewe unaamini hao ndio dam takatifu ya kwendea peooni.
Halafu huyo mjukuu wa Mtume wako anakuoatia Mijumba pale pale Dubai kati yaani pale town kabisa karibu na lile jengo reefu linalo Waka picha na bendera.

Halafu Sasa halafu, anakwambia umuuzie kiwanja cha mama wa kambo. Fikiria kwa makini kweli kabisa Ungejua wewe ungekataaa?
 
Kweni Barrick haijawahi kuwahonga nyumba Canada?
 
Jiweke kwenye nafasi ya maamuzi. Yaani wewe wewe yaani ulisema umesema tu.

Halafu anakuja Mwarabu na ndevu zake nzuri tu na wewe unaamini hao ndio dam takatifu ya kwendea peooni.
Halafu huyo mjukuu wa Mtume wako anakuoatia Mijumba pale pale Dubai kati yaani pale town kabisa karibu na lile jengo reefu linalo Waka picha na bendera.

Halafu Sasa halafu, anakwambia umuuzie kiwanja cha mama wa kambo. Fikiria kwa makini kweli kabisa Ungejua wewe ungekataaa?
Kiwanja Cha mama wa kambo( Tanganyika yangu)
 
Wewe mwenyewe nikifika bei unawasaliti ndugu zako nyumba ya Marathi hata mama yako utamzika

Pigeni kazi nyie acheni kusubiria mirathi mtakufa masikini tu

Siku mkiacha wizi tu mmeula
 
Waarabu eanajimegea tanganyika watakavyo

Tuliyemkabidhi atulindie ndio anawasaidia
 
Rais wa awamu ya kwanza angemua kuuza nchi usingekuwa na huo uhuru wa kuandika hata hapa JF.
Jiweke kwenye nafasi ya maamuzi. Yaani wewe wewe yaani ulisema umesema tu.

Halafu anakuja Mwarabu na ndevu zake nzuri tu na wewe unaamini hao ndio dam takatifu ya kwendea peooni.
Halafu huyo mjukuu wa Mtume wako anakuoatia Mijumba pale pale Dubai kati yaani pale town kabisa karibu na lile jengo reefu linalo Waka picha na bendera.

Halafu Sasa halafu, anakwambia umuuzie kiwanja cha mama wa kambo. Fikiria kwa makini kweli kabisa Ungejua wewe ungekataaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida sio kubinafsishwa hata wengi wanaunga mkono tatizo ni hizo terms za ubinafsishaji terms ambazo zinasema hata wakivunja vipengele vya mkataba huwezi kuvunja mkataba. Kwanini ziwepo terms za namna hiyo maana zinawalinda na kuwafanya wasilazimike kutekeleza
Huo mkataba unao uuweke hapa tusome!?
 
Jiweke kwenye nafasi ya maamuzi. Yaani wewe wewe yaani ulisema umesema tu.

Halafu anakuja Mwarabu na ndevu zake nzuri tu na wewe unaamini hao ndio dam takatifu ya kwendea peooni.
Halafu huyo mjukuu wa Mtume wako anakuoatia Mijumba pale pale Dubai kati yaani pale town kabisa karibu na lile jengo reefu linalo Waka picha na bendera.

Halafu Sasa halafu, anakwambia umuuzie kiwanja cha mama wa kambo. Fikiria kwa makini kweli kabisa Ungejua wewe ungekataaa?
Fikra zako zipo vizuri sana mkuu Hongera sana.

Ipo hivi;
1. Atakayekubali ni yule kiongozi / mwananchi mbinafsi asiye na maono juu ya kizazi chake kijacho. Na kwa bahati mbaya hatujalelewa kuwaza juu ya kizazi kijacho. Mifumo yetu ya maisha na ya kijamii pamoja na mifumo ya elimu haitupi nafasi ya kufikiria juu ya wengine.

2. Kiongozi anayejitambua yupo tayari kufa kwa ajili ya wale anaowaongoza, kamwe hawezi kukubali. Mifumo yetu pamoja na jamii haijaandaa watu wa namna hiyo.

Tuna jukumu kubwa sasa na kukubali kufa/ kuteseka kwa ajili ya kuibadili mifumo hiyo ya kijamii. Watoto wetu tuwajengee hali ya kuwa na uchungu na mali za nchi walipozaliwa.
 
Nawasalimu kwa jina la NetGroup Solutions nikiwa South Africa
 
Huo mkataba unao uuweke hapa tusome!?
Si tunaona mtandaoni unless serikali ikanushe sio wenyewe na iweke mkataba ambao inasema ni wenyewe. Hata escrow serikali ilianzaga kwa kukana hata richmond hakuna siku serikali huwa inakubali mapema
 
Mkataba wa kubinafsisha bandari yetu ya Dar es Salaam umefichua madhaifu makubwa ya mama Samia na chama chake cha CCM.

Kwa hili na mengine mengi mama awekwe kando pamoja na chama chake, hawa ni hatari kwa maslahi ya nchi yetu.
Sina hakika kama CCM ilisha tegemea kura toka kwa wananchi ili ibaki madarakani kama utabisha twende kwenye takwimu
 
Hiv mpka leo mie nasoma ila naona kma utani hiv kweli RAIS WA INCHI ANAWEZA KURUHUSU NA KUTIA SAINI KWENYE JAMNO HATARI KMA HILI?
 
WATANZANIA waeneo mbalimbali nchini wakiwemo wananchi wa Mkoa wa Mara wamepaza sauti zao kuhusu mkataba wa kuuza bandari kwa mwarabu na kusisitiza kuwa wakifanya hivyo waondoke moja kwa moja kwenda Dubai.

Miongoni mwa Watanzania wamewaandikia barua wabunge kuwa wakipitisha azimio hilo wasirudi majimboni wapitilize moja kwa moja Dubai" maana watakuwa wamewasaliti watanzania waliowatuma kwenda kuwawakilisha bungeni na kwenda kinyume cha kiapo cha wabunge cha kulinda mali za watanzania kupitia Katiba.

MOJA YA BARUA HIZO ZA WATANZANIA NI HII

I BRAHIM JEREMIAH
S.L.P 602
SONGEA
06/06/2023

KATIBU WA BUNGE, OFISI YA BUNGE
10 BARABARA YA MOROGORO
S.L.P 941,
40490 TAMBUKARELI
DODOMA

YAH. KUPINGA AZIMIO LA UBINAFSISHWAJI WA BANDARI KWA KAMPUNI YA DP WORLD

Ndugu
Husika na Kichwa cha barua hapo Juu,

Mimi ni Mtanzania ambaye nimeguswa na suala hili na kimsingi nina wajibu wa kutoa maoni yangu ili Taifa letu lisiingie matatizoni,

Jambo hili limezua taharuki kwa Watanzania wengi waliosoma na kusikia taarifa hii kwasababu Bandari ni jambo linalohusu Umma,

Lakini pia mchakato huu umekuwa wa haraka na ushirikishwaji wa wananchi umekuwa mdogo sana, hivyo umesababisha kuongeza mashaka zaidi kwa Watanzania,

Hivyo nashauri mkataba huu ubatilishwe kwasababu hizi zifuatazo,

Bandari ni moyo wa Uchumi wa nchi na Kitovu kikubwa cha mapato yetu hivyo kwa umuhimu na Unyeti wake ni muhimu maeneo haya yasibinafsishwe na yakaendelea kuendeshwa na Watanzania wenyewe,

Kupitia uwekezaji huu umetolewa ufafanuzi kuwa Ubinafsishaji wao utaleta mapato kwa asilimia 233,

Imani yangu ni kuwa kupatikana kwa mapato haya hakutumii miujiza, Ikiwa tutawekeza na kuongeza umakini katika usimamiaji tunaweza kupata mapato zaidi ya asilimia ambazo zimesemwa na wawekezaji,

Athari za Kiulinzi na Kiusalama Ikiwa Bandari itaendeshwa na Kampuni binafsi kwa asilimia 100 kutakuwa na athari kubwa za kiulinzi na Kiusalama,

Hivi karibuni zimesambaa taarifa za Wanyama wa Afrika kupelekwa Dubai, lakini yapo madini, madawa ya kulevya, Pembe za ndovu na vitu vinginevyo vinavyosafirishwa kwa magendo,
Kama tutaruhusu Ubinafsishaji maana yake hata kama tutatoa ulinzi kutokana na Rushwa bado walinzi wetu wataitumikia Kampuni ya kiarabu,

Uwekezaji ni Biashara Na hakuna Kampuni inayowekeza ili kupata hasara hivyo faida itakayopata Kampuni hii itawanufaisha waarabu wa Dubai,

Kwa lugha rahisi waarabu watachukua Pesa yetu na kwenda kujengea kwao, Jambo ambalo halitainufaisha nchi yetu,

Lipo suala la Ajira, Ubinafsishaji huu utaleta tatizo la ajira kwa Watanzania kwasababu Waarabu hupenda kuajiri watu wao,

Waajiriwa wa nafasi kubwa katika Kampuni nyingi za Kiarabu hapa nchini huwa ni waarabu, Watanzania wa asili wengi huajiriwa kwenye nafasi za Utwana, nafasi za chini hivyo itapelekea Watanzania kutonufaika na uwekezaji huu na hivyo uwekezaji utawanufaisha waarabu zaidi katika soko la ajira,

Pia Dubai ni nchi ya Kidini hivyo utaratibu wa uajiri katika kampuni hii utakuwa wa Kidini Jambo ambalo si utamaduni wetu na litapelekea kukosekana kwa umoja wa Kitaifa na kuleta athari za kidini,

Mkataba huu ni wa muda mrefu, Mikataba ya muda mrefu inaleta athari baadae ikiwa awamu zijazo zitakuwa na mpango tofauti katika shughuli za uendeshwaji wa Bandari,

Nyote ni mashahidi kuwa tumekuwa tukipitia wakati mgumu katika kubadilisha na kuvunja mikataba mingi ya muda mrefu iliyosainiwa kipindi cha nyuma ambayo haililetei tija Taifa mfano mikataba ya Madini na Makinikia ambapo madini yetu yamekuwa yakichukuliwa nje pasipo kutuletea tija yoyote hivyo ni muhimu mikataba hii ya muda mrefu tuisitishe na tuwe na utaratibu wa kufanya mikataba ambayo inakuwa ndani ya muda wa viongozi wa wakati huo ili isilete athari kwa Serikali zijazo na vizazi vijavyo,

Kuipa Kampuni ya Taifa jingine kuendesha Bandari kutalishushia heshima Taifa letu, Mkataba huu unakwenda kututukana na kutudhalilisha kimataifa kwasababu tutaonekana tumeshindwa kujiongoza wenyewe hususani kwenye rasilimali hii muhimu ambayo haitakiwi kufanyiwa mnada na mzaha wa namna hii,

Utofauti wa tamaduni za utendaji kazi na tamaduni zetu, Dubai wanafanya kazi Jumatatu mpaka siku ya Alhamisi, siku ya Ijumaa inakuwa kama mapumziko lakini pia katika mwezi wa Ramadhani shughuli huwa zinasimama na kazi zinafanywa kwa nusu siku tofauti na hapa kwetu ambapo shughuli zinafanywa wakati wote,

Kwa kiasi fulani Dubai wanafanana sana kitamaduni na Zanzibar kuliko huku Bara hivyo kutakuwa na mtafaruku wa Kitamaduni hususani katika sehemu inayohusu Umma kama hii,

Kwa haya machache niliyoyoaanisha nashauri mapendekezo haya yasipitishwe na mkataba huu uvunje kabla ya kuja kutuletea athari Watanzania!

Wako katika kupigania maslahi ya Taifa
IBRAHIM JEREMIAH
 
Back
Top Bottom