Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam
Yes naunga mkono juhudi zote za kupata ukweli kuhusu hii issue, tofauti kubwa hapa mimi ninaamini bila Street battles hii nayo itakua cold case within few day's, malawians waliingia mitaani na jasho la damu likamwagika,uoga na uzuzu wetu tunalalama humu kwenye wrong platform, hawa politicians wanawachukulia wengi ni wapumbavu,they can't push back
 
Samia ni freemason yeye pamoja na mawaziri wake maamuzi ya kuuza bandari ni amri wamepewa ili kuuwa uchumi wa Tanzania. Lakini nawapa onyo hata mfanye nini hamta shinda kwani Mungu yupo.

Na yeyote yule sellout anaye husika kuuza bandari kwa hawa freemason yatawakuta kama wale walioiba benki na kuchoma moto.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Samia ni freemason yeye pamoja na mawaziri wake maamuzi ya kuuza bandari ni amri wamepewa ili kuuwa uchumi wa Tanzania. Lakini nawapa onyo hata mfanye nini hamta shinda kwani Mungu yupo.

Na yeyote yule sellout anaye husika kuuza bandari kwa hawa freemason yatawakuta kama wale walioiba benki na kuchoma moto.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
WATANZANIA waeneo mbalimbali nchini wakiwemo wananchi wa Mkoa wa Mara wamepaza sauti zao kuhusu mkataba wa kuuza bandari kwa mwarabu na kusisitiza kuwa wakifanya hivyo waondoke moja kwa moja kwenda Dubai...
Ili jambo ni kubwa kuliko watawala wanavyofikiria , jana katika kuongea na ndugu yangu mwenye nafasi nzuri katika moja ya vyombo vyetu vya ulinzi ,

Alitamka jambo ambalo sikutegemea ,alisema ule ni utopolo, akaongeza ,unauzaje bandari mfano hata ya dar ambapo ni km kadhaa ,kikosi cha maji jwtz kina imaya so unataka waarabu watufanye ( hapa nimetumia neno hili punguza makali ya maneno)

Mwisho ni kagundua why China kuna sheria ya kuchukua uhai wa mtu pale afanyapo usaliti katika taifa

Pili nikagundua kwamba maamuzi kama aya sio vyombo muhim ndani ya nchi vilishirikishwa bali na ka kikundi ka watu wachache wenye mpango katika kivuli cha kubinafisisha kwa jina la JMT,
 
Umetumia lugha rahisi mno!. Hakika wewe ni mnyonge.!
 
WATANZANIA waeneo mbalimbali nchini wakiwemo wananchi wa Mkoa wa Mara wamepaza sauti zao kuhusu mkataba wa kuuza bandari kwa mwarabu na kusisitiza kuwa wakifanya hivyo waondoke moja kwa moja kwenda Dubai
Dalili za kupitisha mkataba huo kwa kishindo iko wazi. Jana speaker alivitaja vyombo vya habari mashuhuri sana hapa nchini, eti vimeripoti uongo, na akasema ametoa onyo la Mwisho kwao.

Kutoa onyo la Mwisho kwa muongo badala ya kumchukulia hatua maana yale yalioripotiwa ni sahihi tatizo ni kuwahi kwao kuripoti kitakachojiri baada ya azimio la Bunge. Na kwahiyo walichoripoti ni sahihi kabisa. Na ingekua kichekesho leo umuite Muongo na umemchukulia hatua halafu Kesho upitishe kilekile alichoripoti mwandishi ulie muita Muongo.

Kwahiyo ndugu zangu, binafsi nasikitika sana, nafedheheka sana na kwakweli imani yangu kwa viongozi wa nchi inatetereka na kulegalega. Na hii ni kumaanisha viongozi wa serikali na viongozi wa upinzani, sijaona uwajibikaji madhubuti kwenye hili. Labda muda bado, najipa Moyo
 
Wakuu naomba tuweke majina na namba za simu za wabunge ili tuwasiliane nao wajue ukweli wa jambo hili la kuuza bandari lilivyo huku mtaani. Yumkini wao wako kwenye makochi mekundu na AC hawajui waliowatuma wana msimamo gani kuhusu suala hil...
Naongezea hapo.. Tuwaambie kbs tutapiga dua kali na maombi mazito Nchi nzima ili wanaohusika na kulitia Taifa kitanzi cha hasara dua iwapate.
 
Naongezea hapo.. Tuwaambie kbs tutapiga dua kali na maombi mazito Nchi nzima ili wanaohusika na kulitia Taifa kitanzi cha hasara dua iwapate.
.
20230521_000537.jpg
 
Yaani Dubai waje kuendeleza bandari Tanzania?

Huu ni ulemavu wa aina Gani lakini?

Hawa wasomi wanaomaliza vyuo kila siku wanafanya nini na elimu zao?

Mbona huko ulaya hawatuiti tukaendeleze za kwao?
Kuwa muelewa hapo panaitaji muwekezaji mwenye nguvu ya tirioni sitta kuifanya bandari hiwe ya kisasa kuna msomi gani mwenye hela hiyo nitajie niko hapa nasubiri jibu lako
 
Serikali imefanya kazi kubwa kuwekeza mabillioni ya hela kuongeza kina cha kupokea meli; sasa hivi bandari ya Dar inaweza pokea meli ya ukubwa wowote.

Shughuli iliyobaki ni ndogo ya kuongeza cranes za kisasa za kutolea mizigo kwa kasi nchi ipate hela zote hizo wenyewe; muda huo ndio wanaenda tafuta mwekezaji.

Only in Tanzania
Serikali ilijenga gati 1 tu thamani ya tirioni 1 sasa yanatakiwa magati 6 dawa tirioni 6 je serikali hela hizo kwa sasa hinazo?
 
Back
Top Bottom