NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Asante KWA maoni!!
Kweli waende Dubai!
Kweli waende Dubai!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawepo mawili la kuuza na kupinga kuuzawa.Maxence Melo anzisha jukwaa la bandari tafadhari
Akina FaizaFoxy wamekimbia jukwaa tangu janaYawepo mawili la kuuza na kupinga kuuzawa.
Hatutaki kuchangamana na mafisadi.
La tatu liwe la wanaoshangaa tu.Hawajui leo jni umasita au jumasaba.Yawepo mawili la kuuza na kupinga kuuzawa.
Hatutaki kuchangamana na mafisadi.
Heshima gani?kutalishushia heshima Taifa letu
Ili jambo ni kubwa kuliko watawala wanavyofikiria , jana katika kuongea na ndugu yangu mwenye nafasi nzuri katika moja ya vyombo vyetu vya ulinzi ,WATANZANIA waeneo mbalimbali nchini wakiwemo wananchi wa Mkoa wa Mara wamepaza sauti zao kuhusu mkataba wa kuuza bandari kwa mwarabu na kusisitiza kuwa wakifanya hivyo waondoke moja kwa moja kwenda Dubai...
Dalili za kupitisha mkataba huo kwa kishindo iko wazi. Jana speaker alivitaja vyombo vya habari mashuhuri sana hapa nchini, eti vimeripoti uongo, na akasema ametoa onyo la Mwisho kwao.WATANZANIA waeneo mbalimbali nchini wakiwemo wananchi wa Mkoa wa Mara wamepaza sauti zao kuhusu mkataba wa kuuza bandari kwa mwarabu na kusisitiza kuwa wakifanya hivyo waondoke moja kwa moja kwenda Dubai
Naongezea hapo.. Tuwaambie kbs tutapiga dua kali na maombi mazito Nchi nzima ili wanaohusika na kulitia Taifa kitanzi cha hasara dua iwapate.Wakuu naomba tuweke majina na namba za simu za wabunge ili tuwasiliane nao wajue ukweli wa jambo hili la kuuza bandari lilivyo huku mtaani. Yumkini wao wako kwenye makochi mekundu na AC hawajui waliowatuma wana msimamo gani kuhusu suala hil...
.Naongezea hapo.. Tuwaambie kbs tutapiga dua kali na maombi mazito Nchi nzima ili wanaohusika na kulitia Taifa kitanzi cha hasara dua iwapate.
Waingereza bandari yao muwekezaji ni muarabu,ndio kusema magu anawazidi wazidi wazungu akili?Hii Inji ya kijinga kweli, sijui kwann JPM alifariki...
Kuwa muelewa hapo panaitaji muwekezaji mwenye nguvu ya tirioni sitta kuifanya bandari hiwe ya kisasa kuna msomi gani mwenye hela hiyo nitajie niko hapa nasubiri jibu lakoYaani Dubai waje kuendeleza bandari Tanzania?
Huu ni ulemavu wa aina Gani lakini?
Hawa wasomi wanaomaliza vyuo kila siku wanafanya nini na elimu zao?
Mbona huko ulaya hawatuiti tukaendeleze za kwao?
Serikali ilijenga gati 1 tu thamani ya tirioni 1 sasa yanatakiwa magati 6 dawa tirioni 6 je serikali hela hizo kwa sasa hinazo?Serikali imefanya kazi kubwa kuwekeza mabillioni ya hela kuongeza kina cha kupokea meli; sasa hivi bandari ya Dar inaweza pokea meli ya ukubwa wowote.
Shughuli iliyobaki ni ndogo ya kuongeza cranes za kisasa za kutolea mizigo kwa kasi nchi ipate hela zote hizo wenyewe; muda huo ndio wanaenda tafuta mwekezaji.
Only in Tanzania