Tanzania inawezekana? Ruto asitisha ununuzi wa Magari ya Serikali kwa mwaka mzima, Mashirika ya umma 47 yafutwa hayana tija

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.

======

Rais Ruto ametoa hatua zifuatazo kupunguza matumizi ya Serikali;
  • Punguzo la bajeti kwa shilingi Bilioni 177
  • Fidia ya wote walioumia na kupoteza maisha wakati wa maandamano ya muswada wa fedha
  • Ukaguzi kamili wa deni la Taifa kufanyika ndani ya siku 90
  • Kusitishwa kwa nafasi za CAS
  • Kusitishwa kwa safari zote za umma zisizo za lazima
  • Hakuna afisa wa Serikali kushiriki katika harambee
  • Hakuna kununua magari ya maafisa wa Serikali kwa mwaka mmoja isipokuwa vyombo vya usalama
  • Hakuna bajeti kwa mke wa Rais, naibu Rais au mke wa waziri mkuu
  • Kampuni za Serikali 47 zimevunjwa
  • Gharama za ukarabati kupunguzwa kwa nusu
  • Matumizi ya siri yameondolewa
  • Washauri wa Serikali wamepunguzwa kwa 50%
  • Wafanyakazi wote wa Serikali kustaafu miaka 60 bila muda wa ziada kuongezwa

Ruto X Space.jpg

Kwa Tanzania hali ni tofauti, huku tunahimiza kulipa kodi ambayo sana inatumika kuendesha Serikali hasa hasa kununua Magari ya anasa.

Tuna hadi Naibu waziri mkuu cheo cha mchongo ambacho hakipo kikatba ila kimewekwa kwa sababu za siasa na mzigo tunabeba sisi.

Ukiachana na hayo bado tuna Baraza la Mawaziri kubwa sana na sana limekaa kimchongo sana.

Tanzania tuna Baraza kubwa sana la Mawaziri nazani kiliko hata Kenya ilivyo, na baadhi ya wizara zimekaa kimchongo hazina maana yoyote ile zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi.

Huku tunahimizwa sana hata na mwigulu tulipe Kodi, Ila tusicho kijua hio kodi inatumika kugharamikia anasa za Watawala wa hili Taifa, huku wananchi wakiendelea kuwa masikini.

Na Watawala hawako tayari kupunguza Mzigo wa Baraza la mawaziri kwa sababu limekaa kisiasa hasa kulipana fadhila.

Pia, soma=> Yanayojiri Maandamano Kenya: Vifo vya waandamanaji vyafikia 26 baada ya watu wawili waliokuwa wakiendelea kupatiwa matibabu kufariki
 
View attachment 3034199

Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanao umia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.

KWa Tanzania hali ni tofauti, huku tunahimizea kulioa kodi ambayo sana inatumika kuendesha Serikali hasa hasa kununua Magari ya anasa.
View attachment 3034200

Tuna hadi Naibu waziri mkuu cheo cha mchongo ambacho hakipo kikatba ila kimewekwa kwa sababu za siasa na mzigo tunabeba sisi.

Ukiachana na hayo bado tuna Balaza la Mawaziri kubwa sana na sana limekaa kimchongo sana.

Tanzania tuna Balaza kubwa sana la Mawaziri nazani kiliko hata Kenya ilivyo, na baadhi ya wizara zimekaa kimchongo hazina maana yoyote ile zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi.

Huku tunahimizwa sana hata na mwigulu tulipe Kodi, Ila tusicho kijua hio kodi inatumika kugharamikia anasa za Watawala wa hili Taifa, huku wananchi wakiendelea kuwa masikini.

Na Watawala hawako tiyali kupun guza Mzigo wa Balaza la mawaziri kwa sababu limekaa kisiasa hasa kulipana fadhila.
Kuna mtu aliwahi kuibua hoja, mkoa mmoja unakuta unatoa wabunge mpaka watano? Wa nini? Bado kuna viti maalumu wa nini?
 
Na baada ya hili linalo fuata Kenya ni kupunguza idadi ya Wabunge huenda uchaguzi ujoa Kenya ikawa na udadi ndogo sana ya Wabunge, make Raia walisha ona mzigo mkubwa uko kwenye kuendesha Serikali.

Huku tunawaza kugawa majimbo, ili kuendelea kuwapa watu ulaji.
 
Just imagine, wenzetu bunge dogo but very effective sisi wabunge wengi. Halaf watenda kazi ni wa kuhesabika
 
Huku tunahimizwa sana na Mwigulu tulipe Kodi, Ila tusicho kijua hio kodi inatumika kugharamikia anasa za Watawala wa hili Taifa, huku wananchi wakiendelea kuwa masikini.

Hapo shida ipo kwa walipa kodi kwa kukubali hiyo hali wakati uwezo wa kupindua meza upo.
 
Attachments

  • 1719983365040.jpg
    1719983365040.jpg
    277.8 KB · Views: 3
View attachment 3034199

Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanao umia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.

Kwa Tanzania hali ni tofauti, huku tunahimiza kulioa kodi ambayo sana inatumika kuendesha Serikali hasa hasa kununua Magari ya anasa.

Tuna hadi Naibu waziri mkuu cheo cha mchongo ambacho hakipo kikatba ila kimewekwa kwa sababu za siasa na mzigo tunabeba sisi.

Ukiachana na hayo bado tuna Baraza la Mawaziri kubwa sana na sana limekaa kimchongo sana.

Tanzania tuna Baraza kubwa sana la Mawaziri nazani kiliko hata Kenya ilivyo, na baadhi ya wizara zimekaa kimchongo hazina maana yoyote ile zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi.

Huku tunahimizwa sana hata na mwigulu tulipe Kodi, Ila tusicho kijua hio kodi inatumika kugharamikia anasa za Watawala wa hili Taifa, huku wananchi wakiendelea kuwa masikini.

Na Watawala hawako tayari kupunguza Mzigo wa Baraza la mawaziri kwa sababu limekaa kisiasa hasa kulipana fadhila.
Upewe maua yako umeandika kweli tupu
 
Huku tunahimizwa sana na Mwigulu tulipe Kodi, Ila tusicho kijua hio kodi inatumika kugharamikia anasa za Watawala wa hili Taifa, huku wananchi wakiendelea kuwa masikini.

Hapo shida ipo kwa walipa kodi kwa kukubali hiyo hali wakati uwezo wa kupindua meza upo.
Kwenye anasa hii nchi inafanya vizuri sn
 
Haya mambo yanayo fanyika Kenya huku yanawezekana? Tuzungumzie tu hata Mashirika ya Umma yanayojiendesha kwa hasara na still yanakumbatiwa na kupewa pesa za walipa kodi.

Screenshot_20240705_141741.jpg

Bajeti ya mwaka huu ya kununua magari ya Kifahari ya Serikali ni kubwa kuliko bajeti ya wizara kama 3 hivi.

Ni lazima tukate huu uhuni.
 
Back
Top Bottom