Tanzania iwe upande gani Kama Ethiopia na Misri zinapigania maji ya mto Nile?

Lini Misri ilipangiwa namna ya kujaza Aswan dam?
Kaza fuvu na jiunge kundi la kigaidi ukaitetee Ethiopia. Hakuna serikali ya Misri itakubali watu wafe kisa njaa inayotokana na ukame wa Nile. Silaha hawanunui kuzipigia gwaride wala hawana aibu kutetea uhai wao. Kama waliipigania Sinai kutoka kwa Israel wakati Sinai ni jangwa tu sembuse chanzo cha maji.

"Kila tone moja la mto Nile linalopungua, damu moja ya Mmisri inamwagika" msemo wao wa kale kabisa tangu B.C
 
Reactions: RTI
Liwalo na liwe, walikuwa wapi wakati Misri anafanya huo uonevu dhidi ya sovereign state?!
... sawa Kiongozi ila tukifika hapo ndipo ile kauli ya "use common sense" inapogeuka "common sense is not common".
 
Akionyesha dalili za kutaka kushambulia tu, tunajaza sumu ya panya maji yote kutoka mpaka wa Ethiopia kwenda mbele, tukose wote, akijitoa akili na sisi tunajinyofoa ubongo kabisa, liwalo na liwe!!
Duh hii awamu ya 5 kweli watu wako bampa to bumper. No Mercy.
 
Kilicho ndani ya mipaka ya nchi husika ni mali ya nchi husika unless wakuuzie, kigezo hicho hicho wanachokitumia Kenya kujua mlima haupo Kenya ndicho kigezo ninachokitumia
 
Hapa itabidi busara itumike, kuliko kutunisha misuli.
 
Ni rahisi kupigana na yai kuliko mwewe atakaetotolewa
 
... si tu Ethiopia anauhitaji huo umeme kwa matumizi ya nyumbani bali anauhita pia kibiashara kuuza mataifa jirani. Pagumu sana hapo.
Aisee,

Mkuu ukipewa jukumu la kutatua hili suala, utatumia mbinu gani?
 
... hakuna mwenye kila kitu Mkuu; Ethiopia ana maji lakini kuna kingine atakuwa anakosa. Si ndio hawa wanakufa almost kila mwaka kwa njaa?
Wangapi wamekufa kwa njaa meaka huu? Ndio shida ya kusikiliza BBC kutwa nzima
 
Hivi bwawa letu la rufiji hydropower Ni mkandarasi kutoka wapi?. Megawatt 2115 ambazo zikikamilika tutakuwa donor country.
 
Tutatumia ungo, next time tumia akili yako yote, objectively and without prior bias!
 
Aisee,

Mkuu ukipewa jukumu la kutatua hili suala, utatumia mbinu gani?
... kiujumla sio kwamba Egypt anamkatalia Ethiopia kujenga hilo bwawa - hapana. Anachotaka ni mkakati wa namna gani halitaathiri pakubwa maisha ya wamisri wanaotegemea hayo maji kwa kila kitu. Na mkakati mmoja wapo ni lijazwe kwa awamu ama taratibu wakati Ethiopia ana-prefer "big bang" approach. Kwa sababu za kibinadamu ningetafuta hybrid approach kati ya hizo mbili.
 
Safi, sasa kila mtu abaki nchini kwake, atakaetia pua ndani ya mpaka wa mwenzake tutamlawiti mpaka aharishe damu, imbiciles!!
 
Bwawa la Aswan High Dam limejengwa mjini Aswan na linapokea Greater Nile, lipo Kusini Misri.

Bwawa hili lenye kuleta mkanganyiko linajengwa Lake Tana, Bahir Dar - Gonder Kaskazini Mashariki ya Ethiopia.
Then unaweza kuona uwendawazimu wa hao wakimbizi toka uarabuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…