T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kaza fuvu na jiunge kundi la kigaidi ukaitetee Ethiopia. Hakuna serikali ya Misri itakubali watu wafe kisa njaa inayotokana na ukame wa Nile. Silaha hawanunui kuzipigia gwaride wala hawana aibu kutetea uhai wao. Kama waliipigania Sinai kutoka kwa Israel wakati Sinai ni jangwa tu sembuse chanzo cha maji.Lini Misri ilipangiwa namna ya kujaza Aswan dam?
"Kila tone moja la mto Nile linalopungua, damu moja ya Mmisri inamwagika" msemo wao wa kale kabisa tangu B.C