Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

Sukari sio lazima mnalia lia nini? Kila siku mnaambiwa madhara ya sukari ni mengi bado mnalialia kuikosa.
 
Wewe mwenyewe ni kenge mkuu mshabiki wa chama chakavu bado hujasema ngoja mimi nilambe asali pambana na hali yako mbeya wewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa wa kuuitwa stroke ni nafiki lililokubuhu.

Ni chawa kutoka CCM huyo.

Amepigwa Stroke miaka sasa imepita hajapona.

Miaka ya nyuma alikuwa na tabia kama ya Lucas Mbwa wa shamba sasa hivi anakuja kulilia lia hapa. Pumbavu.
 
Changamoto kibao bado kuna mazuzu yanajazana kwenye mikutano ya Makonda Hopeless kabisa. Sukari ipande kilo moja ifike 10,000/= labda akili zitatukaa sawa.
 
Hawa viongozi aina ya madelu watatupeleka kubaya sana
 
Viatu alivyovaa mwamba wengi visingewatosha
Mkuu umesema kweli, wanadhani ni jambo rahisi namna hiyo. Mwamba amefanya alilistahili kufanya maana amekubali nasi tumeujua uongo wao. Angekataa kuzungumza nao wangetumia kigezo kuwa Chadema ni wakorofi hawataki majadiliano.
 
Hapa ndilo lilipo tatizo kuu la watanzania i.e. kudhani sisi raia kazi yetu ni kukaa na kuna watu wakutufanyia kila kitu. Swali: huoni thread yako ingekuwa na maana sana kama ungeuliza ''wananchi tunachukuwa hatua gani?'' Serikali ni mwajiriwa wa wananchi, na kawaida mwajiriwa asipofanya kazi yake, mwajiri ndiye anapaswa kuchukuwa hatua na siyo mwajiri eti umlilie mwajiriwa achukuwe hatua. Tukiwa na mategemeo ya aina hii, tutasubiri sana na sisi ndiyo tutazidi kuumia.
 
Nadhani hayo matatizo ndiyo yanamfanya Mama asafiri Sana, maana akibaki ndani humu mtapigia kelele.
 
Ningependa kuelewa kwa kina somo la uchumi wa nchi kufilisika

Ni vigezo gani hutumika?
Unajua !kitu kinaitwa"Momentary policy'.enzi za Mh,Mkapa ndie baba wa Micro financiers hapa Tz,na ndio mwanzo wa watumishi wa umma kuwa na Magari na Majumba.forget about ufisadi, watu waliweka fedha zao benki na walipewa interest(motisha)kama unajambo unaenda benki unakopa,Sasa ukiweka fedha benki watakuuliza,watakutoza wenye benki,na serikali itakutoza Kodi ya fedha net off tax ulizoweka akiba,usidhani Dola hazipo watu wameamua kuziweka kwenye mizinga,wakisaka kama sukari watazikuta zimefanywa magodoro,eti Toka lini fedha zikawa bidhaa mpaka zitozwe Kodi!.tutengeneze sera nzuri za fedha Dola zitakuwa tele...
 
Mkuu yale maridhiano yalikuwa muhimu sana sana. Kama yasingekuwepo, CCM ingekuwa ndiyo wimbo wake, kuwa ''hawa wanataka fujo wakati sisi tulikuwa tupo tayari tukae tuzungumze''. Na kingine: kuna vitu vingi sana vinaendelea behind the scene ambavyo wananchi wa kawaida hawawezi kuvijua. Balozi za nchi za Magharibi na USA zilikuwa zinasukuma sana kuwe na mazungumzo na Samia baada ya kuapishwa, alikuwa kila akiwaambia mazungumzo ndiyo the best way. Usione hata haya maandamano yanayofanyika sasa hivi udhani ni utashi wa serikali ya CCM per se... no. Kuna pressure kubwa kweli kweli kutoka nchi wahisani kutaka kuwe na uhuru wa mawazo na Samia anajua atapata shida kama ataonyesha jeuri.
 
Kweli lugha ya maandamano ibadilike na kuwa kali zaidi ili raia sasa nao wakasirike. Na hao waretezi wa mfumo kwa vile wanapata maslahi waadhibiwe na jamii kwa kutengwa hata kuzomewa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 


Ni miezi mingi sasa imeshapita, akili ya jela ishamuisha na maridhiano sio kiapo cha damu anaweza kujitoa na kutupa msimamo wake.




Siku ikikubalika bila uwoga wala unafiki kwamba Mbowe nae ni wa Jezi moja, kuna hatua kubwa tutapiga Kama taifa.
 


Uko sahihi.

Matatizo ya hii nchi ni wananchi wenyewe na wala sio viongozi wala Serikali wala wanasiasa!

Watanzania ni chanzo cha matatizo yanayowakumba wao wenyewe.
 
Hayo ni tisa. Kumi ni hili bom la Ukosefu wa ajira ilhali mavyuo kedekede yanaendelea kufyatua wataalam vijana na ambao ni substandard (incompetent). Iko siku wataingia mitaani kwa wingi wao baada ya kuchoka kuwa Aido.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…