Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

Dolla za nini,kwa nini tusi trade na partners wetu kwa fedha zetu.why USD??
why USD??
USD ndo Master of all Trades(A jack of all trades). Ku trade na Partners wetu ni sawa lakini Partners wetu wana mapungufu mengi i.e. Hawana wigo mpana. Tutakwama mahali halafu tunairudia USD tukiwa tumeinamisha vichwa.😱.
 
Ile kauli mbiu ya maza anaupiga mwingi sijui iliishia wapi
 
Mara paa... Sukari sh. 1500 kilo, wote humu meno nje nje, utawasikia ccm oyeeee. Mama anaupiga mwingi 🤣🤣🤣
 
Kupanda kwa bei ya sukari, hii ni artificial price. Bei hii hupangwa na wazalizlshaji ili wapate faida kubwa kwa kuuza sukari chache. Wanacho fanya ni kupunguza uzalishaji kwa maksudi na kustock sukari chini ili kutengeneza ukosefu wa sukari usio wa kweli. Lengo ni faida iliopitiliza.

Serikali ili kukabaliana na hili waruhusu wafanya biashar waagize sukari nje bila kibali. Waruhusu watu wanunue sukari malawi kenya na zanzibr, uone kama bei ya sukari haitafika kilo 1,500/-. Wakiruhusu watu waagize, hawa wajinga wataachilia mzigo uliopo stoo na production to maximum itafikiwa.

Tofauti na hapo ukimya wa serikali ni wazi waziri wa fedha, waziri wa viwanda wote wapo kwny payroll ya wazalishaji wa sukari na wanufaika wa kupanda kwa bei.
 
Vipi MAJI huko kwenu yapo au ndio mpaka Usiku?
 
Mama anajitesa bure atowe ruksa tuu
 
Haya mambo hayapaswi kufichwa fichwa.

Serikali iyashughulikie kwa uwazi.

Madhara yake ni makubwa kwa uchumi yakiachwa yaendelee kwa muda mrefu.
Mkuu sikuhizi akili imekukaa vizuri? Vipi unazungumziaje hadaa za makonda je ni utatuzi wa mambo au dhihaka kwa watanzania?
 
KWANI MWENEZI MAKONDA ANASEMAJE?
 
Inasikitisha sana na kuna watu wanasema anaupiga mwingi
 
Tumlaumu magufuli kwa kutuletea huyu rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…