ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hawana maana hao ndio maana Mwendazake alitaka kuwafuta.GAP gani zaidi ya kula hela za misaada?Yani unajizima data kwamba hizo NGOs ndiyo zinaziba gaps za ajira na kutoa mbadala wa MSD?
Unatuona wote humu vilaza??Lakini hizo hela haziingii Wizara ya Afya Bali zinapitia vi NGOs uchwara so hata wakikata hakuna shida
Kazee kajizi kale.Kamewasingizia South Africa ndiyo wanakwiba madini ya DRC kuliko yeye.Ila ka-aa-game-e hataki kabisa kugemea noti za ndani tu, ndo maana ameweka kambi msituni kwa banya-mle-nge 😒😒😒
Hela zile ambazo zitaonekana ni za haraka kama za madawa ya HIV zitawekwa kwenye kipaomnele kutolewa.Trilioni moja huwa serikali inatumia muda gani kuzitia mkononi?
80% ya hela inaenda NGOs,ngoja nikuletee Bajeti ya Wizara ya Afya uone.Unatuona wote humu vilaza??
Hivi si juzi tu tulimsimanga Chalamila kwa kusema ukweli kwamba hata gloves na bandeji hatuna kwenye zahanati na hospitali zetu?Hela zile ambazo zitaonekana ni za haraka kama za madawa ya HIV zitawekwa kwenye kipaomnele kutolewa.
Harafu dawa zinanunuliwa kama stock Mzee Wala hakuna shida hapo.
Hivi unajua kwamba Bajeti ya Serikali nzima ,Trilioni 1 ni misaada,Trilioni 15 mikopo ya ndani na Nje na zilizobakia zote ni Mapato ya ndani?
So hizo za kina Trump zipo hapo ,hiyo hela kiduchu saaaaaaa
Tatizo siyo kwenda NGOs.Tija ni kutumika kwenye nchi husika.80% ya hela inaenda NGOs,ngoja nikuletee Bajeti ya Wizara ya Afya uone.
Zinatapanywa au zinatumika kwa manunuzi humuhumu nchini?Hatuwezi kuathirika labda uniambie tutakosa hela za kutapanya hovyohovya kwa maslahi ya watu wachache
Hatuna za Bure ila za kununua zipo,kwanza unajua kwamba tuna kiwanda vya hizo gloves hapo makambako?Hivi si juzi tu tulimsimanga Chalamila kwa kusema ukweli kwamba hata gloves na bandeji hatuna kwenye zahanati na hospitali zetu?
NGOs hawajawahi kuwa na Tija,wanatumia zaidi ya Trilioni 5 Kwa mambo Yao lakini hakuna Tija yeyote zaidi ya kulipana posho.Tatizo siyo kwenda NGOs.Tija ni kutumika kwenye nchi husika.
Nchi tatu tu ndiyo MSD ina supply ingawa sisi hatuna vifaa tiba na dawa.Ili tuwe sawa weka jedwali ushahidi.Hatuna za Bure ila za kununua zipo,kwanza unajua kwamba tuna kiwanda vya hizo gloves hapo makambako?
Yaani MSD ambayo Ina tenda ya ku supply dawa zaidi ya Nchi 8 za Sadc inaweza kukosa vipi sasa hizo gloves?
Za Bure hazipo ila za kununua zipo.
Acha ujinga tusije kuandika yasiyotakiwa kuandikwa humu. Utekelezaji wa bajeti wizara ya afya unategemea wafadhili.80% ya hela inaenda NGOs,ngoja nikuletee Bajeti ya Wizara ya Afya uone.
Ndugu yetu Choicevariable anatumia nguvu nyingi kufanya ubishi tu.Acha ujinga tusije kuandika yasiyotakiwa kuandikwa humu. Utekelezaji wa bajeti wizara ya afya unategemea wafadhili.
MSD hii ambayo service level haifiki hata 50%Hatuna za Bure ila za kununua zipo,kwanza unajua kwamba tuna kiwanda vya hizo gloves hapo makambako?
Yaani MSD ambayo Ina tenda ya ku supply dawa zaidi ya Nchi 8 za Sadc inaweza kukosa vipi sasa hizo gloves?
Za Bure hazipo ila za kununua zipo.
Huyu analeta ushabiki kama wa mpiraNdugu yetu Choicevariable anatumia nguvu nyingi kufanya ubishi tu.
Una maanisha nini unaposema service levy?MSD hii ambayo service level haifiki hata 50%
Hazitusaidii chochote sababu hela zinazopotea kwenye njia za panya ni nyingi kuliko hizo, hivyo zikikosekana pengine watawala watajua kubana matumizi.Zinatapanywa au zinatumika kwa manunuzi humuhumu nchini?
Level=kiwango/aina/kikomoUna maanisha nini unaposema service levy?