Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

Haina maana hizo ndio zinaongeza inflation
 
Sasa kwa nini walijitapa wasipangiwe cha kufanya, siku ile kwenye hotuba zao ๐Ÿค”๐Ÿค”.???
mara nyingi hizo hela haziendi serikalini moja kwa moja. Ni kupitia INGOs na local NGOs kwenda kwenye miradi katika jamii husika, ambapo design na utekelezaji wanashirikiana na serikali, lakini serikali nahisi mara nyingi haishiki hizo hela.
 
Duh kwahiyo UPUNGUFU WA MAAMMBUKIZI YA UKIMWI,KUTOA ELIMU YA VIRUSI NA MACONDOM YA BURE hiyo kazi anafanya nani???

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒHizi ajira za NGO hilo gap nani atalicover???
 
Duh kwahiyo UPUNGUFU WA MAAMMBUKIZI YA UKIMWI,KUTOA ELIMU YA VIRUSI NA MACONDOM YA BURE hiyo kazi anafanya nani???

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒHizi ajira za NGO hilo gap nani atalicover???
Sio Ajira ni upuuzi na janja janja ya mjini,wakafanye kazi za uzalishaji Mali kama hawawezi wakavute Bangi
 
Umesahau kuwa ni vinara wa kujengewa matundu ya chooni kutoka USAID
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ