Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UnaendeleaUle mpango wa kupeleka Dawa Zimbabwe vipi?
Mimi nimefurahishwa na Trump kukata misada. Japo kuwa nasikitika kuwa watu wasio kuwa na hatia wataumia sana. Ila ukweli ni kwamba viongozi wa afrika wengi ni matahila.Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa.
Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo.
Gazeti hilo limeleza Tanzania yenye watu Milioni 65 linapokea kiwango sawa na Nigeria yenye watu 220Milioni.
Kalagha Bahooo........Hizi hela huwa zinaenda wapi mbona ni nyingi sana?View attachment 3224545
UmeonaSasa kwa nini walijitapa wasipangiwe cha kufanya, siku ile kwenye hotuba zao π€π€.???
Hatari sana..Umeona
Mwigulu alitaka afanye monitoring au washirikiane na wenzie kudhulumu sehemu ya hizo fedha?!Wewe uko hapa Tanzania Huwa zinatumika vizuri na hao NGOs?
Magufuli alitaka kuwafuta
Mwigulu alitaka wapitishie hela Serikali for monitoring ila wakapiga makelele ikaishia.
Trump futa huo ujinga,wanakula tuu hizo hela hakuna wanachofanya
Huu ndio ukweli, hela zinahitajika kumbe wao wamezipeleka kwenye kununua mabasi ya CCMπ€£ matokeo yake zinaanza story na ubabaishaji. NGO's walifanya vyema kukataa upumbavu huo sababu serikali yetu inajulikana ilivyo inapokuja swala la pesa.Serikali inataka hela za NGOs zipitie kwao ili waanze urasimu kuzitoa na kusumbua watu.
Sasa si bora NGO nao wale kwani we unapata faida gani serikali ikila hela za NGO na za TRA?Kama Serikalini zinaliwa huko NGOs zimefanya gazi gani ambayo wewe unamfahamu?
Baraka Obama alikuja Tz mwaka ganiTanzania ni mshirika muhimu wa U.S katika ukanda huu wa Afrika. Katika kipindi cha miaka 30 tumetembelewa na "active presidents" wa USA 3 (linganisha na nchi zingine za Afrika katika kipindi hicho).
Orodha ya viongozi wa U.S. (Rais & Makamu) waliowahi kutembelea Tanzania wakiwa madarakani (Chanzo: Mtandao)
1. Richard Nixon β 1969 (President)
2. Bill Clinton β 1998 (President)
3. George W. Bush β 2008 (President)
4. Barack Obama β 2013 (President)
5. Kamala Harris β 2023 (Vice President)
Mwaka jana 2024, PEPFAR iliadhimisha miaka 20 ya mafanikio katika kuisaidia nchi yetu kukabiliana na maradhi ikiwemo TB/HIV (Taarifa za tukio ziko mtandaoni, kasome).
Acha tujifunze namna ya kujtegemea. TUmezoea misaada hadi tunaitana chawa.Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa.
Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo.
Gazeti hilo limeleza Tanzania yenye watu Milioni 65 linapokea kiwango sawa na Nigeria yenye watu 220Milioni.
Kalagha Bahooo........Hizi hela huwa zinaenda wapi mbona ni nyingi sana?View attachment 3224545