Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

Wapinzania na wanaharakati wao kila kitu kupinga tu
Ni sahihi kuwafukuza wamasai toka kwenye ardhi zao za asili ili mwarabu aje kuua vivutio vya utalii na kulitia hasara taifa kwa upotevu wa mapato ambayo yangetokana na utalii?
 
Ni sahihi kuwafukuza wamasai toka kwenye ardhi zao za asili ili mwarabu aje kuua vivutio vya utalii na kulitia hasara taifa kwa upotevu wa mapato ambayo yangetokana na utalii?
Ni sahihi kwa maoni yangu maana wao hawaingizi hela, hao wanaokuja wanaleta hela
 
Ni sahihi kwa maoni yangu maana wao hawaingizi hela, hao wanaokuja wanaleta hela
Hao watalii wanaokuja kuwatazama Simba na Wamasai wakiishi katika mazingira yao ya asili na wanyama hawaingizi pesa? Watalii wanapokuja nchini hawaingizi pesa? Pia hao wamasai ni waTanzania wenzetu, lazima tuwe na utu na ubinadamu wa kuthamini waTz wenzetu na sio kuwanyanyasa kisa pesa, huo ndio ubinadamu, pesa isituondolee utu, mambo kama haya ndio waliyafanya mababu zetu kwa kuuza binadamu wenzetu kwa waarabu ili kwenda kufanywa watumwa, hadi leo tunalalamika kwa biashara ya utumwa, kumbe sisi wenyewe ndio tulikuwa tunakamatana na kupelekana kwenye meli za mwarabu, unapewa pesa na unamuuza ndugu yako kabisa wa damu. Tamaa ya oesa ya mwarabu haijaanza leo kututesa waAfrika, tuwe na utu na ubindamu.
 
Kwani we mmasai?
 
Ndio maana lile jengo la Burj Khalifa liling'arishwa kwa rangi ya bendera ya Tanzania ili tuingie kingi.
Watu tulishasema hapa, kwamba hakuna cha bure, tutalipa tu, na haya ndio matokeo yake
 
Tunarudi nyuma kwenye hili ukisharuhusu uwindaji wa simba na tembo...ndio unarudisha na ujangili. Ifike mahali tukibali hawa wanya ni urithi wa dunia hebu tuwaache tu.

Haya maamuzi mengine yanakera sana, kweli karne ya 21 tunaruhsu uwindaji wa wanyama wanaokaribia kutoweka?? Sasa kama ni hivi kuna haja gani ya kiwaondoa maasai ngorongoro, maana kisingiZio ni wanyama sasa kama wanyama wenyewe watauzwa kwa wakoloni wawindaji kwa noti za fedha kwakweli sio sawa bora wamasai wabaki tu waendelee na maisha yao. Nchi inaenda mbele kisha inarudi nyuma.
Mara mlima kilimanjaro wanataka kuweka magari na kuuwa thamani yake? Tatizo liko wapi?
Uwindaji wa kitalii pia unaingiza mapato mengi sana maana si kila mnyama atawindwa mfano Faru mweusi huyu hatawindwa.
 
Hebu waeleze basi hawa watanzania wasiojielewa watambue kuwa hata huko ngorongoro au mikumi sijui serengeti ni hifadhi ambazo zinasimamiwa na TANNAPA nahuko serikali hairuhusu shughuli za uwindaji wa kitalii.
Hata mimi inawezekana nikawa mmoja kati ya watanzania wasiojielewa,

tangu lini ngorongoro ipo chini ya TANAPA?
 
Hao wamasai walio ngorongoro ndio wanaleta kiwingu..wakiondoka waarabu wagawane vizuri ngorongoro yote....yaani Masai anayeishi na wanyama hafai ila mwarabu wa kuja kutorosha na kuua wanyama ndio muhimu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uwindaji haufanyiki kwenye hifadhi za taifa zilizo chini ya Tanapa au mamlaka ya hifadhi Ngorongoro.

Uwindaji unafanyika kwenye vitalu vya uwindaji zilizo chini ya Tawa mfano Ikorongo, Maswa n.k
 
Uwindaji wa kitalii pia unaingiza mapato mengi sana maana si kila mnyama atawindwa mfano Faru mweusi huyu hatawindwa.
Kwanini tusiendelee kuingiza pesa kupitia utalii wa kutazama kuliko huyo anaeua na kutunyima fursa ya kuingiza pesa zaidi kupitia utalii wa kutazama wanayama na wamasai wakiishi katika mazingira yao ya asili? Je, ni haki kuwafukuza wamasai katika maeneo yao ya asili ili waarabu waje kuua Simba na Tembo?
 
Ni sehemu ya utalii mkuu pia wakiwindwa wanyama Kama nyumbu,Mbogo tunapata na mboga kabisa.
Je, ni haki kuwafukuza wamasai katika maeneo yao ya asili ili waarabu waje kuua Simba na Tembo?! Wananyama ambao wanatuingizia pesa kupitia utalii wa kutazama?
 
Uwindaji haufanyiki kwenye hifadhi za taifa zilizo chini ya Tanapa au mamlaka ya hifadhi Ngorongoro.

Uwindaji unafanyika kwenye vitalu vya uwindaji zilizo chini ya Tawa mfano Ikorongo, Maswa n.k
Je, ni sahihi wamasai kufukuzwa katika maeneo yao ya asili, (mfano Loliondo kipindi cha Mwinyi), ili waarabu waje kuua Simba na Tembo? Ukizingatia wanyama hao wanatuingizia pesa kupitia utalii wa kutazama?
 
Back
Top Bottom