mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Mkono mtupu haulambwi mkuu ndio maana wengine hawapati lakini wengine wanapata !! Usiseme wewe huyajui hayo hapa kwetu !!Watoto wa baba wa taifa wapo waliowahi kujaribu kugombea uongozi wakafeli hata uchaguzi mkuu uliopita walijaribu. Tukija kwa JK , Mwanawe aligombea akapata na mkewe aliteuliwa na JPM je angekataa? Sioni jitahada za JK kwenye hilo.