Ndio neema na baraka anazogawa Mungu kwa viumbe wake.why haijatokea kwa nyerere,kawawa,au mzee mangula?.tuwe wavumilivu nanyi siku moja itafika zamu yenu,sisi tunapumua na kutoa hoja JF kuna wengine wanapumulia mashine muhimbili,wengine hawajuwi wanakula nini? Leo na wengine wanauwana ukraine wanatamani wawe kama sisi ila haiwezekani, hayo yote hupangwa na Mungu na anamakusudi yake.cha msingi amani inalindwa tuendele kuchapa kazi maisha yaende.uwaza sana kwanini? Yule yuko vile utatenda dhambi bure ulitaka awe nani? Vile.tuwaombe watuongoze vema wasimwage damu za watu na kutenda haki