Mkuu,
Tatizo kubwa watu hawataki kuona uhalisia huu.
Halafu, watu wanatakiwa kujua Wanasiasa wote Ni Wale wale. Hakuna MALAIKA.
Hata ikitokea CCM ikatoka madarakani, kitakachoendelea Ni jina la chama tu, ila watu Ni wale wale.
Lowassa wa CCM ndiyo yule yule wa CDM.
Bible inasemq, palipo na mzoga ndipo wakusanyikapo TAI.
Chama chochote kitakachokuja kuingia madarakani, hata iqe CHAUMA huko huko ndiko wazee wa FURSA watakakohamia, maana kuhama Vyama Ni demokrasia na haki yake.
Kwahiyo, utakuwa Hawa watu unaokesha unatukana kumbe sababu wako CCM au chama usichokipenda na siyo kwamba wanachofanya hukipendi