Maisha ya kibongo / mtaani unaweza jiona umekuja kuwasindikiza tu wenzako.. sio mchezo kabisaHuku kwetu baba ni mkata mkaa...
Mama ni mama wa nyumban!!!
Na watoto hawataki shule...wanavuta bange tuu..
Kweli tupo dunia tofaut,
Hii biashara inafanywa na watu wa pwani
Waislamu ndiyo mambo yao hayoUnakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Pia ziko familia baba alikuwa Askofu na mtoto ni Askofu. Dayosisi ya Mwanga KKKT. Pia ziko familia Babu alikuwa mwalimu, mtoto mwalimu na mjukuu mwalimu. Pia umasaini kule babu yake babu mpaka kitukuu ni wafugaji. Wapo Babu alikuwa Doctor, Baba Doctor na sasa mtoto Doctor. Nenda Xray centre pale..watoto 3 Doctors. Wapo watafanya biashara wakubwa kina Bakhresa...na watoto kadhalika. Wapo wachawi toka babu mpaka vitukuu..wapo fundi washi babu mpaka vitukuu...babu alikuwa mkulima mpaka sasa mwanangu analima. Ukoo wa kina Mfalme Daudi , Selemani nk nk walimtumikia Mungu miaka yote. Nadhani basi huo ndio ukweli kwambaunajikuta unafanya ulichokiona nyumbani kwenu. Hata familia ya Kenyata ni hivyo hivyo. Mpapai huzaa papai. .Kikubwa kama Katiba ya nchi haikatazi acha wafanye kazi cha msingi wawe fair katika kazi zao!Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Kuna mtu ambaye ni Askofu hajasomea uchungaji?Pia ziko familia baba alikuwa Askofu na mtoto ni Askofu. Dayosisi ya Mwanga KKKT. Pia ziko familia Babu alikuwa mwalimu, mtoto mwalimu na mjukuu mwalimu. Pia umasaini kule babu yake babu mpaka kitukuu ni wafugaji. Wapo Babu alikuwa Doctor, Baba Doctor na sasa mtoto Doctor. Nenda Xray centre pale..watoto 3 Doctors. Wapo watafanya biashara wakubwa kina Bakhresa...na watoto kadhalika. Wapo wachawi toka babu mpaka vitukuu..wapo fundi washi babu mpaka vitukuu...babu alikuwa mkulima mpaka sasa mwanangu analima. Ukoo wa kina Mfalme Daudi , Selemani nk nk walimtumikia Mungu miaka yote. Nadhani basi huo ndio ukweli kwambaunajikuta unafanya ulichokiona nyumbani kwenu. Hata familia ya Kenyata ni hivyo hivyo. Mpapai huzaa papai. .Kikubwa kama Katiba ya nchi haikatazi acha wafanye kazi cha msingi wawe fair katika kazi zao!
Ongeza sauti mkuuWaislamu ndiyo mambo yao hayo
Weka CV ya Riziwani hapa mkuuNdio mnawaitaga hawajasoma [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Korea ya Kaskazini, Wanasema ni Jamuhuri, lakini mimi naiona kama Monarch.Yaani baba Rais mstaafu, mtoto anakuwa Rais tena, hivi kweli watanzania milioni sitini wote hao hakuna wakuchukua nafasi hiyo?!!!.
Kweli Kama ambavyo maji hutiririka kutoka nchi kavu kuelekea baharini kwenye maji mengi, basi na uongozi wa Tanzania upo hivyo.
Familia ya KIM Korea.Hakuna jipya hapo. Reference ni familia ya Bush au Clinton huko USA.
Tanzania inatengeneza utawala wa kifalme.Familia ya KIM Korea.
Leeeteeee mamboooooDj niletee msoga family ikisindikizwa na Watoto wa Zanzibar
Mkuu ungeleta CV yake kwa ushaidi!
1. Form four Shaban Robert
2. Form six Mkwawa High School
3. Degree ya Sheria UDSM
4. Advocate wa High Court
Weeeewe wacha weeeeWape salamu 🙏🏿
Magufuli alikuwa anataka kufuta ujinga huu wa ccm na ndio maana hawakumpenda!! Sasa si unaona wanavyotamba wamerudi upya from Msoga to Zenj! Wahuni wamesheheni kila mahali.Ukisema katiba mpya hawawezi kukuelewa wallahi
Magufuli alikuwa anataka kufuta ujinga huu wa ccm na ndio maana hawakumpenda!! Sasa si unaona wanavyotamba wamerudi upya from Msoga to Zenj! Wahuni wamesheheni kila mahali.
Watoto wao hawana akili za shule wana vyeti vya kuunga unga lakini ndio wanapewa vyeo! Ikitokea vita tuna kwenda Sisi vitani watoto wao wanawaficha!! Upuuzi huu lazima ufike Kikomo ; katiba mpya ni lazima kwa ukombozi!Na wewe pambana familia yako iishi kifalme.
Soma sana,
Fanya kazi kwa juhudi sana.
Tafuta konekeksheni sana,
Jipendekeze sana sehemu sahihi kwa wakat sahihi
AU
Pigani katiba mpya itakoyotoa fursa kwa yoyote mwenye talents na jitihada
Magufuli alikuwa anataka kufuta ujinga huu wa ccm na ndio maana hawakumpenda!! Sasa si unaona wanavyotamba wamerudi upya from Msoga to Zenj! Wahuni wamesheheni kila mahali.
Mpwa wa Jiwe; Sawa huyo mmoja utalinganisha na hao wa Msoga na Zenj wanaingiza familia nzima mpaka wakwe!Unamfahamu Dotto James?
Magufuli alikuwa anataka kufuta ujinga huu wa ccm na ndio maana hawakumpenda!! Sasa si unaona wanavyotamba wamerudi upya from Msoga to Zenj! Wahuni wamesheheni kila mahali.