Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ndio maana hawataki kusikia habari za katiba mpya ya WariobaUnakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na Mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , Mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Mpaka MTU ashikwe mkono na wenye nguvu !Huku kwetu Baba mshona viatu
Mama mchoma vitumbua
Mimi muendesha boda boda
Sister Fundi chereani
Brother Balozi wa nyumba 10
Watoto wote shule vidumu ufagio hakuna aliyekatiza form 4.
Kuna siku hii familia yetu itatoa Mkuu wa Wilaya au Katibu Kata !.
Itakuwa alipendelewa au alidesa au ni ile munayoiita ya cxxi. Hii haiwezekani na haiingii akilini.GPA ya 5 - Anazurura mtaani;
Yule mzee late Nyerere alichemka sana kwa upande huu asee, pamoja na mazuri aliyoifanyia hii nchi kwa issue ya familia yake sijui kwa undani na sitaki kufuatilia au kujua nini alifanya.Maisha msongamano sana.Dah!Hizi ndizo nyuzi chokonozi.Anyway,waache waishi hivyo kama hawaleti fujo.😂😂😂😂
Katiba mpya haihusiani na hilo wala, inaweza ikawepo lakini bado yakawa yanatokeaUkisema katiba mpya hawawezi kukuelewa wallahi
Katiba mpya haihusiani na hilo wala, inaweza ikawepo lakini bado yakawa yanatokea
Katiba mpya haihusiani na hilo wala, inaweza ikawepo lakini bado yakawa yanatokea
Isiyo na rutuba inaweza kuwekewa mbolea nayo ikatoa mazao boraArdhi yenye tutuba itaendelea kutoa mazao bora
Mkuu hapo unamaama kwamba wanaofaidi kodi zetu kwa kiasi kikubwa hapa nchini ni hizo familia tatu tu.
Familia ya Jakaya Kikwete.
Familia ya Alhassan Mwinyi
Na Ya Rais Samia Suluhu.
Hapo upo sawa kabisa.
Na bado huoni umuhimu wa katiba mpya?
Ardhi ya Mobutu, ardhi ya Obote ardhi ya Kaunda, ardhi ya Gaddafi, ardhi ya Sadam na nyingine nyingi tu mbona bado hazijatoa mazao bora ?? Usicheze na Mwenyezi Mungu !!Ardhi yenye tutuba itaendelea kutoa mazao bora
Ni kama kuomba kazi TRA na kuomba kazi kufundisha shule za kata.Penye maslahi hapaingiliki kirahisi.
I feel you bro..Kwetu sisi hata si wavivu kabisa. Tuanaamka assubuhi mapema na jembe. Chai yetu ugali na mlenda ni kazi kwa kwenda mbele. Wanatuita wanyonge. Hatujui suti hatujui tiles na msouth, hatujui mboga tatu, bia haituimudu japo kazi tunapiga.
Hao wanatuambia kilimo ni uti wa mgongo kumbe sisi kinatupinda mgongo.
Siasa imewapaisha angani tukiwatazama kwa mshangao!!!!
Kwanza huwezi kutengeneza mtandao kama wewe mwenyewe huna kitu na huna jina. Labda utengeneze mtandao wa VICOBA.Mtandao una gharama zake boss....
Rejea ule wa mwaka 2003-2005 ulihusisha wakubwa kutoka pande muhimu kuanzia siasa,utumishi mpaka dini.
Hii mitandao ya kwetu huku chini inatusaidia Sana kutukwamua kwenye hali ya kimaisha tunayopitia huwezi kuifananisha na hiyo ya hao wakubwa.
Suala la maisha mazuri halina uhusiano na kusoma sana. Wapo wasomi wakubwa tu, kama anavyosema mbunge Msukuma,mnaongea naye mkitaka kuagana anakuomba elfu kumi.Na wewe pambana familia yako iishi kifalme.
Soma sana,
Fanya kazi kwa juhudi sana.
Tafuta konekeksheni sana,
Jipendekeze sana sehemu sahihi kwa wakat sahihi
AU
Pigani katiba mpya itakoyotoa fursa kwa yoyote mwenye talents na jitihada
Ongeza nyama hapaKuna mtoto wa raisi ameolewa na mtoto wa makamu wa raisi.
Hao Chadema wanaopigania katiba, huko kwenye chama kumejaa upendeleo na kujuanaUfumbuzi ni hapa tu mkuu:
"Pigani katiba mpya itakoyotoa fursa kwa yoyote mwenye talents na jitihada"
Mengine yote ni kujilisha upepo tu.