Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

Wakati Mstaafu anatengeneza mtandao tangu akiwa chuoni wengine wakawa busy kutenegeza GPA…kila mtu atakula alipopeleka mboga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na GPA ina matter kaka, Mzee alipambana kutengeneza vyote viwili.
 
Sasa haiwezekani sote au familia zote zikawa na marais na wabunge na mawaziri, itakuwa hapatoshi, ni lazima wengine wawe madereva, waalimu, makuli, vibaka, viongozi wa dini , matapeli na wenye roho mbaya kama wewe pia hawakosekani,
Yaani ukipata huo ubunge au urais utadai ziada hivyo ndivyo walivyo wa dizaini hiyo pole sana
Endelea kupiga kazi huwezi jua
 
Babu yako kama alikuwa fala ni wewe tu,mfano Bush alikuwa rais,mtoto nae akawa rais mtoto mungine gavana,na Mbowe baba ake alimchangia Nyerere kwenda UN,Ndeasamburo alikuwa mbunge,mtoto wake mbunge viti maalumu na mkwe wake mbunge viti maalumu Mwinyi nyerere kikwete ni kama wachezaji tu
 
Hujamuelewa! Rudia kusoma.
 
Sidhani.!
 
Mbona Ben hakuitwa mshamba na hakutoka kwenye tree yao?
 
Si ndo wewe umeamua kuja na id mpya baada ya mods kukuchosha kwa ban!..
Unajiita uvimbe na watakuvimbisha kinyama..[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaaah
 
Maji Hufuata mkondo
Kuna familia baba daktari. Mama daktari. Watoto madaktari na wajukuu madaktari na wanawaandaa vitukuu kuwa madaktari.. nao wafalme?

Familia ya wanasiasa akiwaandaa watoto wake kuwa wanasiasa kuna shida gani? Au kwa kuwa wao wanajulikana?
 
Unafikiri Bush Junior aliupata urais wa Marekani kama Hussein Mwinyi alivyoupata wa Zanzibar?
 
Why not?,Tukiwa na katiba nzuri inawezekana kabisa
 
Wote hao watu wa pwani, hapo hakuna wa bara.
 
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?

Utaumia ukifikiria sana, elewa tu kuwa mwenye / wenye nacho huongozewa maradufu ndiyo dunia ilivyo. Nimenukuu toka simulizi za maandiko toka vitabu vya enzi na enzi pia wahenga wa sasa wameniambia kwa mifano hai.
 
Hivyo vifaranga ndio kama kina Sabaya Makonda na wasiojulikana sio?[emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…