Kwa nini wanakimbilia kampuni ya kikanada wanaacha boeing ya america au a320neo ya airbus?Navyojua mm wanapanga kuagiza ndege aina ya Bombadier CRJ 1000 nne zenye kubeba abiria kati ya 90 na 100.Hapa muhimu waondoe middle men
Ndo kusema ATC ni dhaifu sana kiasi kwamba haiwezi kufanya kazi bila Fastjet kufa? Fastjet lazima iwepo maana hao ATC wanauwezo wa kujitutumua kwa miaka 3-5, baada ya hapo chali tena. Tatizo kubwa la kampuni kama ATC ni wanasiasa. Wanasiasa hawachelewi kuanzisha route za mikoni kwao hata kama hazina faida, pia hupenda kutoa ofa kwa rafiki zao na wapenzi wao. Pia, ATC ni shamba la bibi.Hiyo unayoita roho mbaya mimi naita Uzalendo, na ndiyo unaojenga nchi!
Hata hivyo kama wanaleta hizo ndege basi wafanye na mabadiliko makubwa sana kwenye uongozi wa hilo shirika maana wamozoea kufanya kazi kwa mazoeaHuwezi amini moja ya route ambayo Air Tanzania ilikuwa inapata pesa sana enzi hizo ni route ya Dar-Mtwara... Sasa hivi barabara ziko safi nchi nzima wapanda ndege wamepungua sana..
...Kwahiyo, Kawambwa ndio wasomi?Hapa ndio naposhindwa kuelewa sisi watanzania tunataka nini ?? Unasema wasomi hawajashindwa ??? Hebu nikupe mfano tu wa kwenye Elimu kina Shukuru kawambwa na usomi wake aliambiwa nini na kina Mbatia kuhusu elimu ???badala yake tunafulisha watoto wasiojua kusoma na kuandika na BRN zao ili kuficha aibu ya serikali huoni huko ni kufeli
Naona unamshambulia MTURoho mbaya haijengi, sina hakika na uwezo wako wa kufikiri, maake pointing zako nyingi ni fitna kama za wake wenza
Wacha yaje mengi labda mlaji atanufaika na ushindani kwa kupata unafuu angalau wa beiShirka jingne lipo njiani linakuja fununu hzi kwa hivyo na wengne muwe tayari kuwapokea ni uniated african airline limited visit us on www.flyuaatz.com
...Ni kuchagua tu, yupo pia Brazil mwenye Embraer.Kwa nini wanakimbilia kampuni ya kikanada wanaacha boeing ya america au a320neo ya airbus?
Usibishe ndugu watu wanaopenda kujiita Wasomi ndio wameua hii NCHI
...Kwahiyo, Kawambwa ndio wasomi?
...Sera ya Elimu inasemaje? Imetekelezwa?
Tunataka ushindaniKama ni kweli safi sana lkn kwanza FastJet ni lazima wasepe, iwe kwa hujuma ya moja kwa moja au ya chini chini lkn ni lazima waondoke kwetu ili Ndege yetu iweze kumea na kukua, yaani soko la ndani kwa asilimia zaidi 90% liwe la ndege yetu!
... UncleBen, point yangu ni kutoingiza wasomi wote kwenye kapu moja! Wasomi walioingia kwenye siasa siwezi kuwalaumu. Wote tunaijua siasa ilivyo.Kawambwa sio msomi sasa wewe msomi kwako sijui ni nani ,Mkuu siko hapa kwa ajili ya kubishana ni mawazo tu na sio sheria , haya maswali sina namna ya kukujibu yanayotokea nchini mwetu ni jibu tosha ya hayo maswali ,kama wewe huoni basi
Hata wapewe ndege kumi shirika litakufa tu, tatizoF uongozi na madili dili
Nakuunga mkono, tunataka ushindani wa soko - tunajua fastjet ana mapungufu yake endapo ATC atayachukulia kimkakati ya kibiashara na si kisiasa basi mambo yataenda vzr tu na hakuna haja ya kumsulubu fastjet bila sababu.Ndo kusema ATC ni dhaifu sana kiasi kwamba haiwezi kufanya kazi bila Fastjet kufa? Fastjet lazima iwepo maana hao ATC wanauwezo wa kujitutumua kwa miaka 3-5, baada ya hapo chali tena. Tatizo kubwa la kampuni kama ATC ni wanasiasa. Wanasiasa hawachelewi kuanzisha route za mikoni kwao hata kama hazina faida, pia hupenda kutoa ofa kwa rafiki zao na wapenzi wao. Pia, ATC ni shamba la bibi.
Mkuu niliposema wasomi sikua na maana kwamba ni wote na sina report inayo onyesha ni % ngapi ya wasomi walio ingia kwenye siasa na ambao hawapo kwenye siasa ndio wametufikisha hapa ,nilisema wasomi nikiwa na maana waliopo kwenye siasa na wasio kwenye siasa ,Sasa mtu kama Prof Lipumba Mimi naona kama hajaitendea haki elimu yakeUncleBen, point yangu ni kutoingiza wasomi wote kwenye kapu moja! Wasomi walioingia kwenye siasa siwezi kuwalaumu. Wote tunaijua siasa ilivyo.
Wakifanya hivyo itakuwa vizuri maana itatuondolea aibu. yani hatuna ndenge hata moja zaidi ya ile tuliokodisha. EA sisi ndo tunatia aibu Kenya airways, Rwanda air, Uganda wanandege nyingi. Burundi siwezi kuilaumu mnajua hali ya mkwamo wa siasa nchini humo ila sisi (Tz) sijui tumekosa nini?Habari kutoka chanzo kisicho rasmi sana.. inasemekana ATCL inategemea kuleta ndege 5 (regional jets) aina ya Bombadier zenye uwezo wa kubeba abiria 50 hadi 70 ili kufufua biashara yake hasa kwa safari za ndani na nchi za jirani.
Fedha hiyo inasemekana ni mkopo toka TIB..
Hata wapewe ndege kumi shirika litakufa tu, tatizo uongozi na madili dili