MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 305
- 728
Ficha ujinga wakoCCM kwa uwongo hamjambo. Wawekezaji 300 si watajenga mpk upenuni mwa nyumba zetu?? Au mm ndiyo sielewi maana ya neno wawekezaji?
Makanjanja hao. Kwa ivo number ndiyo ina correlate na dhima ya uwekezaji? Wamekuja kuwekeza nini na wapi? Wawekezaji wanakujaga kutembea kwanza halafu ndio waje wawekezeje? Wamebebana ndege moja?Serikali ya Tanzania tarehe 04/12/2021 inatarajia kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri ambao watawekeza nchini katika sekta za Usafirishaji, ujenzi, uzalishaji wa bidhaa za petroli, kilimo, kemikali, ujenzi na madawa...
Uuhui, twafa twasila kung'anda...Mida hii hapa TBC kuna ugeni mzito umeingia Tanzania. Hawa ni wageni wawekazaji kutoka Misri na mawaziri wako live TBC kutoka kituo cha uwekezaji wakiwa na mwenyeji wao waziri Jofrey Mwambe.
Kwenye huu ugeni sio wa kitoto kuna mawaziri na mabilionea wa Misri. Tunaambiwa hao wadau wanakuja kujenga viwanda zaidi ya 100 Kigamboni.
Mashirika ya ndege yawe yanaangalia na muda sahihi wa kutua, huu ulikuwa sio ugeni wa kutua mida hii ya saa 5 usiku. Lakini waziri angwaacha wakapumzika kidogo halafu watambulishwe asubuhi
Mkuu kazi siku hizi zinafanywa 24/7 acha ushamba. Watu wako bize wnaatambulishwa muda huu kesho waendelee na mambo mengine.Mida hii hapa TBC kuna ugeni mzito umeingia Tanzania. Hawa ni wageni wawekazaji kutoka Misri na mawaziri wako live TBC kutoka kituo cha uwekezaji wakiwa na mwenyeji wao waziri Jofrey Mwambe.
Kwenye huu ugeni sio wa kitoto kuna mawaziri na mabilionea wa Misri. Tunaambiwa hao wadau wanakuja kujenga viwanda zaidi ya 100 Kigamboni.
Mashirika ya ndege yawe yanaangalia na muda sahihi wa kutua, huu ulikuwa sio ugeni wa kutua mida hii ya saa 5 usiku. Lakini waziri angwaacha wakapumzika kidogo halafu watambulishwe asubuhi
Siku hizi unaoutambuzi bro/dogo.. sisimu ni jangaYaani washindwe kujenga hivyo viwanda 100 huko kwao Misri halafu waje kujenga hivyo viwanda hapa Tz?
Sijui nani katuloga watz.
Sema wamekuja Tz kuvuna kupitia mikataba hewa na viongozi wetu kupewa 10% zao kisha ufukara uendelee.
Nani amekuja? Mngeandika majina ya hao wawekezaji. Kama ni kina Sawiris wanao huo uwezo.Yaani washindwe kujenga hivyo viwanda 100 huko kwao Misri halafu waje kujenga hivyo viwanda hapa Tz?
Sijui nani katuloga watz.
Sema wamekuja Tz kuvuna kupitia mikataba hewa na viongozi wetu kupewa 10% zao kisha ufukara uendelee.