Tanzania kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri

Tanzania kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri

Tabia za kimalaya Malaya,"wasipokuja tunapiga kelele,wakija tunawakebei kebei,Tushukuru wamekuja tutengeneze fursa,joint venture,alimradi pande zote zinufaike,serekali ipate,mwekezaji apate,mbia mwenza apate,tuache tabia za kimalaya malaya.

Hawa 2shawazoea na kelele zao,,,mwenyewe nimehappy ujio wa wamisry. So wacopenda acha wapige kelelee kwa wingi mama acwafuate wachache hawa.
 
Hawa 2shawazoea na kelele zao,,,mwenyewe nimehappy ujio wa wamisry. So wacopenda acha wapige kelelee kwa wingi mama acwafuate wachache hawa.
Tunakutakia kila la kheri, ila matokeo yatakapoanza kuonekana usijifiche uwe tayari kukiri ushauri wa wananchi waliokuwa na mawazo tofauti na yako. Huo ndiyo ustaarabu.
 
Mabeberu haina shida kuja kuwekeza, ila waarabu imekuwa nongwa na kelele nyiingi 😁😁
Ukishakuwa na ugonjwa wa udini na ubaguzi huwa huoni na ni vigumu hata kufikiri. Hiyo ni "disorder" hatari sana kwa mtu mzima kuiendeleza. Mtanzania kuwa na tatizo hilo miaka hii ni sawa na kupata ajali kifikra. Kama umewapenda sana kwa kuwaweka watanzania wenzako zaidi ya mia tatu katika mazingira ya kitumwa kwenye majumba yao, basi hakuna zaidi la kukuambia isipokuwa kukupa pole kwa ajali ya akili.
 
Hao waarabu wa Misri waganga njaa tu, labda ingekuwa kutoka Dubei au Saudia.
Mabeberu haina shida kuja kuwekeza, ila waarabu imekuwa nongwa na kelele nyiingi [emoji16][emoji16]
 
Serikali ya Tanzania tarehe 04/12/2021 inatarajia kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri ambao watawekeza nchini katika sekta za Usafirishaji, ujenzi, uzalishaji wa bidhaa za petroli, kilimo, kemikali, ujenzi na madawa.

Haya yote ni matokeo ya Diplomasia ya Uchumi ya Tanzania chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kudumisha mahusiano ya Tanzania na mataifa mbalimbali ulimwenguni yanayolenga kuujenga uchumi wa nchi yetu. WIN WIN SITUATION.

Kazi inaendelea
Mkuu watalii ama wawekezaji?

Tumepigwa na kitu kizito kichwani.

Tuwe makini na propaganda za ccm kindaki ndaki.
 
Hawa wawekezaji mpaka waanze kujrnga ndo watakuwa wawekezaji lakini bila h8vyo ni watalii tu.

Hivi kuna mmoja aliwahi kuja na kukutana na Kikwete enzi zile eti anataka kujenga Reli kwa pesa zake akitokea marekani na ikawa habali, je hiyo Reli imefikia wapi mwenye kujua atujuze?
 
sasa umenielewa, na sasa tunawakaribisha huku huku. Nakuhakikishia watatuvua nguo! Nina hakika huu mpango umetokana na wao kupewa ule ujenzi wa Sigglers Gorge- mtambo wa kufua umeme, wameleta watu wao sasa wameshatengeneza upenyo mpaka ikulu. Ni watu corrupt sijapata kuona mfano! Hapo ninakuhakikishia ni sawa na kumkaribisha shetani kuishi naye ukidhania anayo nia ya kukufundisha kuwa Padre au Imam. LAZIMA TAIFA ZIMA LITASIKITIKA muda si mrefu. Ni afadhali ya waChina mara elfu moja. Tena nasikia hao hao wameshaanza michoro ya kushika eneo kubwa tu la Ardhi maeneo fulani Mkoa wa Tanga. Angalia hotuba ya Prof. Lumumba Addis Ababa aliyotabiri kuwa kwa mwendo huu Africa iko mbioni kurudi utumwani miaka 25 ijayo!
Very true 100%..ni jambo la kusikitisha sana kuona baadhi ya watanzania wanafurahia hawa jamaa kuja as if watagawa pesa mifukoni, hatari za kuwa fukara wa kufikiri hakuna mtu huwa anaweza kuzilipa au kufidia zikitokea, uchumi wa misri unategemea sana mto nile, ziwa victoria ni chanzo cha mto nile pia, toka juhudi za kutaka kuyatumia maji ya ziwa victoria hata kwa matumizi ya nyumbani tu ukiacha matumizi ya kilimo cha umwagiliaji..hawa jamaa wamejifanya kuwa karibu sana na Tanzania, huko nyuma hawakuwahi kufanya hivi...sidhani lengo lao ni huo uwekezaji sijui wa vifaa vya umeme nk wana jambo kubwa limejificha, kwa kumbu kumbu tu kipindi cha awamu ya kwanza serikali ilianzisha mradi wa kilimo cha umwagiliaji kwa zao la pamba sehemu fulani kanda ya ziwa nadhani magu au musoma kama sikosei ulikuwa unaitwa Bugwema irrigation project, kila kitu kiliwekwa ili kilimo kianze..kilichotokea huo mradi haukutoa hata tone la maji! hadi leo miuondo mbinu yooote iliyowekwa ilishakuwa chuma chakavu...kwa kifupi misri hawataki nchi zinazozunguka ziwa victoria zitumie hayo maji! halafu mtu anafurahia eti wawekezaji sijui 200 sijui 300 tena wanapewa kigamboni ambako wanaweza kuleta hata vitu kwa siri kupitia baharini pasipo kujulikana! Ethiopia wanagombana wao kwa wao chanzo cha ugomvi kinajulikana, halafu sisi tunazika kichwa chini kama mazuzu!
 
Back
Top Bottom