Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

Super power wenu ni nani hapa Tz?
Anakotokea huyo aliyeleta habari hapa niliyemjibu. Wao wanajitangaza ndio 'superpower' wa maeneo haya ya Afrika Mashariki.
Nimempa ujiko azidi kufurahi na hayo anayotuombea yatutokee.
 
Moderators mimi nimepigwa ban nyingi huyo mkenya mleta mada nimesali kuwa Mungu niepushe nisimporomoshee matusi ya nguoni mimi ni kiumbe wako dhaifu nisipigwe ban JAMII forums .Nimesikia utulivu fulani nashukuru Mungu huyo mleta mada mkenya matusi ambayo ningemporomoshea jamii forums wangenipa ban ya maisha Eee Mungu Nakushukuru kunisaidia udhaifu wangu nisimporomoshee matusi ya nguoni ya kwake Na wazazi Wake
 
Baada ya sisi kusoma namba mpaka alphabet sasa ni zamu ya wafadhili kuisomesha namba serikali.

Wenyewe watakwambia watakaoisoma namba ni wao wafadhili. Mtu aliyevurugikiwa akili haachi kukupa mipasho inayomtia moyo.
 
Sasa vikiwekwa vikwazo na hali ikawa ngumu mitaani si itabidi wananchi wamtoe jamaa pale white house?

Vyovyote na iwe poa tu
 
Usidhani vikwazo vinawekwa kirahisirahisi ivo
 
Wenyewe watakwambia watakaoisoma namba ni wao wafadhili. Mtu aliyevurugikiwa akili haachi kukupa mipasho inayomtia moyo.
Kwa kweli mkuu hilo linawezekana kabisaa. Hapo ndo ule usemi wa kwamba kufa hufi ila cha moto utakiona ndo utatimia.
 
Ziko mbinu nyingi mkuu, kweni Hugo Chavez alipigwa Bomu, teknolojia iko mbali sana "mionzi" tu kitu kinanyooka.
Naona unajitahidi kweli! Unafikiri kuingoza nchi ni kama kuongiza chadema?

Kwa taarifa yako tu ni kwamba Magufuli ndio rais wako hadi 2025

Uchungu ee?
 
Wakimbizi wamezidi sana Tanzania, manina zenu mnaoshabikia huu ujinga mkaLGBTiwe tu hamna akili
 
Tafuta uadui na nchi zozote kasoro USA/ISRAEL/EU Hizi namba Chafu.
Yani wewe ni mtumwa kiakili mpaka kimwili.. Hapo ulipo uko tayari kugongewa hata mkeo ili mradi usimuudhi mzungu kutoka USA au EU!
 
Watu wamesoma ajira hakuna (wawekezaji wamekimbia)wasomi wanashindia vitumbua, sio vikwazo hivyo kwangu mimi ni vikwazo tena vya kizembe kutoka juu ,
Umekalili kuajiliwa tu! Kumbe unakula ugali wa dada yako ndio maana unabwata tu hapa
 
Naona unajitahidi kweli! Unafikiri kuingoza nchi ni kama kuongiza chadema?

Kwa taarifa yako tu ni kwamba Magufuli ndio rais wako hadi 2025

Uchungu ee?

Unawaona viongozi sio huyo wa kwako wa kupanik
 
Njaa huongeza ujasiri hebu wewe shinda na njaa siku 3 wewe na wanao kama hutampiga mtu loba...usicheze na njaa.

Tena hiyo mbinu hiyo hufundishwa hata jeshini inaitwa "scorch earth pilicy"



Wewe umezaliwa mwaka gani?!, au hujasoma historia baada ya vita vya Uganda na Tz, hali ya uchumi wa Tz ilikuwa vipi, kila kitu kilikuwa kwa KAYA (ration), bidhaa zote muhimu zilipatikana kwa shida kubwa mno sababu ya jeuri ya nyerere kutokusikiliza wengine, Gadaffi alitaka kulipa gharama yote ya vita ili askari wake tuliwateka tuwaachie huru lakini Nyerere (mungu amrehemu) kwa "jeuri" akakataa "ransom" na akawaacha huru bila chochote, hali ya uchumi ikawa mbaya mno, lakini Watz ni kama " kondoo na nyumbu", hali ikawa nzuri baada ya kuingia MZEE Ruksa ndipo Gadaffi akaleta mafuta bure kwa muda mrefu na uchumi ukaanza kuimarika na kukua.

Watz, ni "kondoo na nyumbu" na hili jambo ni mpango wa Mungu tuwe hivyo labda lina faida kubwa hapo baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…