Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Dhahabu ya Tanzania kupitia Acacia counts nothing in US or UK economy. Google production/exports za dhahabu Duniani.Nakubali kwamba Magufuli nchi imemshinda, ila sielewi huu 'Wema' wa wazungu kwetu umeanza lini!!
Nijuavyo, wazungu wana permanent interest, hawanaga rafiki wala adui wa kudumu. ******** hata angeua mashoga kwa risasi hadharani, au kumkatakata lissu kama kashoggi, kama asingegusa maslahi ya wazungu ( issue kama acacia, ku ally na China, ku temper na program zao za ukimwi nk) wasinge mgusa wala kutoa tamko lolote. Kuna mahala ******** kagusa maslahi yao, na huwezi kubaki salama ukigusa maslahi yao. ******** aamue kusuka au kunyoa
Dhahabu yetu yote (jumlisha na ya makampuni mengine), haifikii hata 25% ya dhahabu inayochimbwa ndani ya US, Canada, Australia, Brazil au China.