Hivi haya majina ya tony bado wanapewa Watoto Wa kiume huko kenyaTatizo ni kuwa Wakenya wengi ikiwemo hawa wanahabari, hufikiri Tanzania is a beacon of democracy lakini kumbe Tanzania is just another dictatorship pretending to be a democracy.
huyo ni mvuta nangi,bado tuanchunguza uraia wake inawezekana ni mau mau mwenzenu huyu.Mwngine huyu hapa kapewa kesi ya uhujumu uchumi[emoji23][emoji23][emoji23]
Na bado wamekaa kimyaaView attachment 1452810
Sent using Jamii Forums mobile app
Watz hatuwezi kucheza na [emoji205]maana natutaki kuvuna mabuaWewe neno mushene ulilijulia hapa Kenya. Hilo sio neno la kiswahili hata kidogo. Hilo ni neno la kikuyu. Kwa hivyo lazima umeishi Kenya kwa muda mrefu.
Kwani nyinyi hamsikii habari za uchunguzi zinavyogharimu wanahabariTanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. TZ inatoa madai kuwa wanahabari hao waliingia nchini humo kinyume cha sheria.
Yaonyesha unapenda sana ishu za kupigwa ndogo..
Yaonyesha hayo ndo mambo yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya shosho wako labda au unadhani sifahamu maana ya hilo neno kiungo cha [emoji66]
Nyie majuha kweli........waandishi hata katikati ya vita kali wanaingia ili kuripoti matukio kwa usahihi......sasa nn kinawakera wao kufanya kazi yao? Siasa kwenye corona iondoke mara mojaMnafuata nini Tanzania nyie watu, si tuna Corona sisi wote kwanini nyie mteseke? Waache wakanyee debe miaka 10 manyang'au hao
nahisi umevimbiwa mukimoo wwNyie majuha kweli........waandishi hata katikati ya vita kali wanaingia ili kuripoti matukio kwa usahihi......sasa nn kinawakera wao kufanya kazi yao? Siasa kwenye corona iondoke mara moja
Nyie majuha kweli........waandishi hata katikati ya vita kali wanaingia ili kuripoti matukio kwa usahihi......sasa nn kinawakera wao kufanya kazi yao? Siasa kwenye corona iondoke mara moja
Chief hiyo resource unayoshauri itumike kuwafunga hao waandishi ingetumika kwenye mikakati ya kupambana na korona ndicho namaamisha.
Acha wakamatwe jino kwa jino! Mpaka mnyooke safari hii.Tanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. TZ inatoa madai kuwa wanahabari hao waliingia nchini humo kinyume cha sheria.
Kwanini wasiripoti kwenu jinsi mnavyopigwa mapomu na mapolisi wenu pia mnanjaa mpaka mnapika mawe!Nyie majuha kweli........waandishi hata katikati ya vita kali wanaingia ili kuripoti matukio kwa usahihi......sasa nn kinawakera wao kufanya kazi yao? Siasa kwenye corona iondoke mara moja
. 0%Afadhali wangekamata ng'ombe, vifaranga, raia wa kawaida au hata watumishi wa umma. Hapo kwa wanahabari wamechemsha sio mchezo. Hii move ni sawa na kuchokonoa mzinga wa nyuki. Itabidi GoT wajitayarishe kisaikolojia kwa mapigo ya hali ya juu kutoka kwa "4th Estate", kama wanavopenda kujiita. Yaani kwa kifupi, cartels au magenge ya wanahabari, na sizungumzi kuhusu wakenya, serikali ya Kenya wala media za Kenya.
alisikika mama mwingine wakikenya.π€£π€£Tatizo ni kuwa Wakenya wengi ikiwemo hawa wanahabari, hufikiri Tanzania is a beacon of democracy lakini kumbe Tanzania is just another dictatorship pretending to be a democracy.
Wewe utakuwa unaliwa nyuma na mijitu. Ng'ombe wewe.Kinyeleo kama jina la nchi yenu "Kunyaland"[emoji23]....maamae mkome kuongea lugha msio ijua. English enyewe mnaongea kama umekabwa na sukumawiki,..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana lock down ni habari nyingine kwa nchi kama hii ambayo haina mikakati yoyote ya maana.Kwa hali ya maambukizi ilipofikia Tanzania unafikiri kwasasa Lockdown itasaidia au itaongeza matatizo mengine zaidi? Kipi unataka kifanyike kwasasa?
Uhuru gani wakikabila ama? Wewe endelea kukaa ndani usubili nchi iuzwe?πππMkenya ambaye atajifanya hadi sasa haijui Tanzania ilivyo atakua na matatizo, kwanza kwa awamu hii, ina maana wanahabari hawakumbuki jamaa aliyekimbilia huku kama ameliwa risasi 38, yule anaitwa Tundu Lissu. Halafu hiyo ndio nchi unakwenda kuhoji hoji.
Watz waachwe wlivyo watajauana wenyewe, ikitokea una shughuli lazima uende kwao huko, jitie ububu kabisa, wala hata usitazame taarifa zao za habari maana utajikuta unaongea kuzihusu maana wengi hatujazoea wanachopitia, utajisahau udhani uko kwenye nchi yenye uhuru kama kwetu.
Piga kimya, shughulika na issues zako kisha geuza mara moja, kama vipi agiza magazeti ya Kenya, yapo yanauzwa huko.
Alisikika mama mmoja mtaalamu wa kupika maweπππAdvice nzuri kwa Wakenya wanaopanga kutembelea Tanzania hivi karibu. Hawa watu hawataki kukosolewa hata kidogo. Wacha tuwaache na mashida zao.