YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mwajiri anawajibija akiwa na taarifa ya daktari kuwa mwajiriwa wake anaumwa Kama taarifa ya daktari haipo hawajibikiMwajiri ana wajibu wa kumtibu mwajiriwa mpaka apone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwajiri anawajibija akiwa na taarifa ya daktari kuwa mwajiriwa wake anaumwa Kama taarifa ya daktari haipo hawajibikiMwajiri ana wajibu wa kumtibu mwajiriwa mpaka apone
Mwajiri anawajibija akiwa na taarifa ya daktari kuwa mwajiriwa wake anaumwa Kama taarifa ya daktari haipo hawajibiki
Wakati huohuo mwajiri anamuona mwajiriwa akiwa Marekani akiendesha makongamano ya kukashfu mwajiri wake badala ya hospatali UbelgijiMwajiri anawajibija akiwa na taarifa ya daktari kuwa mwajiriwa wake anaumwa Kama taarifa ya daktari haipo hawajibiki
Majukumu hayo hubebwa na mwajiri pale tu anaporuhusiwa kufanya hayo majukumu.mfano mwajiri anasema nakupeleka muhimbili wewe ukagoma ukasema siendi naenda ninakojua Mimi.Jukumu Hilo anakuachia mwenyeweEndapo mwajiriwa alizimikia kazini hatua zote za kiusalama nijukumu la mwajiri kuanzia huduma ya kwanza mpaka hospital
Endapo mwajiri hakuchukuwa hatua yoyote dhidi ya mfanyakazi alieumia kazini kwake kwa ajari mbaya iliyopoteza faham za mwajiriwa kiasi kwamba hakuwa na uelewa/ufahamu wowote Kufanya maamuzi basi mwajiri amevunja sheria za afya na usalama kazini
1. Rescue plan must be available
2. Emergency rescue plan ....
3. Rescue teams .... ambulance, workers, tools, hospital etc
Nimuhimu sana mwajiri kuzitekeleza pamoja na kuhakikisha mgonjwa anapata Matibabu sahihi kutoka kwa madakatari sahihi mpaka pale mgonjwa atakaporuhusiwa
Haki si ya kusikilizwa tu pia kuna Haki ya kusikiliza wengine.Mwajiri akisema na wewe msikilize ana haki ya kusikilizwa.Haki ya kusikilizwa Ni two way traffic not one way..Mwajiri anaongea weee taratibu Ni hizi wewe unaziba masikio akikuibikia ndio unaanza kubwata kuwa nataka haki ya kusikilizwa!!!!!!!Nadhani haki ya kusikilizwa ndo haki kubwa kabla ya kumuadhibu mtu . Baada ya hapo mtu ajitetee pia awakilishwe ndipo adhabu itolewe kwa muhusika kwa jinsi itakavyokuwa.
Kama haonekani kazini msubiri hadi atakapo rudi kazini, unacho weza kufanya ni kusimamisha stahiki zake lakini si kumfuta kazi.
Kumfuta kazi mfanyakazi kuna mambo makuu mawili ya kuzingatia, moja lazima kuwe na sababu ya msingi lakini pili lazima uwe umefuata utaratibu wa haki.
Kumwachisha kazi mwajiriwa kwa sheria zetu za kazi sio rahisi kihivyo labda tu mwajiri ushupaze shingo lako.
Majukumu hayo hubebwa na mwajiri pale tu anaporuhusiwa kufanya hayo majukumu.mfano mwajiri anasema nakupeleka muhimbili wewe ukagoma ukasema siendi naenda ninakojua Mimi.Jukumu Hilo anakuachia mwenyewe
Majukumu hayo hubebwa na mwajiri pale tu anaporuhusiwa kufanya hayo majukumu.mfano mwajiri anasema nakupeleka muhimbili wewe ukagoma ukasema siendi naenda ninakojua Mimi.Jukumu Hilo anakuachia mwenyewe
Unconscious haonekani kwa macho Ripoti ya madaktari ndio huthibitisha Kama Ni unconscious au la.Madaktari bingwa wa muhimbili ndio walitakiwa kufanya hiyo kazi Lakini yeye akakataa akaenda zake NaorobiRidiculous.... with unconscious person!
Unconscious haonekani kwa macho Ripoti ya madaktari ndio huthibitisha Kama Ni unconscious au la.Madaktari bingwa wa muhimbili ndio walitakiwa kufanya hiyo kazi Lakini yeye akakataa akaenda zake Naorobi
Yeye hakukataa, angekataa vipi akiwa kwenye "vegetative state". Hii itakuwa ni kesi itakayovuta hisia za watu wengi sana.Unconscious haonekani kwa macho Ripoti ya madaktari ndio huthibitisha Kama Ni unconscious au la.Madaktari bingwa wa muhimbili ndio walitakiwa kufanya hiyo kazi Lakini yeye akakataa akaenda zake Naorobi