Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

Mkuu mfano tundu ni mwajiriwa wa bunge au wa wananchi!? Na nani alitakiwa awajibike angalau kumsindikiza hospitalini?😁
 
Nadhani haki ya kusikilizwa ndo haki kubwa kabla ya kumuadhibu mtu . Baada ya hapo mtu ajitetee pia awakilishwe ndipo adhabu itolewe kwa muhusika kwa jinsi itakavyokuwa.
Kama haonekani kazini msubiri hadi atakapo rudi kazini, unacho weza kufanya ni kusimamisha stahiki zake lakini si kumfuta kazi.

Kumfuta kazi mfanyakazi kuna mambo makuu mawili ya kuzingatia, moja lazima kuwe na sababu ya msingi lakini pili lazima uwe umefuata utaratibu wa haki. Kumwachisha kazi mwajiriwa kwa sheria zetu za kazi sio rahisi kihivyo labda tu mwajiri ushupaze shingo lako.
 
Busara haijatumika kwa nini wasimtafute balozi Wa nchi alipolazwa lissu ili akafanya mawasiliano na daktari wake wakajiridhisha kama kamruhusu kurudi home Tanzania,kabla ya kumvua mbunge
 
Mwajiri anawajibija akiwa na taarifa ya daktari kuwa mwajiriwa wake anaumwa Kama taarifa ya daktari haipo hawajibiki

Endapo mwajiriwa alizimikia kazini hatua zote za kiusalama nijukumu la mwajiri kuanzia huduma ya kwanza mpaka hospital

Endapo mwajiri hakuchukuwa hatua yoyote dhidi ya mfanyakazi alieumia kazini kwake kwa ajari mbaya iliyopoteza faham za mwajiriwa kiasi kwamba hakuwa na uelewa/ufahamu wowote Kufanya maamuzi basi mwajiri amevunja sheria za afya na usalama kazini

1. Rescue plan must be available

2. Emergency rescue plan ....

3. Rescue teams .... ambulance, workers, tools, hospital etc

Nimuhimu sana mwajiri kuzitekeleza pamoja na kuhakikisha mgonjwa anapata Matibabu sahihi kutoka kwa madakatari sahihi mpaka pale mgonjwa atakaporuhusiwa
 
Mwajiri anawajibija akiwa na taarifa ya daktari kuwa mwajiriwa wake anaumwa Kama taarifa ya daktari haipo hawajibiki
Wakati huohuo mwajiri anamuona mwajiriwa akiwa Marekani akiendesha makongamano ya kukashfu mwajiri wake badala ya hospatali Ubelgiji
 
mbna mnahangaika ivoo.. si tayar mmemvua ubunge asa mbna kila siku mnazidi kujitetea mara oh document zingewasilishwa bungeni mara oho angerudi tz yanini hayo yote!!!
 
Endapo mwajiriwa alizimikia kazini hatua zote za kiusalama nijukumu la mwajiri kuanzia huduma ya kwanza mpaka hospital

Endapo mwajiri hakuchukuwa hatua yoyote dhidi ya mfanyakazi alieumia kazini kwake kwa ajari mbaya iliyopoteza faham za mwajiriwa kiasi kwamba hakuwa na uelewa/ufahamu wowote Kufanya maamuzi basi mwajiri amevunja sheria za afya na usalama kazini

1. Rescue plan must be available

2. Emergency rescue plan ....

3. Rescue teams .... ambulance, workers, tools, hospital etc

Nimuhimu sana mwajiri kuzitekeleza pamoja na kuhakikisha mgonjwa anapata Matibabu sahihi kutoka kwa madakatari sahihi mpaka pale mgonjwa atakaporuhusiwa
Majukumu hayo hubebwa na mwajiri pale tu anaporuhusiwa kufanya hayo majukumu.mfano mwajiri anasema nakupeleka muhimbili wewe ukagoma ukasema siendi naenda ninakojua Mimi.Jukumu Hilo anakuachia mwenyewe
 
Mambo mengine hayana maana,hata kama lissu alipeleka taarifa ya maandishi hamna mwenye uhakika.na hata apeleke taarifa mkoba mzima ndugai na magufuli wakitaka asiwe mbunge hatakuwa tu
 
Nadhani haki ya kusikilizwa ndo haki kubwa kabla ya kumuadhibu mtu . Baada ya hapo mtu ajitetee pia awakilishwe ndipo adhabu itolewe kwa muhusika kwa jinsi itakavyokuwa.
Kama haonekani kazini msubiri hadi atakapo rudi kazini, unacho weza kufanya ni kusimamisha stahiki zake lakini si kumfuta kazi.
Kumfuta kazi mfanyakazi kuna mambo makuu mawili ya kuzingatia, moja lazima kuwe na sababu ya msingi lakini pili lazima uwe umefuata utaratibu wa haki.
Kumwachisha kazi mwajiriwa kwa sheria zetu za kazi sio rahisi kihivyo labda tu mwajiri ushupaze shingo lako.
Haki si ya kusikilizwa tu pia kuna Haki ya kusikiliza wengine.Mwajiri akisema na wewe msikilize ana haki ya kusikilizwa.Haki ya kusikilizwa Ni two way traffic not one way..Mwajiri anaongea weee taratibu Ni hizi wewe unaziba masikio akikuibikia ndio unaanza kubwata kuwa nataka haki ya kusikilizwa!!!!!!!
 
ZALEMDA,
Sheria haziendi hivyo, Lissu hakuwa mgonjwa alijeruhiwa kwa risasi nyingi sana na zilipelekea kupoteza fahamu, sasa mwajiri anapomdai mwajiriwa taarifa za kushindwa kufika kwake kazini ni jambo lisiloingia akilini.

Mwajiri anapokataa kumlipa mwajiri wa haki zake baada ya kugundulika kuwa alifariki na maiti yake imapatikana baada ya miezi kadhaa baada ya mwajiri kumuandikia barua ya kumfukuza kazi kwa utoro! Haiingii akilini. Kanuni za ajira zinamtaka mwajiri amwandikie barua mwajiriwa na kumkabidhi huko aliko, ni wajibu siyo hiari.

Ulichoeleza kinahusu matatizo ya ugonjwa wa kawaida na si kwa waliopoteza fahamu kwenye ugonjwa au kwenye ajali. Kumbuka pia si kila mwajiriwa ana ndugu, wewe unabahati ya kuwanao wenzako ni yatima au wako safarini.

Usijaribu kuhitimisha jambo bila kuangalia mambo mengi yanayomhusu binaadamu.
Mwisho mkataba wa ajira ni kati ya mwajiriwa na mwajiri, ndugu na jamaa hawahusiki isipokuwa tu kama kipo kipengere cha mbadala wako yaani next of kin na taarifa zake huwekwa kwenye taarifa zako za ajira.
 
Majukumu hayo hubebwa na mwajiri pale tu anaporuhusiwa kufanya hayo majukumu.mfano mwajiri anasema nakupeleka muhimbili wewe ukagoma ukasema siendi naenda ninakojua Mimi.Jukumu Hilo anakuachia mwenyewe

Redicu
 
Ridiculous.... with unconscious person!
 
Ridiculous.... with unconscious person!
Unconscious haonekani kwa macho Ripoti ya madaktari ndio huthibitisha Kama Ni unconscious au la.Madaktari bingwa wa muhimbili ndio walitakiwa kufanya hiyo kazi Lakini yeye akakataa akaenda zake Naorobi
 
elvischirwa,

sasa hapo unajichanganya!! Mgonjwa yuko mitani ,kwenye media bado hajazi sick sheet una maanisha nini ? Huandiki document yoyote kwa mwajiri wako una maanisha nini??
Ebu tukiangalie hili kwa mapana ili nawengine wasitumbukie kwa mithili hii
 
Walianza wao ngoja na sisi "hapo sasa"
Taratibu zilianzwa kukiukwa mapema tu pale walipoambiwa mgonjwa huyu anatakiwa akaanzie matibabu kwenye hospital ya taifa pale Muhimbili, ukiwa pale ndio kuna taratibu zote utapewa kama mgonjwa wako atatakiwa asafirishwe nje ya nchi basi kibali kitatoka hapo.

Watu loooh! povu likawatoka "haiwezekani, watu walitaka kumuua ndio uwapelekee mgonjwa hamna, haiwezekani hata kidogo"
Hapo wamesahau kama huyo mtu anahitaji ruhusa na vibali, walijua watamaliza mambo wenyewe, bahada ya mwezi mmoja tu, malalamiko yakaanza "Ofisi ya bunge haijali mgonjwa, mara gharama za matibabu ziko juu" n.k n.k

Kiufupi tunatakiwa kufuata taratibu na kutimiza wajibu
 
Unconscious haonekani kwa macho Ripoti ya madaktari ndio huthibitisha Kama Ni unconscious au la.Madaktari bingwa wa muhimbili ndio walitakiwa kufanya hiyo kazi Lakini yeye akakataa akaenda zake Naorobi

Alipokufa Samweli Sita nani alithibitisha ? Muhimbili walikuwepo?

Alipokufa Mwl Julius K. Nyerere UK muhimbili walikuwepo kuthibitisha?

Msiwe kama wanyama kutofikiria relevance ya comment zenu
 
Yanatia hasira kwa kweli!!! Huruma hujitukuza juu ya huruma!! Mwenye huruma naye atahurumiwa.Yeye kama mwanasheria anatoa tuhuma kwa mwajiri wake kwamba ndiye aliyemjeruhi .hizi ni tuhuma ambazo hazijathibitishwa bado!! Leo anakutaka ujieleze kwa mandishi uko wapi unagoma!! Jamani tusiwage wasumbufu
 
Unconscious haonekani kwa macho Ripoti ya madaktari ndio huthibitisha Kama Ni unconscious au la.Madaktari bingwa wa muhimbili ndio walitakiwa kufanya hiyo kazi Lakini yeye akakataa akaenda zake Naorobi
Yeye hakukataa, angekataa vipi akiwa kwenye "vegetative state". Hii itakuwa ni kesi itakayovuta hisia za watu wengi sana.
 
Back
Top Bottom