The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Na hapo ndpo muamini kuwa tunawazd vitu vng sn sema cc utulivu kawaida yetu hatupo km nyie mna haraka na majivuno ya kijinga sn wakati ukweli halisi haupo hvyo.Yani mtanzania awe na hyo link ya hzo habari halafu asiilete hapa jf, si dunia itaisha jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheheheeee mkenya mwenzio huyo, na unampinga kweli maji yamezidi unga.... patheticHaya jiongeze kidogo baada ya kufurahia picha, nenda kwenye kusoma tofauti ya ripoti ya 2019 na 2020, hata mwanangu wa shule ya msingi kwa kuangalia haraka tu anaweza akabaini haya mahesabu hayajakaa ipasavyo, eti kwa mwaka mmoja tumepoteza mamilionea zaidi ya elfu tatu, Na nyie mkatupiku na zaidi ya milionea elfu mbili kwa mwaka mmoja tu.
Nataka nitulie nisake hizi taarifa kwenye tovuti ya hawa watu, kisha niandae ripoti yenye kuonyesha haya makosa halafu niwatumie na kama hawatarekebisha nitume kwenye vyombo vyote vya habari, nitapiga makelele mpaka watie akili, nchi yangu naipenda sana, huwa hatupitwi na shitholes za kwenye LDC.
Kenya usd dollar millionaires (>$1m) 2019 wealth report
8,400 -2013
9,176 -2017
9,482 -2018
11,584 -2023 - projection
Kenya usd dollar millionaires (>$1m) 2020 wealth report
800 - 2014
3,399 - 2018
2,900 - 2019
3,309 - 2024
Itategemea na wewe unavozichukulia. Hizo tarifa hazipo apo kukunufaisha kwa sababu na Wao walivoanza maisha hawakupata izo taarifa wanufaike , misingi ni ile ile kufanya kazi kwa bidii, ubunifu na kujituma! You obvious not expecting anything from these news as an advantage but its a good sign of increasing purchasing power
With a simple calculator one can easily pick this mistake without the need of being a researcher or statistician.
I don't deny the possibility of losing millionaires, can happen in a whim and has happened before even in developed nations, there are millions of factors that can cause such an occurrence, however, take a moment, pull out Knight Frank report of 2019 and a separate sheet of 2020, then do a comparative analysis, the mistakes are so glaring that one wonders how a data crunching firm would allow such publication to go through.
You are completely missing the point. My problem is with the kind of ongoing debate regarding the provided statistics.
I just realized later that even the billionaires are not part of this discussion. Less to be expected!
You are completely missing the point. My problem is with the kind of ongoing debate regarding the provided statistics.
I just realized later that even the billionaires are not part of this discussion. Less to be expected!
Usimjibu mpumbavu kadri ya upambuvu wake usije kuwa sawa na yeye.... Mithali 26:4Kamanda the Citizen wamecopy BBC,unaonekana umejawa nadharia na jazba.Zaidi,hujawahi kufika Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
I am not explaining anything to Tanzanians, it's evident only few can engage on any meaningful debate, however, this being a social forum, I will and shall always say a word or two.One thing: stop explaining things to us tanzanians, we are social creatures and you are capitalist creatures: we are very different, you will never win an argument with any tanzanian, whether its political, economical not even corona can win an argument with us tanzanians! ASTON VILLA failed the war already , we should all get to work on opportunities rather than the reports
Bado huelewi, 'dunderhead', simzungumzii Warren hapa.Sasa wewe na buffet nan anajua pesa? Who should mentor the other? He probably knows mengi usiyoyajua or else tungekua tunapika data zetu vichwan! We endelea ivo ivo , yaaani endelea na ubishi ivo ivo na ubaki Ivo ivo
Leta hyo pdf hapa u screenshot hyo habari tuichambue...maneno ya khanga peleka tandaleNa hapo ndpo muamini kuwa tunawazd vitu vng sn sema cc utulivu kawaida yetu hatupo km nyie mna haraka na majivuno ya kijinga sn wakati ukweli halisi haupo hvyo.
Kwn ule wimbo wa mwakani mta tu overtake mlikua mnamaanisha nn wambea wa dunia?Kuwa-overtake kwenye nini, njaa na ukabila? Lethargic and covetousness Kunyan!
Bwahahaaa!!mbna world bank waliwasikiza walipopeleka mswada wa kusimamisha zile hela za mgao..Yn cc na akili zetu tukae tumsikilize Mbowe kwa utashi gn alionao, kwnz apambane na wananchi wake [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3] umeishiwa kweli we
Nipe link jomba[emoji848]Na wala sio utani, ninayo hiyo pdf kutoka knight frank ina page 57 (mb 10 point something)
Wewe endelea kudhani kila mtu ni mjinga kama wewe humu,
Eti leo wanaikataa BBC kisa imewaumbua [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaongeze uwezo wako wa kufikiri ndipo uje kuomba link,
Bado huelewi, 'dunderhead', simzungumzii Warren hapa.
Kichwa ngumu ni wewe usie na uwezo wa kuyaelewa anayoyasema Warren, lakini unajiweka kimbele mbele kumtaja watu wakuone wewe mjuaji, kumbe huna unalojua!
I am not explaining anything to Tanzanians, it's evident only few can engage on any meaningful debate, however, this being a social forum, I will and shall always say a word or two.
Lugha huiwezi, unahangaika nayo ya nini?are you aware of what your talking? a moment ago you were trying to be against warren buffet, i used his teachings and your still negative! you brought politics then denied, so WTF are you trying to explain other than these small noises your trying to make