babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Wala hakuna kuficha aibu hapa,Hivi ni link ya kitu gani hii imewashinda Watanzania wote humu hadi wameishia vijembe ili kuficha aibu.
Link ya kuhusu hao mamilionea, manake kila wakituma source ni the citizen tanzania mara sijui bbc swahili..Hivi ni link ya kitu gani hii imewashinda Watanzania wote humu hadi wameishia vijembe ili kuficha aibu.
Kazi rahisi namna hii sasa...Wala hakuna kuficha aibu hapa,
Huyu mjinga mwenzako hapo kashindwa kutembelea website ya knight frank ili apakue pdf ajisomee,
Au anadhani BBC na vyombo vingine vya habari waliokota hizo data [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1380084
Hahaaa!!mbna umetuma sasa, wacha nijisomee mwenyewe hayo maelezo jomba[emoji122][emoji122][emoji122]Kaongeze uwezo wako wa kufikiri ndipo uje kuomba link,
Mjinga katajiwa hadi taasisi halafu kashindwa kwenda kwenye website yao kupakua pdf [emoji23][emoji23][emoji23]
Wala sijatuma, hapo nimetuma screenshot ya file nililo download πππ
Nani kasema mwakani tuta waovertake !!!!!!! Maana tayari tupo mbele yenu tangu 2012Kwn ule wimbo wa mwakani mta tu overtake mlikua mnamaanisha nn wambea wa dunia?
Haya ruka ruka sasa[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp world bank bado wamesimamisha hzo pesaBwahahaaa!!mbna world bank waliwasikiza walipopeleka mswada wa kusimamisha zile hela za mgao..
Yani iliwauma mkatema povu hadi bungeni
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanazd kuonesha ukilaza wao yn anashindwa hata kutofautisha link na screen shot dah aibu sn kwakweliWala sijatuma, hapo nimetuma screenshot ya file nililo download [emoji23][emoji23][emoji23]
Link ya kuhusu hao mamilionea, manake kila wakituma source ni the citizen tanzania mara sijui bbc swahili..
Mi nataka link ya kutoka knight frank nijisomee mwnywe, sitaki kuunga wala kupinga kitu bila ya kujisomea hyo habari kutoka kw main source nione inasemaje haswa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna mnaweweseka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nani kasema mwakani tuta waovertake !!!!!!! Maana tayari tupo mbele yenu tangu 2012
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa waogopa nn wakati huaga mnapenda ku post vitu kutoka kenya..[emoji1787][emoji1787]Wala sijatuma, hapo nimetuma screenshot ya file nililo download [emoji23][emoji23][emoji23]
Heheee!!umeshindwa ku screenshot maelezo..Ni vilaza mnoo [emoji23][emoji23][emoji23] hapo nimepost screenshot yeye anadhani nimepost link ya kudownload pdf.
Mjinga mwenzake kaja kumfichia aibu halafu bila aibu anasema tumeshindwa kupata link [emoji23][emoji23][emoji23]
Wala siogopi kitu,sasa waogopa nn wakati huaga mnapenda ku post vitu kutoka kenya..[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, mtazoea baada ya muda sio mrefu, kumbuka kwamba binadamu yeyote hupitia hatua tatu anapokutana na tatizo kubwa lenye kushitua sana, nazo niItakua walikua wanahangaika kuitafuta link, kuna mwingine aliposhindwa hoja na kuona nimempuuza akaanza kutupia misamiati ya matusi aliyokua anajifunza kwenye dictionary hadi akaishia kwenda kulala....hehehe
Anyway links hizi hapa, utaona kwanini ripoti za Knight Frank hazileti mantiki, hapa nimeweka ya 2019 na 2020
Ripoti ya 2019 wanasema milionea Kenya kwa mwaka wa 2018 walikua 9,482 na Tanzania 6,429
Ripoti ya 2020 wanasema milionea Kenya kwa mwaka huo huo wa 2018 walikua 3,399 na Tanzania 5,118
Yaani ripoti yao ya mwaka wa 2019 tulikua tumewazidi Watanzania kwa idadi ya milionea 3,000
Halafu ripoti ya 2020 kwa mwaka huo huo wa 2018 wakaweka kwamba tumepoteza milionea 6,000
Haiwezi kutokea siku LDC shthoe zishinde uchumi wa kati
https://content.knightfrank.com/content/pdfs/global/the-wealth-report-2020.pdf
https://content.knightfrank.com/res.../wealthreport/2019/the-wealth-report-2019.pdf
Yani mm nishindwe kutofautisha kati ya link na screenshot..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanazd kuonesha ukilaza wao yn anashindwa hata kutofautisha link na screen shot dah aibu sn kwakweli
Umkamate nani wewe πππHeheee!!umeshindwa ku screenshot maelezo..
Naona tangu jana nilikukakamata, link imekushinda kuituma kisa ilkua hujui utaitoa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MK254 asante kw kumsaidia mwenzako, yani mtanzania awe na link kuhusu kenya halafu ashindwe kuituma hapa jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado mpo katika maombolezi sio?. Jitaidini kumaliza msiba mapema kwasababu hata mkatae lakini ukweli utabaki palepale kwamba "Tanzania imeizidi Kenya ktk idadi ya matajiri", mpaka hapo itakapotoka ripoti nyengine, kwasasa ukweli ndio huoYani mm nishindwe kutofautisha kati ya link na screenshot..
We jipe matumaini tu, lkn ukwel ulishindwa kuituma...
Watumia browser kuingia jf au nn?
Ama huna bundles za kutosha ndio unaogopa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani nimeipitia hapo kw hyo idadi ni balaa walai..Itakua walikua wanahangaika kuitafuta link, kuna mwingine aliposhindwa hoja na kuona nimempuuza akaanza kutupia misamiati ya matusi aliyokua anajifunza kwenye dictionary hadi akaishia kwenda kulala....hehehe
Anyway links hizi hapa, utaona kwanini ripoti za Knight Frank hazileti mantiki, hapa nimeweka ya 2019 na 2020
Ripoti ya 2019 wanasema milionea Kenya kwa mwaka wa 2018 walikua 9,482 na Tanzania 6,429
Ripoti ya 2020 wanasema milionea Kenya kwa mwaka huo huo wa 2018 walikua 3,399 na Tanzania 5,118
Yaani ripoti yao ya mwaka wa 2019 tulikua tumewazidi Watanzania kwa idadi ya milionea 3,000
Halafu ripoti ya 2020 kwa mwaka huo huo wa 2018 wakaweka kwamba tumepoteza milionea 6,000
Haiwezi kutokea siku LDC shthoe zishinde uchumi wa kati
https://content.knightfrank.com/content/pdfs/global/the-wealth-report-2020.pdf
https://content.knightfrank.com/res.../wealthreport/2019/the-wealth-report-2019.pdf
Hahahaha, naona tayari umeanza kukubaliana na hali halisi " Research hupingwa kwa Research", wacha kupoteza muda wako bure. Unachokifanya ni kujipa matumaini ili uweze kupata usingizi vizuri, ila huwezi kubadilisha matokeo ya hiyo ripoti, dunia nzima inajua kwamba, Tanzania inazidi Kenya kwa matajiri.Yani nimeipitia hapo kw hyo idadi ni balaa walai..
Wajua nilitaka link kusudi tena kutoka kwake, manake ameivaavaa hii habari hatari kw kwel..
BBC hawana makosa yyte wala, manake lazi yao ilkua kusambaza habari..
Nilisisitiza kw sababu nlikua nataka niisome hyo habari kw kina, kiukwel hawa jamaa wamebugi kwanza kutokea 2018 hesabu zao zinajikanganya kabisa..
Byda sasa haina haja niendelee ku comment tena katika huu uzi..
Mtu na akili zake akishasoma hyo habari hawez endelea kubishana na zero brain...
Asanate kw kumsaidia lkn..
Sent using Jamii Forums mobile app