babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Ukiona hivo ujue sindano imempata penyewe πππWivu na chuki havitakuacha salama [emoji3][emoji3][emoji3] eti beggar, ss c bora hao ni wananchi kuliko rais wa nchi akawa ndiye kiongozi wa ma beggar ni aibu kubwa.
Ubepari ndio umewafikisha hapaHizi insha wenzako wameniandikia sana humu ila wakakimbia wenyewe maana ndio kawaida yenu maneno mengi ila zero action. Naona na wewe ndio unaanza kujifunza kuziandika andika.
Kilichowaponza Tanzania ni ujamaa wa Nyerere, uliwafanya muwe wazembe na wenye kauli za omba omba, hakuna anayetaka kujituma afanye kitu cha kuonekana. Haya ya nyie kuimba kwamba mtatupita kiuchumi yaliimbwa sana tangu enzi za mababu zenu, wakaimba baba zenu, mumeimba nyie na mtapokeza watoto wenu wakiimba ila siku zote mtabaki nyuma yetu katika kila kitu maana tatizo lenu liko pale pale uzembe uzembe na wavivu wa kutupwa, na itawachukua muda mrefu sana kuja kubadilisha hiyo, hivyo ina maana tutawatawala kwenye kila kitu mpaka mwisho wa dunia.
Jiulize kwa raslimali zote mlizonazo na hamjakua na misukosuko yoyote, nyie ndio nchi pekee ya Afrika ambayo raia wake wanavuka mipaka kwenda kuwa omba omba kwa nchi jirani, hapa tuna Wasomali na Wasudani ambao kwao ni minyukano na mabomu miaka yote, lakini sijaona raia wao wakija kuomba omba kwetu hapa kama hawa ndugu zako.
https://www.facebook.com/video.php?v=10159392962280405
Tanzanian beggars busted in Bomet
Anatoa povu la moyoni kabisa [emoji3][emoji3] Wakenya safari hii watatueleza walipo wanetu mana mimba zetu washabeba ss wanahangaika kuzitoa [emoji3][emoji3]Ukiona hivo ujue sindano imempata penyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Na huu ni mwanzo tu.
Wivu na chuki havitakuacha salama, af huo uvivu unaosema ndio sababu ikafanya tuongoze kwa idadi ya millionaires EA [emoji3][emoji3][emoji3] eti beggars, ss c bora hao ni wananchi kuliko rais wa nchi akawa ndiye kiongozi wa ma beggar ni aibu kubwa.
Imemchoma kweli kweli π π πAnatoa povu la moyoni kabisa [emoji3][emoji3] Wakenya safari hii watatueleza walipo wanetu mana mimba zetu washabeba ss wanahangaika kuzitoa [emoji3][emoji3]
Sina muda wa kufungua sites kuprove a point, kama ww umegundua error ambayo david ndii na hao wataalam wa knight frank wajaiona wala hawaijui, you must be very very smart, fanya waandikie e mail wabadilishe wa announce tena, kwa sasa wacha tufurahie tumewazidi kenya idadi ya dollar millionaires.Both reports are from Knight Frank !!!! Pay attention!
https://content.knightfrank.com/content/pdfs/global/the-wealth-report-2020.pdf
https://content.knightfrank.com/res.../wealthreport/2019/the-wealth-report-2019.pdf
Angalia vile dataset ya Kenya from the 2019 reort haiendani na ya from 2020 report
Kenya usd dollar millionaires (>$1m) 2019 wealth report
8,400 -2013
9,176 -2017
9,482 -2018
11,584 -2023 - projection
Kenya usd dollar millionaires (>$1m) 2020 wealth report
800 - 2014
3,399 - 2018
2,900 - 2019
3,309 - 2024 -Projection
--------------------
Na huo ndiyo ukweli na hawawezi kupinga hapa kuhusu purchasing power.Imemchoma kweli kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uvivu wetu ndiyo uliofanya tukawa na matajiri wengi kuliko nyie, km inauma chomoa[emoji3][emoji3]Hapo sasa ndio umepungua na kuwekwa kwenye kapu walipo wenzako humu, wao huandika andika ulivyoandika hapa, kila siku kutwa...hehehe napenda jinsi huwa nawashusha kutoka kwa kuandika mainsha hadi kwenye mipasho.
Lakini kweli unabaki pale pale, tutaendelea kuwatawala kicuhumi, kijeshi, kielimu n.k., sisi kainchi ketu kadogo na kame tupu lakini kataendelea kushinda liinchi lote hilo ambalo ni muungano wa mataifa mawili na yote yenye raslimali nyingi. Mivivu wa kutupwa kazi kutujazia omba omba huku.
Na bado wataweweseka πππNa huo ndiyo ukweli na hawawezi kupinga hapa kuhusu purchasing power.
Did you already get the link? Kama bado hii hapa -> The Wealth Report 2020 - Knight FrankHalafu naomba mwenye link original ya hii table ya 2019 atupatie tuhakiki humo, maana sioni jinsi Knight Frank wanaweza kuboronga kiasi hiki, glaring mistakes kama hizi hao jamaa huwa hawafanyi, hapa nashuku itakua Cicero au Mtanzania fulani kafanya photoshop kizembe bila kufikira na kujua ataumbuliwa na watu ambao hudadavua data herufi kwa herufi.
Mbona hapo juu nimeweka wazi maeneo walikoboronga, ujio wa Tanzania haijawahi kuwa shida kwetu maana haiwwzekani kwa kizazi cha sasa kutufikia, labda kidogo enzi za Kikwete mlikua na kamuamko fulani, ila kwa sasa ndio tumewaacha ile ya mbali.Did you already get the link? Kama bado hii hapa -> The Wealth Report 2020 - Knight Frank
Nafurahi tu namna ambavyo source reputable kama Knight Frank wakitoa data kama hizi mnasema 'wameboronga' π
Tanzania ya leo sio ya miaka ya 90 ndugu tunakuja kwa kasi!
Bro vp kumbe uliniongopea?Mbona hapo juu nimeweka wazi maeneo walikoboronga, ujio wa Tanzania haijawahi kuwa shida kwetu maana haiwwzekani kwa kizazi cha sasa kutufikia, labda kidogo enzi za Kikwete mlikua na kamuamko fulani, ila kwa sasa ndio tumewaacha ile ya mbali.
Amebaki kutoa ya moyoni baada ya kuujua ukweli [emoji3][emoji3] anasema atawatimbia knight frank kuwaambia kwamba wamekosea huyu jamaa ana akili ndogo sn huyu [emoji3][emoji3]
Hizi report ulizipokea ww mwnyw na ukazifungulia uzi kwa shangwe, je hukuona kwmb walikosea.Mbona hapo juu nimeweka wazi maeneo walikoboronga, ujio wa Tanzania haijawahi kuwa shida kwetu maana haiwwzekani kwa kizazi cha sasa kutufikia, labda kidogo enzi za Kikwete mlikua na kamuamko fulani, ila kwa sasa ndio tumewaacha ile ya mbali.
Pia usisahau kwamba hamna bilionea hata mmoja kenya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hizi insha wenzako wameniandikia sana humu ila wakakimbia wenyewe maana ndio kawaida yenu maneno mengi ila zero action. Naona na wewe ndio unaanza kujifunza kuziandika andika.
Kilichowaponza Tanzania ni ujamaa wa Nyerere, uliwafanya muwe wazembe na wenye kauli za omba omba, hakuna anayetaka kujituma afanye kitu cha kuonekana. Haya ya nyie kuimba kwamba mtatupita kiuchumi yaliimbwa sana tangu enzi za mababu zenu, wakaimba baba zenu, mumeimba nyie na mtapokeza watoto wenu wakiimba ila siku zote mtabaki nyuma yetu katika kila kitu maana tatizo lenu liko pale pale uzembe uzembe na wavivu wa kutupwa, na itawachukua muda mrefu sana kuja kubadilisha hiyo, hivyo ina maana tutawatawala kwenye kila kitu mpaka mwisho wa dunia.
Jiulize kwa raslimali zote mlizonazo na hamjakua na misukosuko yoyote, nyie ndio nchi pekee ya Afrika ambayo raia wake wanavuka mipaka kwenda kuwa omba omba kwa nchi jirani, hapa tuna Wasomali na Wasudani ambao kwao ni minyukano na mabomu miaka yote, lakini sijaona raia wao wakija kuomba omba kwetu hapa kama hawa ndugu zako.
https://www.facebook.com/video.php?v=10159392962280405
Tanzanian beggars busted in Bomet
Millionaires tumeongopewa sana na vyanzo uchwara kua kenya wako wengi nashangaa nn kimewasibu wanaporomoka kwa kasi ya 4G ....Amebaki kutoa ya moyoni baada ya kuujua ukweli [emoji3][emoji3] anasema atawatimbia knight frank kuwaambia kwamba wamekosea huyu jamaa ana akili ndogo sn huyu [emoji3][emoji3]
In according to D-N-A [emoji3][emoji3]Watazoe, hiyo ni kawaida kwa mtu yoyote kutokubaliana na hali ngumu kwa haraka. Wapeni muda kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app