Mkenya mwenzenu amewachambulia nyie endeleeni tu kusema 'anomalies' Kenyans richer but Tanzania home to more millionaires : The StandardMbona hapo juu nimeweka wazi maeneo walikoboronga, ujio wa Tanzania haijawahi kuwa shida kwetu maana haiwwzekani kwa kizazi cha sasa kutufikia, labda kidogo enzi za Kikwete mlikua na kamuamko fulani, ila kwa sasa ndio tumewaacha ile ya mbali.
Millionaires tumeongopewa sana na vyanzo uchwara kua kenya wako wengi nashangaa nn kimewasibu wanaporomoka kwa kasi ya 4G ....
Tunawakimbiza mdogo mdogo hadi wajam...
Ukikosa nauli ya kwenda uko knight frank nitafute nikuboost MK254
1.Millionaires Tz
2.GDP PPP Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway tuongee Mimi na wewe...vp kuna mtikisiko wowote uko kwenu?au hao jamaa wanawaonea wivu?au wameanza kua wababishaji?Leo nimebanwa na shughuli balaa, siunajua nchi ya middle income huwa mchaka mchaka, nafuu tukijaga Bongo tunapumzika maana kwenu huko ni likizo kwa kila mtu kila siku, japo ndio chanzo cha umaskini wenu, hehehe sijawa na muda wa kuingia JF, nimekuta mumeniquote kundi lote, anyway sijakuelewa pale unasema nilikuongopea, binafsi nimechambua ripoti zote mbili na kuibuka na anomalies kibao, lazima nitatinga kwenye ofisi za Knight Frank na kuwaweka sawa, subiri nipate hata dk 30 hivi
Hii hapa analysis yangu ila itahtaji mtu asiye mzembe kwenye kushirikisha ubongo kuisoma na kuelewa.
Cicero ni Watanzania wachache waliobahatika kusomea Kenya, ila sijui nini huwa kinawaingia mkirudi Bongo mnaganda kiakili mnakua kama wenzenu waliosomea kwenye elimu zenu hizo za saint Kayumba.
Ripoti ya 2019 wanasema milionea Kenya kwa mwaka wa 2018 walikua 9,482 na Tanzania 6,429
Ripoti ya 2020 wanasema milionea Kenya kwa mwaka huo huo wa 2018 walikua 3,399 na Tanzania 5,118
Yaani ripoti yao ya mwaka wa 2019 tulikua tumewazidi Watanzania kwa idadi ya milionea 3,000
Halafu ripoti ya 2020 kwa mwaka huo huo wa 2018 wakaweka kwamba tumepoteza milionea 6,000
https://content.knightfrank.com/content/pdfs/global/the-wealth-report-2020.pdf
https://content.knightfrank.com/res.../wealthreport/2019/the-wealth-report-2019.pdf
Yes, report ya kwnz inaonekana walikosea cz kenya haitakaa iizidi Tz kwa idadi ya milionea amini usiamini ukweli ndiyo huo, kuhusu elimu mnachojitapa ni kujua English tu but quality ndogo sn, Dah nyie kweli mmezikwa [emoji116][emoji116]Leo nimebanwa na shughuli balaa, siunajua nchi ya middle income huwa mchaka mchaka, nafuu tukijaga Bongo tunapumzika maana kwenu huko ni likizo kwa kila mtu kila siku, japo ndio chanzo cha umaskini wenu, hehehe sijawa na muda wa kuingia JF, nimekuta mumeniquote kundi lote, anyway sijakuelewa pale unasema nilikuongopea, binafsi nimechambua ripoti zote mbili na kuibuka na anomalies kibao, lazima nitatinga kwenye ofisi za Knight Frank na kuwaweka sawa, subiri nipate hata dk 30 hivi
Hii hapa analysis yangu ila itahtaji mtu asiye mzembe kwenye kushirikisha ubongo kuisoma na kuelewa.
Cicero ni Watanzania wachache waliobahatika kusomea Kenya, ila sijui nini huwa kinawaingia mkirudi Bongo mnaganda kiakili mnakua kama wenzenu waliosomea kwenye elimu zenu hizo za saint Kayumba.
Ripoti ya 2019 wanasema milionea Kenya kwa mwaka wa 2018 walikua 9,482 na Tanzania 6,429
Ripoti ya 2020 wanasema milionea Kenya kwa mwaka huo huo wa 2018 walikua 3,399 na Tanzania 5,118
Yaani ripoti yao ya mwaka wa 2019 tulikua tumewazidi Watanzania kwa idadi ya milionea 3,000
Halafu ripoti ya 2020 kwa mwaka huo huo wa 2018 wakaweka kwamba tumepoteza milionea 6,000
https://content.knightfrank.com/content/pdfs/global/the-wealth-report-2020.pdf
https://content.knightfrank.com/res.../wealthreport/2019/the-wealth-report-2019.pdf
Anyway tuongee Mimi na wewe...vp kuna mtikisiko wowote uko kwenu?au hao jamaa wanawaonea wivu?au wameanza kua wababishaji?
Najua Ni rahisi kupoteza Mali kuliko kua nazo lakini iyo idadi ni kubwa sana embu uje na majibu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] maji ya shingoSidhani ni wivu, itakua uzembe tu wa vijana kupachika data bila kuwa makini. Hili hutokea mara moja moja kwa kampuni zisizokua makini.
Suala hata sio kupoteza milionea, ni kwamba
Uandike 2019 useme kwa mwaka wa 2018 tuna milionea 9,482
Kisha uje uandike mwaka mmoja baadaye useme ule mwaka wa 2018 tulikua na milionea 3,399
Yaani hata ukifanya cross tabulation ya hizo ripoti mbili utaona haziendani kabisa, aidha jamaa walizembea kwenye ripoti ya 2019 au kwenye hii ya 2020. Sema vitu kama hivi husababisha watu wengi wafutwe kazi, lazima pia niwe makini wakati nawatajia maana vijana walioingiza data, kunao wataalam waliozikagua na kunao walioruhusu zichapishwe, hapo msururu wa watu inaweza kula kwao. Moyo unanisuta nisije kusababisha watu wamwage unga.
Wala msitake kujitia hamnazo, hakuna hata sehemu waliokosea, hii hali ilikuwepo kuanzia 2013, ripoti zote zilikua zinaonyesha kwamba Tanzania inatengeneza milionea wengi kuliko Kenya, soma hii ripoti ya 2014 na ulinganishe na hiyo ya juzi kama kuna tofauti yoyote, Tanzania mints millionaires faster than Kenya, UgandaSidhani ni wivu, itakua uzembe tu wa vijana kupachika data bila kuwa makini. Hili hutokea mara moja moja kwa kampuni zisizokua makini.
Suala hata sio kupoteza milionea, ni kwamba
Uandike 2019 useme kwa mwaka wa 2018 tuna milionea 9,482
Kisha uje uandike mwaka mmoja baadaye useme ule mwaka wa 2018 tulikua na milionea 3,399
Yaani hata ukifanya cross tabulation ya hizo ripoti mbili utaona haziendani kabisa, aidha jamaa walizembea kwenye ripoti ya 2019 au kwenye hii ya 2020. Sema vitu kama hivi husababisha watu wengi wafutwe kazi, lazima pia niwe makini wakati nawatajia maana vijana walioingiza data, kunao wataalam waliozikagua na kunao walioruhusu zichapishwe, hapo msururu wa watu inaweza kula kwao. Moyo unanisuta nisije kusababisha watu wamwage unga.
Kulingana na ripoti inasema kenya kumepungua millionaires mia tano..Wala msitake kujitia hamnazo, hakuna hata sehemu waliokosea, hii hali ilikuwepo kuanzia 2013, ripoti zote zilikua zinaonyesha kwamba Tanzania inatengeneza milionea wengi kuliko Kenya, soma hii ripoti ya 2014 na ulinganishe na hiyo ya juzi kama kuna tofauti yoyote, Tanzania mints millionaires faster than Kenya, Uganda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna ripoti ya 2018 unaikwepa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wala msitake kujitia hamnazo, hakuna hata sehemu waliokosea, hii hali ilikuwepo kuanzia 2013, ripoti zote zilikua zinaonyesha kwamba Tanzania inatengeneza milionea wengi kuliko Kenya, soma hii ripoti ya 2014 na ulinganishe na hiyo ya juzi kama kuna tofauti yoyote, Tanzania mints millionaires faster than Kenya, Uganda
Sent using Jamii Forums mobile app
Gazeti lenu hilo apo bishana nalo, [emoji3][emoji3][emoji3] ukimaliza usisahau kwamba hakuna bilionea hata mmoja kenya maamaeee....[emoji116][emoji116]Mbna ripoti ya 2018 unaikwepa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo lako hupendi ukwel, wivu utakuuwa we jamaa...
Yani hata mtoto mdogo hayo makosa atayaona, halafu we mtu mzima unakuja kujitoa ufahamu hapa...
Yani ripoti ya 2018 inaongea tofauti, then hyo ya 2019 ndio imekoroga kabisa tena zinatoka katika kampuni moja hku ikisema eti 2018 walikua idadi flani tofauti na ile waliotoa ya 2018...
Hata kama ni wivu lkn sio kw kiwango hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe una akili kweli,?, how wakati mwengine ninahisi ninashusha heshima yangu nikijibishana na wewe. Hii ripoti ni ya 2013, Kenya ilikua na milionea 8,300 na Tanzania 5600, kiwango cha kuongezeka idadi ya milionea ni 51% na 24% kwa Tanzania na Kenya mtawalia(respectively), sasa hivi ni 2020, piga hesabu kama hazitofanana na hizo za Knight Frank, kumbuka kwamba idadi ya matajiri Kenya hushuka kila mwakaKulingana na ripoti inasema kenya kumepungua millionaires mia tano..
Sasa imekuaje wakashuka kutoka elfu tisa hadi elfu mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, umebanwa mbavu unatafuta tundu la kupumulia sio?, soma hiyo Tanzania Has More Millionaires And Billionaires Than Kenya - Wealth ReportMbna ripoti ya 2018 unaikwepa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo lako hupendi ukwel, wivu utakuuwa we jamaa...
Yani hata mtoto mdogo hayo makosa atayaona, halafu we mtu mzima unakuja kujitoa ufahamu hapa...
Yani ripoti ya 2018 inaongea tofauti, then hyo ya 2019 ndio imekoroga kabisa tena zinatoka katika kampuni moja hku ikisema eti 2018 walikua idadi flani tofauti na ile waliotoa ya 2018...
Hata kama ni wivu lkn sio kw kiwango hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado unaukimbia ukweli[emoji122][emoji122][emoji122]Hahahaha, umebanwa mbavu unatafuta tundu la kupumulia sio?, soma hiyo Tanzania Has More Millionaires And Billionaires Than Kenya - Wealth Report
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hapo sasa, 2013 umesema ilkua elfu nane...sasa tumia ubongo wako kiasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi wewe una akili kweli,?, how wakati mwengine ninahisi ninashusha heshima yangu nikijibishana na wewe. Hii ripoti ni ya 2013, Kenya ilikua na milionea 8,300 na Tanzania 5600, kiwango cha kuongezeka idadi ya milionea ni 51% na 24% kwa Tanzania na Kenya mtawalia(respectively), sasa hivi ni 2020, piga hesabu kama hazitofanana na hizo za Knight Frank, kumbuka kwamba idadi ya matajiri Kenya hushuka kila mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu nionyeshe hushukaje kila mwaka na wakati by 2017 ilkua hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi wewe una akili kweli,?, how wakati mwengine ninahisi ninashusha heshima yangu nikijibishana na wewe. Hii ripoti ni ya 2013, Kenya ilikua na milionea 8,300 na Tanzania 5600, kiwango cha kuongezeka idadi ya milionea ni 51% na 24% kwa Tanzania na Kenya mtawalia(respectively), sasa hivi ni 2020, piga hesabu kama hazitofanana na hizo za Knight Frank, kumbuka kwamba idadi ya matajiri Kenya hushuka kila mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo link zote ni wakenya wenzako, wewe endelea kupiga kelele sisi tunawabana kila pembe. Wakulima wenu nao pia tumewabana wanalia kama wewe, soma uone, hadi samaki wa ziwa Victoria pia tunawauzia sisi, aibu How Tanzanian agricultural products are smuggled into Kenya through Isibania borderBado unaukimbia ukweli[emoji122][emoji122][emoji122]
Asiyeupenda ukwel siku zote hu change gear angani km mtu anayeugua kifafa vile..
Nikuulize, mbna hupendi ukweli[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameikopi kutoka knight frank[emoji1787][emoji1787]wakati hko hko walikoitoa tumewapiga facts kibao hadi mnakimbiana humu kisa mnakataa factsGazeti lenu hilo apo bishana nalo, [emoji3][emoji3][emoji3] ukimaliza usisahau kwamba hakuna bilionea hata mmoja kenya maamaeee....[emoji116][emoji116]
Wooooooi!!!mbna unarukaruka jomba, tulia nikubane kwanza halafu nitakuachia...Hizo link zote ni wakenya wenzako, wewe endelea kupiga kelele sisi tunawabana kila pembe. Wakulima wenu nao pia tumewabana wanalia kama wewe, soma uone, hadi samaki wa ziwa Victoria pia tunawauzia sisi, aibu How Tanzanian agricultural products are smuggled into Kenya through Isibania border
Sent using Jamii Forums mobile app